×

Habari

Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi Vifo Vya Watu 20 Moshi na Lindi

Rais Magufuli leo Februari 2, 2020 ametuma salamu za rambirambi kwa familia za watu 20 waliopoteza maisha wakati wakitoka katika...

READ MORE

Benki ya NMB Yapiga Jeki Shule na Zahanati Singida

KERO ya kusomea katika mazingira yasio mazuri kwa wanafunzi zaidi ya 350, wakiwemo wasichana 169 wa kitongoji cha Misuna, kijiji...

READ MORE

Video: Mafuta Ya Mwamposa ‘Yaua’ Watu 20 Moshi, Shuhuda Asimulia

WATU 20 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kwa kukanyagana katika harakati za kutaka kukanyaga mafuta ya upako kwenye kongamano la...

READ MORE

Naibu Waziri Masauni Naye Ahojiwa na TAKUKURU

  NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni,  amefika ofisi za makao makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...

READ MORE

Mbunge Selasini (Chadema) Aimwagia Sifa CCM – Video

Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini amempongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Suleimani Jafo kwa kazi nzuri...

READ MORE

Marekani Yasema Virusi vya Corona ni Fursa Kwao

KATIBU wa masuala ya kibiashara nchini Marekani, Wilbur Ross, amesema  mlipuko mbaya wa virusi vya Corona nchini China unaweza kuinua...

READ MORE

Ramadhan Kailima Awasili TAKUKURU Kuhojiwa

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Ramadhan Kailima,  amewasili  makao makuu ya Taasisi ya Kupambana na Kupiga Vita...

READ MORE

Brexit: Uingereza Yajitoa Rasmi Umoja wa Ulaya

UINGEREZA imeondoka rasmi katika Umoja wa Ulaya saa sita usiku tarehe 31 Januari 2020 kwa saa za Brussels, Ubelgiji kwa...

READ MORE

Mahakama Yazuia Wananchi Kusajiliwa kwa Alama za Vidole

MAHAKAMA Kuu ya Kenya imesitisha kutekelezwa kwa mfumo wa usajili wa wananchi kwa njia ya alama za vidole hadi hapo...

READ MORE

Bosi Benki Afikishwa Mahakamani kwa Uhujumi Uchumi Bil.3

OFISI ya Taifa ya Mashtaka nchini kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kilimanjaro...

READ MORE

Ndugai: Marekani Wanamshughulikia Trump, Tumshugulikie Zitto – Video

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump,  kwa...

READ MORE

JPM Apangua na Kupanga Tena, Ampa Shavu Dkt. Abbas – Video

RAIS John Magufuli leo  Januari 31 Januari, 2020, amemteua Dkt. Hassan Abbas kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni,...

READ MORE

Jeff Bezos Apata Tsh. Tril 30 Ndani ya Dakika 15

JEFF Bezos, Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Amazon amekuwa tajiri mkubwa Duniani baada ya kumpita Bill Gates.   Jeff Bezos...

READ MORE

Kaka wa Nicki Minaj Kwenda Jela Miaka 25

KAKA wa rapa Nicki Minaj, Jelani Maraj, anaweza kwenda jela miaka 25 au maisha kutokana na tuhuma za ubakaji za...

READ MORE

Mama Kabwili Apata Presha, Akimbizwa Hospitali – Video

KIPA namba tatu wa Yanga Ramadhani kabwili ameondolewa kwenye kambi ya timu hiyo baada ya kupata taarifa za mama yake...

READ MORE

Wanusurika Baada ya Kupigwa Risasi na Polisi Geita

WATU wanne wakazi wa Kitongoji cha Kamlale Kijiji cha Kibwela Kata ya Nyawilimilwa, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, wamelazwa katika...

READ MORE

Lugola Ahojiwa na TAKUKURU kwa Saa 5, ‘Nipo Salama’ – Video

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola,  leo Januari 31, 2020, amehojiwa kwa zaidi ya saa tano...

READ MORE

TCRA Yazindua ICT Awards 2020 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam -Video

MAMLAKA ya Mawasiliano nchini (TCRA) leo Januari 31, 2019 inazindua tuzo zake ziitwazo ICT Awards katika Chuo Kikuu cha Dar...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uingereza Asifu Mwanzo Mpya Baada ya Brexit

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, ameusifu mwanzo mpya kwa Uingereza wakati ikijiandaa kuondoka Umoja wa Ulaya baada ya miaka...

READ MORE

Jenerali Kingu Naye Awasili TAKUKURU Kuhojiwa – Video

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Balozi Mteule, Meja Jenerali Jacob Kingu,  naye amefika katika ofisi za...

READ MORE

Waziri Mgumba Asema Mabwawa Yaliyopungua Kina Kutafutiwa Muarobaini

    Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb) amewahakikishia watanzania kuwa serikali imekusudia kuhakikisha kuwa mabwawa yaliyopungua kina...

READ MORE

Wakazi wa Mto wa Mbu Walia na Mafuriko

Wakazi wa mji Mdogo wa Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoani Arusha eneo la Migungani ‘A’ wameiomba serikali kunusuru maisha...

READ MORE

Akitema Mate Sakafu Inachubuka, Ndani Miaka 3 – Video

ANNA Majaliwa, mkazi wa Tabata jijiji Dar es Salaam, ni mama wa watoto watatu ambaye yupo ndani tangu 2017 kutokana...

READ MORE

DCB Yatangaza Ukuaji wa Faida wa Asilimia 43 Kwa Mwaka 2019

Benki ya biashara ya DCB (DCB Commercial Bank Plc) imetangaza kupata faida ya shilingi bilioni 2.3 katika mwaka 2019, ikiwakilisha...

READ MORE

Ndugai: Tunataka Zitto Aeleze, Kwa Nini Amezuia Mkopo Benki ya Dunia

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai ameliambia Bunge kuwa watahitaji maelezo ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kwa nini...

READ MORE

Sheria Mpya Washtakiwa wa Uhujumu Uchumi

SERIKALI imesema kuwa endapo mbunge ataona kuwa kuna haja ya kubadilishwa sheria ya makosa ya uhujumu uchumi ili watuhumiwa wa...

READ MORE

Breaking News: Lugola Awasili TAKUKURU Kuhojiwa

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amefika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

READ MORE

Polisi Dar Yakamata Wauza Madini Bandia – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, limewanasa watu wapatao sita kwa tuhuma za kufanya biashara haramu ya utapeli...

READ MORE

Maalim Seif Ajitosa Kugombea Uenyekiti wa ACT-Wazalendo

MSHURI Mkuu wa Chama cha siasa nchini Tanzania cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amechukua fomu ya kugombea nafasi...

READ MORE

NMB Bank Plc Records The Highest Profit In the Banking Industry

NMB Bank Plc Ag. Managing Director, Ruth Zaipuna NMB Bank Plc. (“NMB”) has recorded a 52% increase in Profit after...

READ MORE

CCM Nayo Kumhoji Kangi Lugola

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara kitamhoji aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola baada ya kutuhumiwa...

READ MORE

Lugola Amkabidhi Ofisi Simbachawene – Video

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ambaye ni Mbunge wa Mwibara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

READ MORE

Sakata la Ununuzi wa Sare Hewa, Bunge Lamkalia Kooni Lugola

Baada ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya...

READ MORE

TAKUKURU Yaanza Kumshughulikia Kangi Lugola

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (Takukuru) leo inatarajia kuanza kuwahoji viongozi mbalimbali waliohusika na mkataba wa...

READ MORE

Yanga, GSM Watoa Msaada Kwa Anna Majaliwa Tabata

KLABU ya Yanga kupitia kwa mdhamini wao Kampuni ya GSM leo Januari 30, 2019 wamefanikisha kutoa masaada wa fedha mahitaji...

READ MORE

Bunge la Ulaya Lapitisha Uingereza Kujitoa EU

WABUNGE wa bunge la Umoja wa Ulaya (EU) wamepitisha kwa wingi sheria inayoruhusu Uingereza kuondoka kwenye umoja huo, maarufu kama...

READ MORE

Arusha: Polisi Yaua ‘Majambazi’ Watano – Video

POLISI mkoani Arusha imewaua watuhumiwa wa ujambazi sugu watano usiku wa saa 3:45, Januari 29, 2020, eneo la njia panda...

READ MORE