×

Habari

JK Aongoza Maziko ya Mama wa Mwenyekiti CCM Moro

  RAIS mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Jakaya  Kikwete,  jana Desemba 24, 2019, ameshiriki mazishi ya mama mzazi...

READ MORE

Ajibu Habari Nyingine, Aweka Simba, Yanga

IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliajiwa Simba ni habari nyingine Bongo, kwani anashikilia rekodi kwa washambuliaji wa Simba na Yanga kwa kuwa...

READ MORE

Mastaa Watakavyosherekea Krismasi

  MSIMU wa sikukuu za kufunga mwaka ndio huu, leo tunasherehekea siku ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo maarufu kama Krismasi...

READ MORE

Nkana Wafichua Alipokuwa Kessy

UONGOZI wa Klabu ya Nkana ya nchini Zambia, umeweka wazi kuwa hawajavunja mkataba na beki wao, Mtanzania, Hassan Kessy kama...

READ MORE

Straika mpya Yanga Apambwa Kila kona

  WAKATI uongozi wa Yanga ukiendelea na harakati zake za kukisuka upya kikosi cha timu hiyo, kiungo wa zamani wa...

READ MORE

Lukuvi Akerwa, Atumbua Mtu – Video

  WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Makazi William Lukuvi, leo Desemba 24, 2019 amemsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa Miliki nchini,...

READ MORE

Nondo Ashinda Rufaa Kesi Yake ya ‘Kujiteka’

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa, imemuachia huru aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, Abdul Nondo, baada...

READ MORE

Magoti na Mwenzake Wapandishwa Kizimbani – Video

  MFANYAKAZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) nchini Tanzania, Tito Magoti (26) na Theodory Giyani (36),...

READ MORE

Sakata la Tito Magoti: AG, RPC Dar Wafikishwa Kortini

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Kamanda wa Polisi...

READ MORE

Wametikisa na Shepu za Kuvunja Chaga

FEBRUARI 2019, aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Magharibi visiwani Zanzibar, ACP Hassan Nassir alipiga marufuku wanaume kukohoa au...

READ MORE

Aliyetoroka na Milioni 15.9 za Pamba, Aingia 18 za RC Mwanri

  MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Nzega kumsaka na kumkata Karani wa Chama...

READ MORE

Wafanyakaizi TTCL Wachangia Damu Muhimbili

  WAFANYAKAZI wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Waziri Kindamba leo wamejitokeza kuchangia...

READ MORE

Vita vya Syria Balaa, Maelfu Watimua

  MAELFU ya raia wa wanaoishi katika mkoa wa Idlib nchini Syria wamekimbia  makazi yao kutokana na vita vinavyoendelea katika maeneo...

READ MORE

Mwandishi Bollen Ngetti Adaiwa Kutekwa na Wasiojulikana

  HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema mwandishi wa habari za uchunguzi, Bollen Ngetti,  anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi...

READ MORE

JPM Amwaga Ajira Jeshini

  RAIS John Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka miwili waajiriwe ...

READ MORE

Wakili Ahoji: ‘Bulaya Ndoa Yako Ilivunjika Lini?’ – Video

  MBUNGE wa Bunda Mjini, Estar Bulaya (CHADEMA), ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa ndoa yake na mumewe Gustavu...

READ MORE

RPC Taibu: Sina Taarifa Tito Kukamatwa Kinondoni – Video

  KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mussa Taibu,  amesema hana taarifa za kukamatwa kwa ofisa wa Kitengo cha...

READ MORE

Rais Nkurunzinza Atangaza Kung’atuka Madarakani

RAIS wa Burundi, Piere Nkurunzinza, amebainisha msimamo wake wa kutogombea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, hatua ambayo imewashangaza raia...

READ MORE

Jambazi Sugu Anayetumia Dawa za Usingizi Afariki Akitoroka Polisi

    MTUHUMIWA anayedaiwa kuiba kwa kutumia dawa ya usingizi anayopulizia watu usiku na kuingia ndani mwao, amepoteza maisha baada...

READ MORE

Kampuni ya Azania Kumwaga Zawadi Kibao Msimu Huu wa Sikukuu

   KATIKA msimu huu wa sikukuu, kampuni ya Azania, watengenezaji wa Sabuni za King Limau na Marhaba imetangaza ofa kabambe...

READ MORE

Kiba Noma… Awapa Wazungu Mil. 300 Amfunike Mondi

STAA wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ anataka kuthibitisha kwamba, kweli yeye ni mfalme (king), Risasi Jumamosi limedokezwa....

READ MORE

Mama Ambipu Sirro! Amfanyia Unyama Mwanaye

SIKU chache baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro kuzindua dawati la jinsia na watoto...

READ MORE

Mama Samia Awasili Serengeti Kuadhimisha Miaka 60 ya TANAPA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Seronera Wilaya...

READ MORE

Rais Magufuli Amtembelea Katibu wa CCM Wilaya ya Mbogwe

Rais John Magufuli leo Desemba 22, 2019 amemtembelea na kumjulia hali aliyewahi kuwa katibu wake, Gervace Makoye. Makoye amekuwa katibu...

READ MORE

Rais Magufuli Awatakia Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania (Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo  Jumapili Desemba 22, 2019 amejumuika pamoja...

READ MORE

Prof. Ndalichako Anaficha Udhaifu Bodi ya Mikopo?

  “TAMKO lao halina adabu, kama wanataka kutikisa kiberiti, nawaambia kiberiti kimejaa njiti,” hiyo ni kauli ya kibabe ya Waziri...

READ MORE

Jela Miaka 15 kwa Kuchoma Bendera ya ‘Mashoga’

JAJI mmoja nchini Marekani amemuhukumu kifungo cha zaidi ya miaka 15 jela mwanamume mmoja aitwaye Adolfo Martinez (30) aliyeiba bendera...

READ MORE

Yanga Yaipiga 4G Iringa United Uwanja wa Uhuru

MCHEZO wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Uhuru kati ya Yanga na Iringa United umekamilika kwa Yanga kuibuka na ushindi...

READ MORE

Hudefo Yaendesha Mdahalo wa Nishati Jadidifu

  ASASI isiyo ya kiserikali ya Human Dignity and Environmental Care Foundation (HUDEFO) inayojihusisha na utu na mazingira jana iliandaa...

READ MORE

Baba Aliyetaka Kumuua Mtoto Mtoni, Kamanda Aeleza A-Z (Video)

  JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro limethibitisha kumshikilia mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Benson Bernard Sadala Shila (31)...

READ MORE

LHRC Yaitaka Polisi Ieleze Alipo Magoti – Video

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeliomba jeshi la polisi kutaja kituo ambacho anashikiliwa mmoja ya wafanyakazi...

READ MORE

Video Imeshtua Wengi, Baba Ataka Kumuua Mwanaye Mtoni

  VIDEO liyosambaa katika mitandao ya kijamii jana Ijumaa, Desemba 20, 2019, jioni imeshtua watu wengi na kuzua taharuki huku...

READ MORE

Naibu Waziri Mgumba Amaliza Ziara Ya Siku Mbili Uganda

Mhe Naibu waziri wa Kilimo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Omary Mgumba amemaliza ziara ya siku mbili ya kiserikali...

READ MORE

NBC Yazindua Kampeni Ya Bima Ya Magari Msimu Huu Wa Sikukuu

  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Sanlam imezindua kampeni ya bima ya...

READ MORE

Mrembo Atoboa Siri Penzi na Kiba

  MAKUBWA! Wakati kukiwa na wingu zito kuhusu ndoa ya msanii wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’, membo kutoka...

READ MORE

Unatafuta Shule Ya Mwanao? St. Mary’s Ndiyo Jibu Lako

  ZIMEBAKI siku chache kabla ya kuumaliza mwaka 2019 na kuingia 2020! Kwa kawaida, mwezi huu na Januari, ni kipindi...

READ MORE

Polisi: Ofisa LHRC Anashikiliwa Kwa Mahojiano, Ajatekwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linamshikilia Ofisa wa kitengo cha Elimu kwa Umma wa Kituo...

READ MORE

Shehe Amuwakia Diamond na Tanasha

  SHEHE Ahmed Kandauma kutoka taasisi ya dini ya Kiislam IRSHAD ya Temeke jijini Dar amemuwakia msanii Nasibu Abdul ‘Mondi’...

READ MORE

Mkazi Wa Songea Asepa Na Milioni 10 Za Nala Shindano La Mama Kasema (Picha+Video)

SAMWELY Kisinga, mjasiriamali na mkazi wa Songea ameibuka kidedea kwenye Shindano la Mama Kasema lililokuwa chini ya kampuni ya kizawa...

READ MORE

Muuguzi Mbaroni kwa Kumbaka Mjamzito Akijifungua – Video

  MUUGUZI wa Kituo cha Afya Mamba, mkoani Katavi, Abednego Alfred (32), anadaiwa kumbaka mjamzito aliyekuwa kwenye chumba cha kujifungulia,...

READ MORE