×

Habari

Gazeti la Betika Yatikisa Mwanza

MARA baada ya Gazeti la Betika kuingia mtaani Jumatano ya wiki hii lilitikisa maeneo mbalimbali ya Jiji la Mwanza ikiwemo...

READ MORE

Lissu Awasili Kenya, Agoma Kufika Tanzania – Video

ALIYEKUWA  mbunge wa singida mashariki Tundu Lissu (CHADEMA) amesema atarejea Tanzania baada ya marafiki zake kumuhakikishia usalama wake.   Lissu...

READ MORE

Mtoto wa Bilionea Atekwa Akitoka Gym Kama Mo

WATU wasiojulikana wamemteka Shelton Lalgy, mtoto wa mfanyabiashara mkubwa nchini Msumbiji, Juneide Lalgy.   Tukio hilo limetokea jijini Matola jana...

READ MORE

Gazeti la Betika Ndani ya Jiji la Arusha

KATIKA kile kinachoonekana kushika kasi, Gazeti la Betika limeendelea kushika kasi na wiki hii lilifika mitaa ya Arusha. Gazeti hilo...

READ MORE

Rais Trump Afanya Ziara ya Ghafla Afghanistan

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amefanya ziara ya kushtukiza katika kambi ya vikosi vya Marekani nchini Afghanistan na kusema kuwa...

READ MORE

DPP Afuta Kesi 59 Mbeya

KATIKA mwendelezo wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) kwenye mikoa ya...

READ MORE

Nunua Gazeti la Championi : Mashine nne mpya ndani ya Yanga

Uanweza kujipatia nakala ya gazeti la Championi na kulisoma lote kwa njia ya mtandao na kwa gharama ya nusu bei,...

READ MORE

Nunua Gazeti la Ijumaa : Kishindo ndoa ya Vanessa, bilionea Marekani!

Uanweza kujipatia nakala ya gazeti la Ijumaa na kulisoma lote kwa njia ya mtandao na kwa gharama ya nusu bei,...

READ MORE

Naibu Waziri Mwanjelwa Atunukiwa PhD

 Dkt. Mary Mwanjelwa (kushoto) akiwa na baadhi ya wahitimu wenzake.  NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala...

READ MORE

Mshindi wa Promosheni ya Tigo Chemsha Bongo Apatikana

Droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Tigo Chemsha Bongo’ imefanyika jijini Dar es Salaam ambapo mkaazi wa Zanzibar, Shabani Khamis...

READ MORE

Madai ya Kuazima Vyombo… Mama Asuta Mtaa Mzima – Video

USWAHILINI kuna vituko! Mama mmoja anayejulikana kwa jina la Mama Shamira Mkazi wa Jeti Lumo Mtaa wa Masizi jijini Dar...

READ MORE

Sumaye Apigwa Chini Chadema, Huenda ‘Akakacha’

ALIYEKUWA mgombea pekee wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye,  ameshindwa...

READ MORE

Waziri Mbarawa Kutoa Ushahidi Mahakamani

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa, anatarajia kutoa ushahidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi inayomkabili...

READ MORE

Hali ya Mbowe Bado ni Tete, Mahakama Yashindwa Kuendelea na Kesi

  KESI ya uchochezi inayowakabili vigogo tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeshindwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Tanzia: Msanii Bi Cheka Afariki Dunia – Video

MSANII  mkongwe wa kike wa muziki wa Bongo Fleva, Cheka Hija Mzee, maarufu kwa jina la ‘Bi Cheka’ amefariki dunia...

READ MORE

Sheva Afunguka Kilicho Nyuma ya Mabao Yake

MIRAJI Athuman ‘Sheva’ mshambuliaji wa Simba amefichua kuwa kilicho nyuma ya mabao yake ni kivuli cha nahodha, John Bocco pamoja...

READ MORE

Kocha Azam; Chirwa Atafunga Sana

KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa mshambuliaji wao Obrey Chirwa atafunga mabao mengi msimu huu kwa kuwa...

READ MORE

Mtandao wa Jumia Wafunga Biashara Tanzania

MTANDAO wa kimataifa wa biashara wa Jumia wenye makao makuu nchini Nigeria, umesimamisha shughuli zake nchini Tanzania tangu Novemba 27,...

READ MORE

Wafanyakazi NBC Wajitolea Damu Kusaidia Wenye Mahitaji

    Watanzania wamehimizwa kushiriki zoezi la kuchangia damu kwa hiari ili kukidhi mahitaji makubwa ya damu na kuokoa maisha...

READ MORE

Video: Mkutano Mkuu Wa Biashara Na Uwekezaji Afrika Mashariki – Arusha

 Mkutano mkuu wa biashara na uwekezaji wa Afrika Mashariki unafanyika leo Novemba 28, 2019 jijini Arusha

READ MORE

Masauni Amuagiza IGP Sirro Kumsimamisha Kazi Mkuu wa Chuo

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro kufanya mabadiliko ya uongozi...

READ MORE

Dk Bashiru: Vyama vya Upinzani Vitakufa Kimoja Baada ya Kingine

Katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vitaendelea kufa kimoja baada ya kingine kwa...

READ MORE

Gazeti la Betika lapokewa Mbeya kwa shangwe

WASOMAJI wa Gazeti la Betika mkoani Mbeya wameuomba uongozi wa gazeti hilo kuweza kutoa mara kwa mara na kwa wingi...

READ MORE

JPM Amwokoa Mponda Kokoto Aliyevunjwa Mkono – Video

  RAIS John Magufuli ameutaka uongozi wa Wilaya ya Kahama kulishughulikia suala la mama mmoja mponda kokoto aliyesema alivunjwa mkono...

READ MORE

Lukuvi: Wapangaji Nyumba za NHC Wahakikiwe Upya

WAZIRI wa Ardhi, William Lukuvi,  ametoa miezi minne kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuhakiki wapangaji wa nyumba  na...

READ MORE

Wanusurika Kifo, Waibiwa Baada ya Kula Biskuti Walizopewa

ABIRIA  wawili waliokuwa wanasafiri na basi la kampuni ya Buti la Zungu kutoka Dar es Salaam kuelekea mkoani Mtwara wamenusurika...

READ MORE

Dkt. Bashiru Amuonya Bernard Membe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya mwanachama wake ambaye ni waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Bernard Membe, kutokuwa...

READ MORE

JPM: “Hata Kususia Uchaguzi Nayo ni Demokrasia” – Video

RAIS John Magufuli amesema kitendo cha vyama vya upinzani kususia uchaguzi wa serikali za mitaa ni demokrasia huku akisisitiza kuwa...

READ MORE

JPM Igunga: Bilioni 1 Mnajenga Mitaro?…. Naondoka – Video

RAIS John Magufuli amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga mkoani Tabora,  Revocatus Kuuli,  kuitisha kikao haraka na madiwani na kujadili...

READ MORE

Mwananchi: “Rais Achia Fedha, Mtaani Hali Ngumu”… JPM Amjibu – Video

Rais John Magufuli amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii na waache kulalamika kwamba hawana fedha wakati hawajitumi.   Magufuli ametoa...

READ MORE

Ndege Yapigwa Radi Ikiwa Angani

NDEGE ya Proflight ikiwa na abiria 41 juzi ilifanikiwa kutua salama jijini Lusaka nchini Zambia baada kupigwa na radi na...

READ MORE

Daktari Anayetuhumiwa Kuomba Rushwa ya Ngono kwa Mjamzito Yamkuta

WIZARA ya afya Zanzibar imemsimamisha kazi daktari wa Hospitali ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba, Massoud Sleiman Abdalla, kutokana tuhuma...

READ MORE

Vichwa Viwili vya Binadamu Vyakutwa Shambani

POLISI wilayani Ibanda nchini Uganda, wamekuta vichwa viwili vya binadamu (mwanaume na mwanamke) vikiwa vimetupwa shambani maeneo ya Kyegwisa ambapo...

READ MORE

Wasomaji Tabata-Chawote Wamelikubali Kinoma ‘Betika’

MAPEMA leo Jumatano, timu ya maofisa masoko ya Global Publishers imetembelea maeneo ya Tabata-Chawote, Makamba FC, TOT, Ally Hamza, Twiga-Tabata...

READ MORE

Mtoto Akutwa na Maiti za Wazazi Wake – Video

MTOTO wa mwaka mmoja (jina linahifadhiwa) wa jijini Dar es Salaam amewahuzunisha wengi alipokutwa amekaa na maiti za wazazi wake...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Aburuzwa Kortini kwa ‘Kumtwanga’ Mkewe

ALIYEKUWA mkuu wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Peter Toima Kiroya anadaiwa kuburuzwa polisi na mkewe Philomena Toima kwa tuhuma...

READ MORE

Ofisa Tume ya Haki za Binadamu Agongwa Bodaboda, Afariki

Ofisa wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Getrude Alex (40), amefariki dunia usiku wa Novemba 23,...

READ MORE

Watu 13 Wafariki Katika Tetemeko La Ardhi Albania – Video

Watu 13  wamepoteza maisha na wengine zaidi ya  320 wamejeruhiwa katika tetemeko la Ardhi lililotolea asubuhi ya Novemba 26 huko...

READ MORE

Mbowe Aiomba Mahakama Apumzike Kutokana na Afya Yake

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,  ameiomba mahakama impe muda aweze kupumzika kutokana na afya yake,...

READ MORE

Mapadri Jela Miaka 40 Kwa Ubakaji

MAHAKAMA ya nchini Argentina imewahukumu makasisi (mapadri) wawili wa Kanisa Katoliki la Roma kifungo cha zaidi ya miaka 40 jela...

READ MORE