×

Habari

JPM: Tanzania Iko Salama, Watalii Wanamiminika – Video

RAIS John Magufuli, amesema kuwa Tanzania imebaki kuwa nchi salama  kwa kuwa ilifanikiwa kutokomeza  maambukizi ya ugonjwa wa Covid19 baada...

READ MORE

Wagombea Ubunge Buchosa-Sengerema Wakijinadi kwa Wajumbe Wapiga kura

      Baadhi ya wagombe ubunge katika jimbo la Buchosa wakijinadi kwa wajumbe katika mchakato wa kuwapata wagombea ubunge...

READ MORE

Mbowe, Msigwa Wajitoa Urais CHADEMA

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia  na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe  na makada wengine watatu wamejiengua katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa...

READ MORE

Matukio Kura za Maoni CCM Ubunge Buchosa, Sengerema

  JIMBO la Buchosa ni moja ya majimbo nchini yanayopiga kura za maoni za kuwapata wagombea ubunge katika majimbo mbalimbali...

READ MORE

LIVE IKULU: Rais JPM Akiwaapisha RC Njjombe na Viongozi Aliyowateua

Rais  Dkt. John Magufuli leo anawaapisha wateule wake aliowateuwa hivi karibuni wakiwemo makatibu wakuu na mkuu wa mkoa wa Njombe...

READ MORE

Dkt. Mwinyi Apata Mapokezi Makubwa Pemba

MGOMBEA nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi amepata mapokezi...

READ MORE

Benki ya NMB Yazipiga Tafu Shule 6, Kituo Cha Afya Kinondoni

Benki ya NMB, imekabidhi misaada ya mabati 180, madawati 200, mashine sita za kunawia mikono, viti na meza 100, kwa...

READ MORE

Video: Shein Atoa Tahadhari Uchaguzi Ndani ya CCM

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka wananchi kuchagua viongozi wenye sifa, kwa kuangalia utendaji kazi...

READ MORE

TBC Wakanusha Mtangazaji Enock Bigwane Kupata Ajali -Video

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) linapenda kukanusha taaarifa kuwa Mtangazaji Enock Bigwane amepata ajali na kuwa anapatiwa matibabu. Kumekuwepo na...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Mabadiliko Uteuzi Wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe

Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amefanya mabadiliko ya uteuzi wake wa Julai 17, 2020 na amemteua Mhandisi Marwa Mwita...

READ MORE

Morrison: Simba? Mbona Fresh

STAA wa Yanga, Bernard Morrison, ameweka wazi kuwa, kama Simba watamfuata na kukubaliana nao kimaslahi basi hakuna shida atasaini tu...

READ MORE

Mastaa Hawa Wamekwepa Mishale Mingi!

  KWENYE uwanda wa burudani Bongo hii, kumekuwa na wimbi la wasanii wengi na wanaofanya vizuri. Miaka ya nyuma waliibuka...

READ MORE

Trump Agoma Kuwalazimisha Wamarekani Kuvaa Barakoa

LICHA  ya ongezeko la visa vya ugonjwa wa COVID-19 nchini Marekani, Rais Donald Trump amesema hakubaliani na kuwekwa amri ya...

READ MORE

Majaliwa: Vijana, Kinamama Nendeni Mkalime

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa,  amewataka vijana wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi waache kukaa vijiweni na badala yake waanzishe bustani...

READ MORE

Kubenea Aondoka Chadema, Ajiunga ACT-Wazalendo

MBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga...

READ MORE

Rais Magufuli Atengua Uteuzi Katibu Mkuu Mambo ya Nje

Rais Magufuli leo Julai 18, 2020 amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje...

READ MORE

Breaking: Rais Magufuli Ahirisha Sherehe Za Mashujaa 2020

Rais John Magufuli ameahirisha sherehe za mashujaa zilizokuwa ziganyike Julai 25 mwaka huu jijini Dodoma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Ujenzi Bwawa la Nyerere Wakamilika Hatua Zote 8

HATUA zote nane  za utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa maji la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115)...

READ MORE

HESLB Yafungua Maombi ya Mikopo Elimu ya Juu 2020/2021

TUNAPENDA kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji...

READ MORE

RC Awacharaza Viboko Wanafunzi Waliochoma Shule

MKUU wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amewachapa viboko wanafunzi watano waliohusika katika tukio la kuchoma moto shule...

READ MORE

Kyela Express Lapinduka, Laua Mtu Mmoja

POLISI Mkoa wa Mbeya wanamshikilia dereva wa basi la Kampuni ya Kyela Express Denis Lameck  (48) aliyekuwa akiendesha basi lenye...

READ MORE

Majina Waliochaguliwa Kujiunga JKT 2020

JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza majina ya vijana waliohitimu kidato cha sita kutoka shule zote za Tanzania Bara waliochagulwa...

READ MORE

JPM Atengua Uteuzi wa Kafulila, Mjema na Wengine, Ateua Wapya

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wakiwemo Katibu Tawala Mkoa wa Songwe, wakuu wa wilaya na...

READ MORE

Shule Ya Kinondoni Muslim Yateketea Kwa Moto -Video

 Shule ya Sekondari ya Kinondoni Muslim ya jijini Dar es Salaam inateketea kwa moto leo Julai 17, 2020.  ...

READ MORE

Hush: Tapeli Hatari Duniani, Matukio na Utajiri Wake Usipime!

  JINA la Ray Hushpuppi ‘Hush’ limekuwa maarufu mno masikioni mwa wengi duniani. Likitajwa jina hili, baadhi ya mabilionea wanashtuka....

READ MORE

‘Kirusi’ Hatari Kinawamaliza!

KATIKA historia ya muziki nchini, tuliona wanaume ndiyo waliamka na kuitengeneza tasnia hii katika nyanja mbalimbali.Wanamuziki wakali wa kiume waliibuka...

READ MORE

Hussein Mwinyi; Historia Inajirudia Zanzibar

UNAWEZA kusema historia inajirudia Zanzibar baada ya Dk. Hussein Mwinyi kuibuka mshindi baada ya kupata asilimia 78 ya kura za...

READ MORE

BREAKING: Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa RC, KM, NKM na DC

Rais John Magufuli Julai 17, 2020 amefanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo;-

READ MORE

Idd Azzan Arudisha Fomu Baada Ya Kutia Nia

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Dar, Iddi Azzan ambaye jana alichukua fomu ya kugombea tena kwenye jimbo hilo, Julai...

READ MORE

Kocha Simba Mbao Mtatusamehe leo

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa leo kikosi chake kitaingia uwanjani kwa lengo moja pekee la kupata...

READ MORE

Waandamanaji Wakinukisha, Wamtaka Netanyahuu Ajiuzulu

WAANDAMANAJI hao wakiwa wamebeba mabango na maberamu walisika wakipiga nara dhidi ya Benjamin Netanyahu na kumtaka ajiuzulu wadhifa wake huo...

READ MORE

Malawi Yafuata Nyayo za JPM Kupambana na Corona

KATIKA kuendelea kukabiliana na maambukizi ya Virusi vya Corona, Serikali ya Malawi imetangaza kuanza kwa siku tatu za kufunga na...

READ MORE

Binti wa Mandela Aliyefariki Alikutwa na Corona

  ZINDZI MANDELA, mwana mdogo wa kike wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, na mwanaharakati wa kupigana dhidi...

READ MORE

TAKUKURU Yakosa Ushahidi Kesi ya ‘Kibajaji’

MKUU wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Dodoma, Sostenes Kibwengo, amesema taasisi hiyo haitaendelea na...

READ MORE

Mzee Yusuf: “Kurudi Kwangu Mjini Kuna Mambo Mengi Sana” -Video

IKIWA ni miezi kadhaa imepita tangu atangaze kurejea mjini, Mzee Yusuf ambaye pia hapo awali alikuwa mkurugenzi wa bendi ya...

READ MORE

Gunze Atoboa Siri COSOTA Kuhamishwa Wizara – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Kahabi Gunze amesema athari iliyokuwepo kwa COSOTA kuwa Wizara ya Viwanda ni mahusiano...

READ MORE

Membe Apokelewa Rasmi ACT-Wazalendo, Afunguka!

ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Mambo ya Nje nchini na Mbunge wa Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe, amejiunga...

READ MORE

JPM: Sijatuma Mtu, Wapimeni Wenyewe – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekanusha taarifa za baadhi ya watia nia wa ubunge...

READ MORE

Top 5 Wachekeshaji Wa Kike Bongo Wanaotikisa

  KILA tasnia ya burudani hapa Bongo, imekua ikitoa vipaji vikali ambavyo vinajizolea mashabiki lukuki kutokana na kile anachokifanya msanii...

READ MORE