×

Habari

Rais Dkt. Samia: Watanzania Tuendelee Kuliombea Taifa Lidumu Katika Amani

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuwasisitiza Watanzania waendelee kuliombea Taifa ili amani,...

READ MORE

Video: Watahiniwa 595,816 Kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2025 Kesho

JUMLA ya watahiniwa 595,816 wanatarajiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) mwaka 2025, wakiwemo 569,914 wa shule na 25,902...

READ MORE

Maumivu! Akatwa Ulimi Mara 6 Kutokana Na Saratani, Sasa Anahitaji Milioni 55 Ili Kuokoa Maisha Yake – Video

Ni maumivu yasiyoelezeka! Mwanamama Zainabu, mkazi wa Mbezi Makabe jijini Dar, anapitia kipindi kigumu baada ya kukatwa ulimi mara sita...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchimbi Amwakilisha Rais Samia Katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa ICGLR Nchini DRC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

DRC na Waasi wa M23 Watia Saini Makubaliano ya Amani Nchini Qatar

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kundi la waasi la M23 wametia saini makubaliano mapya ya mpango wa amani...

READ MORE

Jasinta Makwabe Atoa Neno La Nguvu Kwa Mabinti Wa Chuo Cha Urembo

Jana jumamosi Tarehe 16 , Chuo cha Mamdogo Beauty Training Center kilichopo Kimara, Dar es Salaam, kimefanya mahafali ya wanafunzi...

READ MORE

China Yamuonya Vikali Waziri Mkuu wa Japan Kuhusu Kauli ya Taiwan

Wizara ya Mambo ya Nje ya China imemwita balozi wake wa Japan nyumbani kwa sababu ya matamshi yaliyotolewa na Waziri...

READ MORE

Airtel Africa: Kuchochea Ukuaji wa Kidijitali na Ujumuishaji wa Kifedha Barani Afrika

Airtel Africa inaendelea kuandika historia katika ukuaji wa sekta ya mawasiliano barani Afrika, Matokeo yake ya nusu mwaka yanaonyesha namna...

READ MORE

Kampuni Chipukizi za Kibunifu Kutoka Uganda Watembelea Tanzania Kukuza Ubunifu wa Kibiashara

Dar es Salaam, Tanzania – Ijumaa, 17 Novemba 2025: Ujumbe wa kampuni kumi chipukizi za kibunifu kutoka Uganda upo Tanzania...

READ MORE

Waziri Mkuu Afanya Ziara Ya Kushtukiza Hospitali Ya Mkoa Wa Dodoma – Video

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 15, 2025 amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...

READ MORE

Urusi na Ukraine Zashambuliana Usiku: Watu Wafariki, Majengo Yaharibiwa, Bei za Mafuta Yapanda

Urusi na Ukraine zimeshambuliana usiku wa kuamkia leo kwa ndege za droni na makombora huku mashambulizi hayo ya kila upande...

READ MORE

Hii hapa Hotuba ya Rais Dkt. Samia Akifungua Bunge la 13, Novemba 14, 2025 – Video

Rais Samia ameeleza safari hiyo Novemba 14, katika hotuba wakati wa kufungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Rais Samia: Vyombo vya habari vitapewa nafasi na leseni kwa haki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali itaendelea kulinda na kuimarisha uhuru wa vyombo...

READ MORE

Bangladesh: Mahakama Kutoa hukumu dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina

DHAKA, Bangladesh – Mahakama maalumu nchini Bangladesh inatarajiwa kutoa hukumu Jumatatu, Novemba 17, 2025, katika kesi inayomkabili Waziri Mkuu wa...

READ MORE

BBC Yamwomba Trump msamaha lakini Yakataa kulipa fidia

Shirika la habari la BBC limeomba msamaha kwa Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, baada ya kipindi cha Panorama...

READ MORE

Rais Samia: Bilioni 200 zimetengwa kuwawezesha vijana, Serikali yaja na Wizara Maalumu ya Vijana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan, amesema serikali ya awamu ya sita imetenga kiasi cha shilingi bilioni...

READ MORE

Hospitali ya Shifaa Yazindua Kitengo Maalum cha Kutibu Maradhi ya Kisukari

HOSPITALI ya Shifaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imezindua kitengo  maalum kwa ajili ya matibabu ya wenye maradhi ya...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Vijana Waliofuata Mkumbo Katika Maandamano Kuachiwa Huru – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa maelekezo maalum kwa vyombo vya ulinzi na usalama,...

READ MORE

Video: Rais Samia Awapa Pole Waathiriwa wa Vurugu, Aahidi Hatua Madhubuti

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema taifa linapitia kipindi kigumu kutokana na vifo na...

READ MORE

Vibonge Kunyimwa Visa? Haya Ndiyo Mapya Kutoka Serikali ya Rais Trump

Serikali ya Rais Donald Trump inakusudia kuanza kuwanyima visa wahamiaji wa kigeni wenye unene uliopitiliza (vibonge). Inaelezwa kuwa mbali na...

READ MORE

Ongeza Odds Zako Papo Papo na Live In-Play Booster ya Meridianbet

Live In-Play Booster ni huduma ya Meridianbet inayowezesha wateja kubashiri mechi zinazoendelea (live matches) na kupata odds zilizoboreshwa papo kwa...

READ MORE

Rais Samia: Nafasi ya Waziri Mkuu si ya ndugu wala rafiki, ni ya Watanzania – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kutumia nafasi...

READ MORE

Dkt. GeorDavie Atemuliwa Balozi wa Afrika Mashariki na UN-PAF

Nabii Mkuu na Kiongozi wa Kanisa la Ngurumo ya Upako jijini Arusha, Balozi Dkt. GeorDavie Moses, amepewa heshima kubwa kimataifa...

READ MORE

JWTZ Kuwachukulia Hatua Za Kisheria Wapotoshaji Katika Mitandao Ya Kijamii – Video

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ), linakemea tabia inayokithiri ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii inayolihusisha Jeshi na...

READ MORE

NEEC Yawataka Vijana Kuweka Akiba

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), CPA Ben’gi Issa amewataka vijana kuweka akiba na kuacha...

READ MORE

Rais Salva Kiir amfuta kazi Makamu wa Kwanza wa Rais Benjamin Bol Mel

Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit, amemfuta kazi Makamu wa Kwanza wa Rais, Benjamin Bol Mel, katika uamuzi wa...

READ MORE

NMB Yawatambua wanafunzi bora na Kuimarisha Ushirikiano na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Benki ya NMB kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitivo cha Biashara, imewatambua wanafunzi kumi bora katika...

READ MORE

Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Nchemba Apokelewa kwa Shangwe Dodoma – Video

Waziri Mkuu Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba, amepokelewa kwa heshima kubwa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu katika makazi ya...

READ MORE

Rais Mwinyi Atangaza Mawaziri Wateule Wa Serikali Ya Mapinduzi Ya Zanzibar -Video

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza uteuzi wa Mawaziri na Naibu...

READ MORE

Daniel Sillo Baran Achaguliwa Naibu Spika wa Bunge la 13

Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran amechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya...

READ MORE

Bunge la Marekani Laidhinisha Mpango wa Kumaliza Shutdown

Bunge la Wawakilishi (House of Representatives) limeidhinisha rasmi pakiti mpya ya fedha yenye lengo la kumaliza mgogoro wa kifedha uliosababisha...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu: Serikali Itatekeleza Miradi Inayogusa Maisha ya Wananchi -Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameahidi kusimamia kwa nguvu zote utekelezaji wa malengo ya...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dkt. Mwigulu Nchemba Kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania – Video

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akitangaza Jina la Waziri Mkuu aliyeteuliwa na Mhe....

READ MORE

Mchezaji wa Yanga Aziz Andabwile Awatoa Taarifa Kuhusu Sintofahamu Mitandaoni

Mchezaji wa Klabu ya Yanga SC, Aziz Andabwile ameweka wazi ukweli kuhusu taarifa zilizokuwa zikisambaa mitandaoni zikimhusu yeye na Klabu...

READ MORE

TTCL Yazindua Huduma Mpya ya Mawasiliano Ijulikanayo Kama T-Fibre Triple Hub

 KATIKA juhudi za kuunga mkono Serikali katika kukuza uchumi wa kidijitali kupitia matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA),...

READ MORE

Serikali Yajikiti Kuboresha Mfumo Wa Utoaji Gawio

Ofisi ya Msajili wa Hazina (Tanzania) imeshiriki kikao cha wadau cha kuwasilisha Rasimu ya Muongozo wa Uandaaji wa Sera ya...

READ MORE

Wanawake Wengi Wapo Jela India Kisa Unga

Mwanadada ambaye alikuwa akiishi nchini India kwa ajili ya majukumu ya kikazi, amerejea nchini na kufunguka kuhusu mambo mbalimbali aliyokutana...

READ MORE

Bunge Kumthibitisha Waziri Mkuu na Kumchagua Naibu Spika Kesho

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ametangaza kuwa kesho tarehe 13 Novemba 2025,...

READ MORE

Mahakama Yaahirisha Kesi ya Uhaini ya Lissu Hadi Ratiba Mpya – Video

Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa kwa muda hadi Msajili wa...

READ MORE

Maandamano ya Oktoba 29 Hayakuwa Halali, TPBA Yatamka

Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) kimetoa tamko rasmi kuhusu matukio yaliyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29...

READ MORE