×

Habari

MSAIDIZI WA MEMBE ALIYEDAIWA KUTEKWA APATIKANA

MSAIDIZI wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe, Allan Kiluvya amepatikana akiwa hai baada ya...

READ MORE

MAAJABU YA KIFAA CHA TIBA MPYA YA UKIMWI

JANGA la ugonjwa wa Ukimwi lililodumu kwa zaidi ya miaka 36 linaweza kufikia kikomo endapo tiba mpya iliyogundulika nchi Marekani...

READ MORE

Serikali Kujenga Chato Stadium ya Ukweli – Video

SERIKALI imesema imedhamiria kujenga uwanja mkubwa wa mpira wa miguu wilayani Chato, mkoani Geita ambako ni nyumbani kwa Rais John...

READ MORE

NABII BILIONEA MWANAMKE ATIKISA BONGO

NI kishindo cha aina yake! Nabii mwanamke, Dk Lucy Natasha ambaye ametinga Bongo kufanya huduma katika makanisa mbalimbali, ameibua gumzo...

READ MORE

Ibada ya Kuaga Miili ya Wafanyakazi 5 wa Azam TV – Video

KUFUATIA vifo vya watu saba wakiwemo wafanyakazi watano wa Kampuni ya Azam Media waliofariki dunia jana baada ya gari walilokuwa...

READ MORE

JPM Azindua Hifadhi ya Taifa Burigi, Ampongeza Faru Rajabu – Video

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amempongeza faru Rajabu, ambaye ni mtoto wa Faru John,...

READ MORE

MISS UTALII WASAKA WARATIBU KANDA

BAADA ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kupitisha mfumo mpya wa uongozi na kuruhusu tena shindano la Miss Utalii,...

READ MORE

Wafanyakazi 5 wa Azam TV Waliofariki Ajalini Kuagwa Leo – Video

NI pigo kubwa kwa tasnia ya habari, wanafamilia na Azam TV kwa kuondokewa na wafanyakazi watano  waliofariki dunia jana Jumatatu,...

READ MORE

NMB Yakabidhi Gawio la Shilingi Bilioni 10.48 kwa Serikali

      Benki ya NMB jana ilikabidhi gawio la shilingi Bilioni 10.48 kwa Serikali ikiwa ni sehemu ya faida...

READ MORE

Familia ya Msaidizi wa Membe Yamwangukia JPM

FAMILIA ya msaidizi wa Bernard Membe, Allan Kiluvya,  anayedaiwa kutekwa usiku wa kuamkia Julai 7, imeomba msaada baada ya kufanya...

READ MORE

Miaka 5 ya MPawa na safari ya mafanikio yake

Benki ya CBA ikishirikiana na kampuni ya Vodacom imefanya droo yake ya 4 ya kuadhimisha miaka 5 ya huduma ya...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMANNE, JULAI 9, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo JULAI 9, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

Breaking News: TFF Yasitisha Mkataba na Kocha Amunike Taifa Stars

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike wamefikia makubaliano ya pamoja kusitisha mkataba...

READ MORE

Makamba, Kigwangalla Waombana Msamaha; ‘Leo Upo Kesho Haupo!’

WAZIRI  wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla, amemuomba msamaha Waziri wa Mazingira, Januari Makamba, baada ya mvutano waliokuwa nao katika...

READ MORE

JPM Awalilia Wafanyakazi 5 wa Azam TV Waliofariki Wakielekea Chato

RAIS  John Magufuli amemtumia salamu za pole Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa, Said Salim Bakhresa kufuatia vifo vya wafanyakazi watano...

READ MORE

Saba Wafariki Wakienda Chato, Watano Wafanyakazi wa Azam TV

WATU saba wakiwemo wafanyakazi watano wa kampuni ya Azam Media wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa...

READ MORE

NMB YAAHIDI KUENDELEA KUCHANGIA JAMII KATIKA SEKTA YA ELIMU NA AFYA 

      SERIKALI Imeishukuru Benki ya NMB kuendelea kusaidia katika Sekta ya Elimu kwa kuchangia madawati baadhi ya Shule...

READ MORE

DCB YAJIKITA KWENYE VIWANDA NA KILIMO, YAJA NA DCBSOKONI

Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya DCB, James Ngaluko, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha kukoboa mpunga cha Kayuni...

READ MORE

KAMPUNI YA UUZAJI MAGARI KWA NJIA YA MTANDAO YAYATUA BONGO

  KAMPUNI ya uagizaji, usafirishaji na uuzaji magari  ya nchini Japan  ‘Nikkyo’ imeingia na  kuwekeza katika biashara hiyo nchini huku...

READ MORE

NMB Yajipanga kuhakikisha wafanyabiashara ngazi zote Wanakuza Mitaji Yao

      Benki ya NMB imejipanga kuhakikisha wafanyabiashara wa ngazi zote wanakuza mitaji yao, itakayowawezesha kuajiri Watanzania wengi na...

READ MORE

MRADI WA TLED KUWAFIKIA WAJASIRIAMALI KWA ASILIMIA 77 KATIKA MIKOA SITA

      OFISA Mawasiliano wa Mradi wa TLED ambao ni maalumu kwa ajili ya wajasiriamali wadogo na wakati Jemima...

READ MORE

Majembe yote Simba SC yaitwa fasta kambini

  KAMA Spoti Xtra lilivyokujulisha Alhamisi iliyopita, sasa ni rasmi kwamba Simba itaweka kambi Afrika Kusini kuanzia Julai 15 na...

READ MORE

Yanga Kumekucha, Kambi Ya Kishua Yaanzia Dar

YANGA leo Jumapili wanaanza kambi ya msimu ujao ambapo tangu juzi Ijumaa mastaa wapya wa klabu hiyo wamekuwa wakiingia mmoja...

READ MORE

Msaidizi wa Membe Adaiwa Kutekwa

KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Allan Kiluvya ambaye anatajwa kuwa ni msaidizi wa Waziri mstaafu wa Mambo ya Nje...

READ MORE

MAANDALIZI UJIO WAKE, MSHTUKO NYUMBANI KWA LISSU DAR

NI mshtuko wa aina yake! Wakati Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu akisubiriwa arejee nchini; nyumbani kwake Tegeta jijini...

READ MORE

SIMANZI NZITO MGODINI

NI simanzi nzito! Wachimbaji wawili wa dhahabu katika Kijiji cha Izumbi, Sangamba Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wamefariki dunia baada...

READ MORE

TAPELI MREMBO WA NITUMIE KWA NAMBA HII ANASWA

MOROGORO: Mrembo mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amenaswa katika tukio la utapeli wa fedha za mtandao.   ...

READ MORE

Makochi ya Mbowe Yakosa Wateja

ULE mnada wa kuuza vifaa na samani mbalimbali vya Kampuni ya Mbowe Limited, inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Gumzo la Faru Rajab Mtoto wa Faru John, Lazima Ucheke!

NINAAMINI utakuwa unamkumbuka Faru John, mnyamapori aliyekufa katika hifadhi ya Sasakwa Gruneti kwa kukosa matibabu alipoumwa.   Faru huyo aliacha mtoto...

READ MORE

Magori: Ishu ya Mo iko hivi…

BAADA ya kuzuka ghafla kwa taarifa kuwa ndani ya uongozi wa Klabu ya Simba hakuna maelewano huku ikidaiwa mwekezaji klabuni...

READ MORE

Rais Kenyatta Amaliza Ziara Yake Chato, Arejea Kenya – Video

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ammaliza ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania na kurejea nchini mwake. Katika ziara yake...

READ MORE

Shilole Ubonge Umembadili Jina

Chibonge! Staa wa filamu na Bongo Fleva ambaye pia ni mpishi wa madikodiko, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema ubonge umemfanya abadilishiwe...

READ MORE

NABII DKT. LUCY NATASHA AKONGA MAMIA WALIOJITOKEZA MKUTANO WA INJILI

NABII wa Kimataifa kutoka nchini Kenya, Dkt. Lucy Natasha amekonga mamia ya watu waliojitokeza katika  mkutano wa nje uliokuwa wa...

READ MORE

ASKARI AJIUA KISA MKWEWE

MOROGORO: Inasikitisha! Askari wa Kampuni ya Ulinzi ya Setembo, Rajabu Athumani (60), anadaiwa kujiua kwa kujinyonga, kisa kikidaiwa ni mauaji...

READ MORE

Wananchi wa Singida Wanajua Lissu Yupo Wapi; Ndugai Hajui!

KAMA kuna jambo lililoshangaza wananchi wa kawaida kabisa wa Tanzania ni tamko la kumvua ubunge Mbunge wa Singida- Mashariki (Chadema),...

READ MORE

Yanga Yapindua Meza Usajili wa Gadiel

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Dk Mshindo Msolla amezungumzia mjadala wa usajili wa beki wa pembeni, Gadiel Michael na kutoa...

READ MORE

WhatsApp Waja na Toleo Jipya Kushare Status na Mitandao Mingine

MTANDAO wa WhatsApp umefanikiwa kufanya majaribio ya toleo lake jipya ambalo unaweza kushare status kwenye mitandao mingine ya kijamii. Toleo...

READ MORE

Yanga: Zahera Ashindwe Mwenyewe

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefunguka kuwa kwa asilimia 90 umefanikiwa kukamilisha usajili aliokuwa akiutaka Kocha Mwinyi Zahera baada ya...

READ MORE

Jeshi lote Simba kutua Sauzi wiki ijayo

  KOCHA wa Simba, Patrick Aussems anatua nchini wiki ijayo na timu inakwenda kambini nchini Afrika Kusini. Habari za uhakika...

READ MORE

NEC Yatangaza Tarehe ya Uchaguzi Jimbo la Lissu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza  tarehe 31 Julai, 2019, kuwa siku ya kufanyika uchaguzi mdogo Jimbo la Singida...

READ MORE