×

Habari

Benki ya CRDB Yaibuka Kinara Tuzo za Mabenki

    Benki ya CRDB imeibuka na tuzo ya benki ya ndani ya nchi inayopendwa zaidi (Most Preferred Domestic Bank...

READ MORE

Daktari Ashauri Watu Kutooga, Yeye Hajaoga Miaka 5

DAKTARI bingwa wa tiba ya uzuiaji wa magonjwa, James Hamblin, alifanya utafiti kuhusu utakatishaji wa ngozi ambao hivi karibuni umechapishwa...

READ MORE

Stendi Mwenge Kuanza Kutumika Machi Mwakani

  KITUO cha mabasi cha Mwenge kitaanza kutumika Machi mwakani (2021) kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

GDSS Wafanya Tathmini 2020

Kupitia semina za jinsia na maendeleo (GDSS) ambazo zinaandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) imefanya tathimini ya mada mbalimbali...

READ MORE

Bilionea Subash; Kimbilio La Wanyonge Aliyezimika Kama Mshumaa

KIMYA milele! Ule msemo wa Wahenga kwamba kizuri hakidumu, umetimia! Mtu wa watu, binadamu mwenye moyo wa kipekee kabisa, anayezibeba...

READ MORE

TECNO Kuwapa Furaha ya Krismasi na Mwaka Mpya Wateja Wake

Kampuni ya simu za mkononi ya  TECNO inaendelea kuwakumbusha wateja wake kutembelea maduka ya TECNO katika msimu huu wa Krisimasi...

READ MORE

‘Mr. Kuku’ Ahukumiwa, Serikali Yataifisha Mabilioni Ya Utakatishaji

Mkurugenzi wa kampuni ya Mr. kuku farmer ltd, Tariq Machibya (29), maarufu kama Mr Kuku, aliyekuwa akikabiliwa  na kesi ya...

READ MORE

Sakata la Mama Aliyemwagiwa Tindikali Kahama, Dkt. Mwigulu Aingilia Kati

  Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Apandishwa Kisutu Kwa Kusambaza Maudhui Bila Kibali

Mfanyabiashra mkazi wa Kinondoni Bwawani jijini Dar es Salaam,  Benedict Kimbusu, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na...

READ MORE

RC Mongela Aongoza Kuaga Miili ya 12 Waliokufa Ajalini – Video

 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela, leo Desemba 16, 2020 amewaongoza mamia ya waombolezaji katika ibada maalum ya...

READ MORE

Watuhumiwa Mauaji ya Mawazo Wadai Mashtaka ‘Yamepikwa’

WASHTAKIWA  wote wanne katika shauri namba tisa la mauaji ya kukusudia ya Alphonce Mawazo aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrais ...

READ MORE

Mpango Awasimamisha Watumishi 22 TRA

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango ameagiza watumishi 22 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kusimamishwa kazi kupisha...

READ MORE

RC Kunenge Awataka Manispaa ya Kinondoni, JKT Kukamilisha Ujenzi Kituo cha Daladala Mwenge

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ameitaka Manispaa ya Kinondoni na mkandarasi kutoka JKT kuhakikisha Ujenzi...

READ MORE

Daraja la Busisi Lapewa Jina la Rais Magufuli

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, leo Desemba 16, 2020 amelibadilisha jina Daraja la Busisi...

READ MORE

Bilionea Subhash Kuzikwa Kesho Makumbusho, Dar

MAZIKO ya aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea, wafanyabiashara  wachache nchini, Subhash...

READ MORE

Jengua Aswaliwa Mkuranga, Kuzikwa Mburahati Dar

  MWILI wa muigizaji nguli nchini Tanzania, Mohamed Fungafunga, maarufu kama Jengua unaswaliwa leo Desemba 16, 2020 nyumbani kwa mwanaye...

READ MORE

Kilichosababisha Kifo cha Mzee Jengua Chabainika

INATAJWA kuwa ugonjwa wa kupooza mwili ambao ulikuwa ukimsumbua muigizaji nguli nchini Tanzania, Mohamed Fungafunga, maarufu kama Jengua ndiyo sababu...

READ MORE

Serikali Yaanza Uchunguzi Dhidi ya Qnet

  BAADA ya kukithiri kwa madai ya wananchi na kuongezeka kwa mijadala kwenye mitandao ya kijamii, kufuatia  kilio cha wananchi...

READ MORE

Malawi Yaamuru Nabii Bushiri, Mkewe Warudishwe Sauz

WAZIRI wa Usalama wa Ndani ya Nchi wa Malawi, Richard Banda, amesaini nyaraka kwa ajili ya mchungaji tajiri na maarufu...

READ MORE

RC Chalamila Asimamia Ubomoaji Nyumba ya Mwananchi

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesimamia zoezi la kubomoa nyumba ya AtHony Lyuba mkazi wa Kata ya Inyala,...

READ MORE

Shigongo Kumsomesha Mtoto Aliyemsaidia Njiani Akiugua – Video

  MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo amemtembelea mtoto Rashid ambaye Desemba 11, 2020 akiwa njiani kuelekea jimboni Buchosa eneo la...

READ MORE

Nyakua Friji, Mashine ya Kufulia, na Smart Tv Kutoka Infinix

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Infinix imezindua rasmi Kampeni ya Christmas na Mwaka mpya inayofahamika kama HIT THE JACPOT...

READ MORE

SGA Security Yashinda Tuzo ya Ulinzi

Kampuni ya SGA Security imeibuka mshindi wa jumla kama kampuni yenye rasilimali za kutosha na ya kuaminika  (Most Equipped and Reliable...

READ MORE

Mzoga wa Nguruwe Waua Mmoja, Nane Walazwa

MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Katarina Zebedayo (38), mkazi wa Kijiji cha Kabanga Kata ya Ilangu, Wilaya ya Tanganyika...

READ MORE

Rais Xi Jinping wa China Ampigia Simu Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezungumza kwa njia ya Simu na Rais wa China...

READ MORE

Dk. Gwajima; Mrithi wa Ummy Mwalimu Gumzo

KATIKA majina ya mawaziri waliounda Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Rais Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’, wiki iliyopita, jina la...

READ MORE

Harmo Afuata ‘Uchawi’ Nigeria

  DAR: Staa wa Bongo Fleva ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya muziki Bongo ya Konde Gang Music Worldwide...

READ MORE

Somalia Yasitisha Uhusiano na Kenya, Yatimua Wanadiplomasia

  SOMALIA imetangaza kusitisha uhusiano wake na Kenya ikidai kwamba serikali ya Kenya inaingilia kati masuala yake ya ndani.  ...

READ MORE

Kenya Yaagiza Chanjo ya CORONA

KATIKA harakati za kupambana na  ugonjwa wa Covid-19, #Kenya imeagiza dozi milioni 24 za Chanjo ya #CoronaVirus zitakazotosha 20% ya...

READ MORE

Baba Amkata Mapanga Mwanaye

GEITA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, linamsaka baba mmoja aliyejulikana kwa jina la Nyamasula Sangesange (43), mkazi wa Songambele...

READ MORE

Tanzia: Mzee Jengua Afariki Dunia

  MSANII mkongwe wa michezo ya runingani na filamu za Kibongo, Mohamed Fungafunga almaarufu Mzee Jengua, amefariki leo, Desemba 15,...

READ MORE

Wajumbe Wamwidhinisha Biden Rais, Bye-Bye Trump!

JOPO la wajumbe maalumu lenye nguvu ya kumchagua rais wa Marekani, maarufu kama Electoral College limemthibitisha Joe Biden kuwa rais...

READ MORE

Museveni: Sijaona Mtu wa Kuiongoza Uganda

  RAIS Yoweri Museveni wa Uganda ambaye kwa sasa anawania muhula wa sita madarakani, amesema hajaona mtu mwenye uwezo wa...

READ MORE

Museveni: Nakasirika Sana Wakiniambia Niondoke Madarakani

  RAIS  wa Uganda, Yoweri Museveni, ambaye anawania muhula wa sita madarakani, amesema hajaona mtu mwenye uwezo wa kuongoza Uganda...

READ MORE

Breaking News: Bilionea Subash Patel Afariki Dunia

MWENYEKITI  Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel...

READ MORE

Huduma za Google Zapotea Mtandaoni Duniani

  HUDUMA za mtandao wa Google ghafla leo (Jumatatu)  zilitoweka na kuleta athari kwa watumiaj iduniani.  Miongoni mwa watumiaji hao...

READ MORE

Rais Mwinyi Amtumbua Katibu Wake Siku 37 Baada ya Kumwapisha

Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, Desemba 14, 2020 ametengua uteuzi wa Katibu wa rais, Suleiman Ahmed Saleh na...

READ MORE

Rais Tshisekedi Atangaza Kuunda Serikali Mpya

KATIKA hotuba yake mbele ya wanaseta na wanabunge, Rais wa DRC, Felix Tshikedi ametangaza tena nia yake ya kuunda serkali...

READ MORE

Mahakani Kwa Makosa ya Kukata Noti za Bil 4.6 BoT

WALIOKUWA atumishi  13  Benki Kuu ya Tanzania (BOT)  wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka sita likuwemo...

READ MORE

Rais Magufuli Awalilia Walikufa kwa Ajali Singida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, ametuma salamu za rambirambi kwa familia za Watu 14 waliofariki kwenye...

READ MORE