×

Habari

Kinondoni Ya Tumia Bilioni 1.5 Ujenzi Wa Madarasa

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya ujenzi na ukaratabati wa vyumba 107...

READ MORE

Msigwa Awasha Moto Bungeni “Tupeni Majibu” – Video

Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya hesabu za serikali (PAC) amewasilisha taarifa ya kamati hiyo leo bungeni ambapo...

READ MORE

Mdee Avuruga Bunge Sakata la Lugola ‘Ni Ufisadi Mkubwa’ – Video

MBUNGE wa Kawe (Chadema), Halima Mdee amesema atawasilisha ombi bungeni ili chombo hicho cha Dola kuunda kamati kuchunguza mikataba mbalimbali...

READ MORE

Rugemarila Akabidhi ‘Nyaraka za Rushwa’ TAKUKURU

MFANYABIASHARA James Rugemarila ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Januari 24, 2020,  alikutana na mwakilishi wa Taasisi ya Kupambana...

READ MORE

SBL YAWAPA SHAVU WANAFUNZI WA KILIMO

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), jana imezindua mpango wa ufadhili wa masomo utakaowanufaisha wanafunzi 30 kutoka katika jamii ya...

READ MORE

Ronaldo: Tulipambana Ili Tuwaache Inter

STAA wa Juventus, Cristiano Ronaldo, amesema kitendo cha wao kushinda dhidi ya Parma kimezidi kuongeza gepu na wapinzani wao Inter...

READ MORE

Spika Ndugai Azindua Kitabu cha Ugonjwa wa Kisukari

SPIKA wa bunge Job Ndugai amezindua rasmi kitabu cha ‘UGONJWA WA KISUKARI NA SULIHISHO LAKE ‘chenye lengo la kuelimisha umma...

READ MORE

Afisa Mtendaji Ampa Mimba Binti Yake wa Kidato cha Pili

MKASA wa mwanafunzi wa Kidato cha Pili kukatiza masomo yake, umechukua sura mpya, baada ya baba wa kambo, Ignas Katula...

READ MORE

Amuua Mama’ke, Mpwa kwa Kula Mayai

WINGU la simanzi limetanda kijiji cha Makundi kaunti ya Machakos nchini Kenya baada ya jamaa mmoja wa miaka 28 kumuua...

READ MORE

Binti Auawa kwa Kipigo Akituhumiwa Kuchelewa kwa ‘Mchepuko’

POLISI  mkoani Njombe linamshikilia mwanamke aliyefahamika kwa jina la Apronia Mwinuka (35) mkazi wa mtaa wa Kikula kata ya Makambako...

READ MORE

Vodacom Tanzania yaungana na PAPU katika ujumuishwaji wa kifedha

Mkuu wa mauzo wa Vodacom kanda ya kaskazini, Brigita Stephen akizungumza jinsi ambavyo kampuni ya Vodacom inaweza kuwa mshirika na...

READ MORE

Rais Magufuli Amjulia Hali Waziri Mkuu Mstaafu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amemtembelea na kumjulia hali Waziri mkuu Mstaafu Mhe....

READ MORE

PICHA: Kangi Lugola Bungeni Leo

Mbunge wa Mwibara(CCM) Kangi Lugola akiwa Bungeni hii leo jijini Dodoma akihudhuria vikao vya Bunge huku akitumia ‘ipad kusoma na...

READ MORE

Mtolea Aliamsha Dduee Bungeni, Waziri Amtuliza – Video

MBUNGE wa Temeke (CCM), Abdallah Mtolea ameiomba Serikali kulifanyia marekebisho gereza la Keko lililoko jijini Dar es Salaam kwa kuwa...

READ MORE

Zungu Akabidhiwa Rasmi Ofisi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amemtaka kila mtumishi katika Ofisi...

READ MORE

Mnyika Atangaza Kugombea Tena Ubunge Kibamba

KATIBU Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema atagombea tena ubunge Kibamba katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020.   Mnyika ambaye...

READ MORE

Mtoto Baraka Anaujua Moyo Utashangaa – Video

MTOTO mdogo aitwaye Baraka Shigongo (10) mwenye kipaji cha aina yake katika masuala mbalimbali hasa ya Sayansi, hapa yupo darasani...

READ MORE

Taliban Waua Watu 13 Afghanistan

Takribani wanajeshi 13 wa Afghanistan wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa wakati wapiganaji wa Taliban walipovishambulia vituo vya ukaguzi wa usalama...

READ MORE

Babake Amlawiti Akiwa na Miaka 3, Haja Kubwa Inatoka Yenyewe” – Mwamtoro

WAZAZI ndio walinzi wa kwanza na wakuu katika kuhakikisha usalama wa watoto wao hii inatokana na ukaribu na mahusiano yaliyopo...

READ MORE

Trump, Netanyahu Waja na Mpango wa Amani

Rais wa Marekani Donald Trump amewasilisha mpango kazi kuhusu Mataifa ya Mashariki ya Kati ambao ulikwa ukisubiriwa kwa muda mrefu,...

READ MORE

Heche Ahoji Mkataba wa Madini Kati ya Tanzania na Barrick – Video

  WAZIRI Kivuli wa Madini nchini Tanzania, John Heche amehoji mambo manne kuhusu mikataba tisa ambayo Serikali ya Tanzania imesaini...

READ MORE

Serikali Yatenga Maeneo Maalum Kutibu Virusi vya Corona

WAZIRI ya Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema mtu yeyote atakayepata virusi vya Corona nchini atatibiwa katika maeneo yaliyotengwa yaliyopo...

READ MORE

Namungo Yazitaka Pointi Tatu za Simba

HITIMANA Thiery, kocha mkuu wa timu ya Namungo amesema kuwa leo ataingia na mbinu mpya itakayompa nguvu ya kupata pointi...

READ MORE

Mafanikio ya Startimes Kwa Mwaka 2019

Tangu kuingia katika soko la Afrika Mwaka 2018,StarTimes inajitahidi kufikia Malengo yake, ili Kuhakikisha kwamba kila Familia ya Kiafrika inapata...

READ MORE

Betika Latua kwa Wafanyabiashara wa Mabati & Mbao Buguruni

MAPEMA leo Jumatano, Oktoba 29, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea wafanyabiashara wa mabati eneo la Buguruni jijini...

READ MORE

KMC Yawapa Wanajeshi Dili La Uwanja Wao

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni (KMC), juzi Jumatatu imetiliana saini na Jeshi la Wananchi kikosi cha 361 KJ kilichopo Lugalo...

READ MORE

Lugola Achunguzwa na Takukuru kwa Ufisadi

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila...

READ MORE

UFISADI TRIONI MOJA…LUGOLA TAA NYEKUNDU JELA YAWAKA

UNAWEZA kusema jela inaweza kuanza kumuita aliyekuwa Waziri wa Mambo wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola baada ya...

READ MORE

Anne Makinda: Sikustahili Kuwa Spika, Niliazima Nguo ya Kuapishwa – Video

SPIKA wa mstaafu wa bunge, Anne Makinda, amelieleza bunge jinsi alivyoazima nguo kwa ajili ya kuapishwa ubunge kwa mara ya...

READ MORE

TMA Yatoa Tahadhari ya Mvua Kubwa

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini  (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, Kaskazini na...

READ MORE

Wakonta: Daktari Kaniambia Naweza Kutembea

MUNGU mkubwa! Ndivyo unavyoweza kutamka kutokana na daktari kueleza kuwa binti mrembo, Wakonta Kapunda ambaye ni mlemavu aliyepooza kiwiliwili yaani...

READ MORE

Selasini Aimwagia Sifa Serikali, Wabunge CCM Shwangwe!

PONGEZI kwa Serikali zilizotolewa na Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini bungeni mjini Dodoma zimeibua shangwe kutoka kwa wabunge wa...

READ MORE

Bulaya Akabidhiwa Mikoba ya Tundu Lissu Bungeni

KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (Mb) amemteua Mbunge wa Bunda (Chadema), Ester Bulaya kuwa Mnadhimu wa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Januari 29, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 29, 2020. Ni yale ya...

READ MORE

Lusinde: Hakuna Kitu Kabisa, Barabara Nyingi Zimeoza

Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde amesema hali ya barabara kuelekea hospitali ya Mvumi imeoza hivyo ni hatari kwa maisha...

READ MORE

Taharuki: Anayedhaniwa Kuwa na Virusi vya Corona, Atua Kenya

ABIRIA wa ndege mwenye dalili za virusi vya homa ya corona amepelekwa katika Hospitali ya Taifa Kenya baada ya kuwasili...

READ MORE

Mgonjwa wa Virusi Vya Corona Ahofiwa Ivory Coast

Maofisa wa afya nchini Ivory Coast wamesema wanahofia kuwa na mgonjwa mwenye virusi vipya vya Corona.   Waziri wa Afya...

READ MORE

Waziri Zungu Akutana na Makamu wa Rais Samia Suluhu – Video

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungnao wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu, Januari 28, 2020, amekutana...

READ MORE

Marekani Yathibitsha Ndege Yake ya Kijeshi Kuanguka Afghanistan

Jeshi la Marekani limekiri kuanguka kwa ndege ya kijeshi chapa E-11A katika eneo la Ghazni nchini Afghanistan, huku likipinga madai...

READ MORE

TCRA Kusaka Waliowasajilia Wenzao Laini za Simu

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kufanya uhakiki wa laini zote za simu zilizosajiliwa ili kuondoa wale waliosajili kwa kutumia...

READ MORE