HAKIMU mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Magugu, Adeltus Richard Rweyendera, amefikishwa mahakamani na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa...
READ MORETume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inafuatilia zoezi la kuchukua fomu za uteuzi na kubaini kuwa kuna changamoto ambazo...
READ MOREMGOMBEA urais wa Marekani kupitia chama cha Democratic, Joe Biden, amesema Rais Donald Trump ameitumbukiza Marekani kwenye giza kwa muda...
READ MORECHAMA Cha Mapinduzi (CCM), jana Agosti 20, 2020, kimetaja majina ya wanachama wake wake watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika...
READ MOREKampuni ya teknolojia ya mawasiliano inayoongoza nchini, Vodacom Tanzania Plc na Kampuni ya Smart Codes wanayofuraha ya kutangaza washindi...
READ MOREKampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Parimatch Tanzania imetimiza adhima yao ya kusaidia timu zenye uhitaji muhimu na ambazo ziliweza...
READ MOREWTU watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yakiwamo mashtaka...
READ MOREJESHI la polisi mkoani Pwani, linamshikilia mwalimu Evata Mboya, wa shule ya msingi Mwendapole, Kibaha, kwa kosa linalodaiwa ni kumshambulia...
READ MORESERIKALI ya Zimbabwe imewasiliana na mwakilishi wa Vatican, Askofu Mkuu Marek Zalewski, kupata maelezo juu ya ukosoaji wa maaskofu wa...
READ MOREMAMLAKA nchini Kenya zimetoa orodha mpya ya raia wa nchi 130 ambao wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini. ...
READ MOREUONGOZI wa Klabu ya Yanga, Agosti 30, mwaka huu, unatarajia kutambulisha majembe yake mapya katika Tamasha la Wiki ya Mwananchi....
READ MOREBenki ya Exim Tanzania mapema wiki hii ilishiriki kikamilifu kwenye mkutano mkuu wa wadau wa Korosho uliofanyika mkoani Lindi. ...
READ MOREMSEMAJI wa chama cha upinzani nchini Urusi kiitwacho Russia of the Future, ameeleza kuwa kiongozi wa chama hicho ambaye pia...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge, amemuelekeza mkandarasi wa kampuni ya Nyanza inayojenga barabara na Daraja la...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. John Magufuli amewahakikishia wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Spunda Rungwe ameendelea kukazia kuwa sera ya Chama chake katika...
READ MOREMTANDAO wa Elimu Tanzania (TENMET) ukiendelea na wiki ya maadhimisho ya Juma la Elimu yanayofanyika wilayani Chemba, umefanya mazungumzo na...
READ MOREBenki ya NMB imetoa shilingi 15. 2 bilioni kama gawio kwa serikali ambayo inamiliki asilimia 31.8 ya hisa zote...
READ MORERais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amemteua Joseph Constantine Mafuru kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma mkoani Dodoma. Kabla ya...
READ MOREHOFU kuu imetanda wilayani Kyela mkoani Mbeya kufuatia tukio la kutisha la mauaji ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwenge...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Pwani; Mhandisi Evarist Ndikilo, amekutana na wafugaji ambao baadhi yao wamewatishia kuwaua wakulima ambao wamemlalamikia kiongozi...
READ MOREMTOTO mwingine wa kike mwenye umri wa siku tatu, ameopolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwenye choo cha Zahanati...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo...
READ MOREMNAMO tarehe 19.08.2020 majira ya saa 03:00 usiku huko Mtaa wa Kagwina, Kata ya Sinde, Tarafa ya Sisimba Jijini Mbeya....
READ MOREVIKOSI nchini Mali vimemuondoa madarakani rais Ibrahim Boubacar Keïta na kutangaza azma yao ya kuunda serikali ya mpito kabla ya...
READ MOREWashtakiwa watatu wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka saba, yakiwemo ya kushiriki...
READ MOREZIKIWA zimebaki siku chache ili kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Mkuu wa Jeshi la Polisi...
READ MOREKENYA imetangaza watu wanne zaidi kufariki kutokana na CoronaVirus na kufanya idadi ya vifo kufikia 487. Aidha, watu 271 wamethibitishwa...
READ MOREWAJUMBE wa mkutano mkuu wa kitaifa wa Chama cha Democratic nchini Marekani wamemteua rasmi Joe Biden kuwa mgombea urais kwa...
READ MOREMWANAMKE mmoja nchini Kenya anatuhumiwa kumuua na kumzika mtoto wa siku moja baada kulaumiana na mume wake juu ya kupata...
READ MOREWAFANYAKAZI wa Shirika la Habari la Belarus wameacha majukumu yao na kujiunga na maelfu wa waandamanaji kutaka Rais wa nchi...
READ MORETaumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu ni jina la muinuko ulioko Porangahau, New Zealand. Jina hilo likiandikwa kwa urefu linakuwa na alama ‘Characters’...
READ MORENAIBU Waziri wa Maji, Jumaa Aweso. leo Agosti 19, 2020, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi...
READ MORERAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keïta, amejiuzulu muda mfupi baada ya kuwekwa kizuizini na jeshi la nchi hiyo. Akilihutubia taifa...
READ MOREBodi ya Wakurugenzi ya Benki ya NMB imemtangaza Ruth Zaipuna kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Benki hiyo uteuzi ulioanza...
READ MOREJeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam mnamo tarehe 15.08.2020 majira ya saa tisa na nusu alasiri kupitia kikosi...
READ MOREVITA ya maneno kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2020, sasa imebebwa na Michelle Obama, mke wa Rais mstaafu wa...
READ MOREKiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, ametoa wito kwa vyama vya upinzani nchini kuwa viache ubinafsi kwa kuwa...
READ MORE