×

Habari

Sanlam yakabidhi madarasa na ofisi za walimu Kondoa

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya bima Sanlam kanda ya...

READ MORE

VIDEO: Esma Platnumz KUIBA Mume Wa Baby J, UKWELI WAANIKWA!!

HAPATOSHI! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia sakata linalomgusa Esma Khan baada ya kudaiwa kumpora mwanaume aliyejulikana kwa jina la Abood ambaye...

READ MORE

ALICHOKISEMA BASHE BAADA YA KUTEULIWA KUWA NAIBU WAZIRI

Baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kumteua Hussein Bashe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo, Kuchukua nafasi ya Innocent Lugha...

READ MORE

Ripoti Stiegler’s Yaanikwa, Yapangua Hoja za UNESCO, WWF Kuhusu Uamuzi wa JPM

TIMU ya wataalamu bingwa watano wa kitanzania waliobobea katika masuala ya uhifadhi, mazingira na uchumi, juzi ilizindua ripoti yake ya...

READ MORE

NMB Yaipa Serikali Sh 750 Milioni Mkutamo Mkuu wa ALAT

BENKI ya NMB imesaidia zaidi ya Sh 750 milioni kwaajili ya Mikutano Mikuu ya Serikali za Mitaa na Tawala za...

READ MORE

DENTI ATEKWA KIMAFIA, BABA YAKE ASIMULIA – VIDEO

  HUU ni zaidi ya umafia! Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Mnazi Mmoja jijini Dar, mwenye umri wa miaka 16...

READ MORE

January Makamba Atoa Kauli ya Kwanza Twitter

Baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira,...

READ MORE

Mabingwa Burundi Kuwanoa Yanga

KATIKA kuhakikisha wanakuwa fiti kuelekea mchezo wao wa kirafiki dhidi ya AS Vita ya DR Congo, Yanga itavaana na mabingwa...

READ MORE

SABABU WANAWAKE KUUAWA ZAANIKWA

MATUKIO ya wanandoa kuuana yanaendelea kukithiri nchini na kuleta tishio jipya hasa kwa wanawake ambao kwa kiasi kikubwa ni waathirika...

READ MORE

JPM Amteua Bashe Kuwa Naibu Waziri, Atengua Uteuzi wa Makamba

Rais Magufuli amemteua George Boniface Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kuchukua nafasi...

READ MORE

Metacha Agomea Benchi Yanga, Amchimba Mkwara Farouk

KIPA mpya wa Taifa Stars na Klabu ya Yanga, Metacha Mnata, ametoa kauli ya kitisho kwa kipa mwenzake raia wa...

READ MORE

Caf yaipeleka Yanga SC kambi nje ya nchi

UONGOZi wa Yanga umesema kuwa kambi yao ya nje ya nchi ipo palepale na kikubwa wanachosubiria ni droo ya Ligi...

READ MORE

Balinya Aiteka Moro, Mashabiki Wapagawa

MASHABIKI wa Yanga waliomuona kwa macho yao, straika mpya Juma Balinya wamewaambia wenzao kwamba jamaa ni fundi na ana kiwango...

READ MORE

Zahera Kutua Nchini Julai 25, Kuelekea Siku Ya Mwananchi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, anatarajiwa kutua nchini Julai 25, mwaka huu kujiunga na timu hiyo katika maandalizi ya...

READ MORE

Lusinde: Lugola Awahoji Kinana, Nape Kuhusu Sauti Mtandaoni – VIDEO

MBUNGE wa Jimbo la Mtera (CCM), Livingstone Lusinde,  leo Julai 20, 2019,  ameongea na wanahabari  jijini Dar es Salam  akimtaka...

READ MORE

WANACHUO WALIOTENGENEZA MITA YA MAJI WATUA GLOBAL

  WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha St. Joseph cha jijini Dar es Salaam waliobuni mita ya kisasa na mfumo wa...

READ MORE

Tanzania Wahitajika Kuwekeza Katika Afya na Elimu ya Vijana

  Tanzania imetakiwa kuwekeza kwa haraka katika elimu na afya za watu wake hasa vijana kama itataka kuimarisha rasilimali watu...

READ MORE

Jeshi zima Simba hili hapa

MABOSI wa Simba wameweka wazi jeshi lao ambalo watalitumia kwa msimu ujao ambapo kikosi hicho kitaundwa na nyota 26 pekee....

READ MORE

Jaguar Atua Dar, Anena Haya Kuhusu Watanzania

MBUNGE wa Starehe nchini Kenya, Charles Njagua, maarufu kama Jaguar, yupo nchini Tanzania kuanzia jana Alhamisi Julai 18, 2019, na...

READ MORE

UCHAGUZI SINGIDA: MGOMBEA CCM APITA BILA KUPINGWA

MGOMBEA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Miraji Mtaturu,  amepita bila ya kupingwa katika hatua za awali za matayarisho ya uchaguzi...

READ MORE

Seneta Aagiza App ya FaceApp Ichunguzwe

SENETA mwandamizi wa jiji la New York nchini Marekani, Chuck Schumer,  amewataka maofisa wa shirika la upelelezi la Marekani  (FBI)...

READ MORE

WAZAZI, WALEZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

Stori: Neema Adrian, Dar Wazazi na walezi nchini wamekumbushwa kuwa na malezi chanya kwa watoto ili kukabiliana na ukatili unaoendelea...

READ MORE

Ajibu Alala Hoteli Ya Rooney Sauzi

WAKATI Jeshi zima la Simba likiwa linaendelea kujifua kwenye kambi yake nchini Afrika Kusini, imebainika kuwa sehemu hiyo ambayo Simba...

READ MORE

WALIOKATAA FEDHA ZA UWOYA GLOBAL WAPEWA KITITA

UONGOZI wa Global Publishers umewapongeza kwa kuwapa kitita cha fedha wanahabari wake, Imelda Mtema na Hillary Daudi,  kwa kuonesha weledi...

READ MORE

Simba na Al Ahly Zatunishiana Sauzi

SIMBA imeingia kwenye mpambano mkubwa wa kimilionea wa kusaka saini ya straika wa Orlando Pirates, Justin Shonga. Mabingwa hao watetezi...

READ MORE

Usajili Yanga Waipa Hofu Simba SC

WAKATI kikosi cha Yanga kikiendelea kujifua huko mkoani Morogoro kwa ajili ya msimu ujao wa ligi, aliyekuwa kipa namba moja...

READ MORE

SANGOMA MASHAROBARO WATIKISA

DAR ES SALAAM: VIJANA watano waliotajwa kuwa ni waganga wa kienyeji ‘sangoma’ tena masharobaro wameutikisa mji wa Morogoro baada ya...

READ MORE

Christina Shusho Atua Global, Afunguka Kuhusu Rose Muhando

MWANAMUZIKI wa Nyimbo za Injili Christina Shusho leo Alhamisi 18, 2019 amefika  Ofisi za Global Group kufanya mahojiano katika kipindi...

READ MORE

TUKIO LA KUTAKA KUTAPELIWA LAMPA FUNZO JOKATE

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa, tukio la mwanaume Omari Chuma kutaka kumtapeli lililomtokea hivi karibuni, limempa...

READ MORE

VIDEO: ASKARI wa DHAHABU Mwanza Waachiwa Huru, RPC Afunguka!

 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mwanza leo Alhamisi Julai 18, 2019, imewaachia huru askari wanane wa Jeshi la Polisi Mkoa...

READ MORE

VIDEO: Magufuli Aagiza Mahabusu Wanaoshikiliwa Kimakosa Waachiwe

Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza wizara katiba na Sheria pamoja na vyombo vingine vya ulinzi vinavyohusika na Mahakama wapitie...

READ MORE

Watu 23 Wafariki Shambulio la Moto Katika Studio Japan

WATU zaidi ya 23 wamefariki leo (Alhamisi) katika studio ya kurekodi matangazo na kuchapisha vitabu na majarida mbalimbali katika vyombo...

READ MORE

Safari ya Kwanza ya Air Tanzania kutoka DAR – MUMBAI Yazinduliwa

  WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe,  jana, Jumatato, Julai 17, 2019,  amezindua safari ya kwanza ya kimataifa...

READ MORE

Yanga yatangaza mechi Nne za Maajabu

YANGA imetangaza kwamba mwezi Agosti na Septemba watakuwa na mechi nne za kuonyesha ubora wao Afrika lakini hapa kambini pamenoga....

READ MORE

MAKONDA AZINDUA SOKO KIMATAIFA LA MADINI DAR

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, jana Julai 17, 2019,  amezindua soko la Kimataifa la Madini na...

READ MORE

Ajibu akiona cha moto Sauzi

AKIWA Rustenburg, Afrika Kusini kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu na Francis Kahata wamekiona cha moto ni baada ya...

READ MORE

Amuua Mkewe, Amchoma Kwa Mkaa Gunia 2 na Kuwa Majivu

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia mwanamme mmoja kwa jina la Khamis Luwoga maarufu kama ‘Meshack’...

READ MORE

Mkuu wa Shule Kisimiri Apewa Tuzo na Global Radio, Apokelewa Kishujaa (Picha +Video)

MKUU wa Shule ya Sekondari Kisimiri Arusha, Valentino Tarimo,  Jumatano Julai 17, 2019 amekabidhiwa Tuzo ya Shukrani baada ya shule...

READ MORE

MAUZA UZA PAKA WA AJABU ATIKISA NYUMBANI KWA MSANII

UKISIKIA neno mauzauza maana yake ni hali ya ovyoovyo isiyotambulikana; hii ndiyo imedaiwa kuletwa na paka wa ajabu nyumbani kwa...

READ MORE