×

Habari

Putin Asifu Juhudi za Trump Kumaliza Vita vya Ukraine

Katika mkutano na maafisa wake, Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amesema anakaribisha juhudi za “dhati” za Donald Trump kumaliza vita...

READ MORE

MC Mwingira, Msanii wa Nyimbo za Hamasa CHADEMA, Afariki kwa Ajali ya Gari

Mtunzi na mwimbaji wa nyimbo mbalimbali za hamasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akiwemo wimbo maarufu “Tundu Lissu...

READ MORE

Mgombea Urais wa CUF, Gombo Samandito, Akabidhiwa Fomu na NEC

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, Agosti 13, 2025, alikakabidhi...

READ MORE

Mchambuzi Saleh Jembe Atoa Maoni Kuhusu Mchango wa Yanga kwa CCM – Video

Mchambuzi mashuhuri wa soka Bongo, Saleh Jembe, ametoa maoni yake kuhusu kitendo cha klabu ya Yanga SC, chini ya uongozi...

READ MORE

NEC Yatoa Fomu kwa Mgombea Urais wa ADC, Wilson Mulumbe

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, Agosti 14, 2025, amemkabidhi...

READ MORE

Nchi za Kiarabu Zashambulia Kauli ya Upanuzi wa Mipaka ya Israel

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amezua taharuki na ukosoaji mkali kutoka kwa nchi kadhaa za Kiarabu baada ya kusema...

READ MORE

Yanga Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Mchango wa CCM wa Shilingi Milioni 100

Uongozi wa Yanga SC umetoa ufafanuzi kuwa mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa CCM tarehe 12 Agosti 2025, ulitolewa na...

READ MORE

Rais Samia Awapa Pole Waathirika wa Ajali ya Mgodi Shinyanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa wananchi waliokumbwa na janga...

READ MORE

Rais Samia Atunukiwa Nishani ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Nishani ya Heshima...

READ MORE

Ujio wa Meridianbet Mwenge Wafurahiwa wa Mama Ntilie

Katika juhudi za kuzidisha kurudisha kwa jamii, kampuni ya ubashiri Tanzania leo hii waliamua kurejesha kidogo ambacho wanakipata kwa kuwatembelea...

READ MORE

Jela Maisha Kwa Kumlawiti Mtoto Wa Miaka 4

Mahakama ya Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha imemhukumu kwenda jela kifungo cha maisha Bw. Samwel Sosteness (20) mfanyakazi za ndani,...

READ MORE

Kikwete, Ramaphosa na Boko Wapanga Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Maji Afrika

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameungana na Rais wa...

READ MORE

Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalam ya Maji 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Juu ya Heshima ya Maji...

READ MORE

Bwawa la Ethiopia Latishia Usalama wa Maji Misri

Cairo, Misri – Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi amefanya mazungumzo na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, mjini Cairo Jumanne,...

READ MORE

Bet Boost, Odds Kubwa Kuliko Zote Ndani Ya Meridianbet

Katika harakati za kuhakikisha furaha inapatikana kwa kila mbashiri, Meridianbet inaleta ubunifu wa kipekee kwa wateja wake, ni bet boost,...

READ MORE

Mke wa Rais wa Zamani Korea Kusini Akamatwa kwa Tuhuma za Rushwa na Udanganyifu

Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini, Kim Keon-Hee, amekamatwa Jumanne, Agosti 12, 2025, akikabiliwa na tuhuma za rushwa,...

READ MORE

Watu 25 Wafukiwa na Kifusi Shughuli za Ukarabati Mgodi Shinyanga – Video

Watu 25 wamefukiwa na kifusi katika mgodi mdogo wa dhahabu unaomilikiwa na Kikundi cha Wachapakazi, uliopo Kijiji cha Mwongozo, Kata...

READ MORE

Vijana NCCR Mageuzi Watembelea Kituo cha Historia za Viongozi Mashuhuri Afrika

Katika kuadhimisha miaka 26 ya Siku ya Vijana Duniani, Jumuiya ya Vijana NCCR Mageuzi (JUVIMA), wakiongozwa na Mwenyekiti wa JUVIMA...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Mabasi, Miundombinu Ya Mradi Wa BRT Awamu Ya Pili

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 13, 2025 amekagua mabasi mapya kwa ajili ya awamu ya pili mradi wa mabasi...

READ MORE

Rais Mwinyi Ateua Wakurugenzi Wapya Serikalini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Dkt. Halima Jumaane Wagao kuwa...

READ MORE

Hatma ya Matangazo Mubashara Kesi ya Tundu Lissu Kujulikana Agosti 18 – Video

Wakili wa utetezi, Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema bado haijajulikana iwapo kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

DCEA Yakamata Tani 18.5 za Dawa Mpya ya Kulevya Zilizofichwa Kwenye Mifuko ya Mbolea

 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata shehena kubwa ya dawa mpya ya kulevya aina...

READ MORE

Serikali Yaomba Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Isisitishwe Kuonyeshwa Mubashara – Video

Dar es Salaam — Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, leo Jumatano Agosti 13, 2025, ameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Shauri La Jinai Jamhuri Vs Tundu Lissu, Mahakama Ya Hakimu Mkazi Kisutu – Video

  Dar es Salaam – Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inaendelea...

READ MORE

Oryx Yazidi Kuhimarisha Mkakati wa Rais Dkt. Samia Wananchi Wote Kutumia Nishati Safi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Nishati amesisitiza na kuweka mkakati wa ...

READ MORE

Harambee ya CCM Yafikia Bilioni 86, Malengo Bilioni 100 Kabla ya Uchaguzi – Video

 Dar es Salaam – Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kukusanya zaidi ya Sh86 bilioni kupitia harambee ya kuchangia maandalizi...

READ MORE

Brela Na Tmda Kushirikiana Katika Nyanja Ya Miliki Bunifu

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), wametia saini makubaliano ya...

READ MORE

CHADEMA Arusha Yawafukuza Wanachama 12 kwa Ukiukaji wa Katiba na Maadili

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Arusha Mjini kimechukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya jumla ya wanachama...

READ MORE

Wasanii na Wadau wa Urembo Wajitosa Kuchangia Milioni 20 katika CCM Gala Dinner 2025

Katika kuunga mkono hafla ya CCM Gala Dinner 2025 inayoendelea usiku huu katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es...

READ MORE

CHADEMA Kukata Rufaa Dhidi ya Uamuzi wa Mahakama Kuu Kuhusu Mashahidi wa Siri Kesi ya Lissu – Video

Dar es Salaam – Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema chama hicho kimepanga...

READ MORE

Salum Mwalimu: Sitajibizana na wanaonibeza, najikita kwenye kile Watanzania wanataka

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki...

READ MORE

Mwalimu aapa kuleta mabadiliko baada ya kuchukua fomu ya Urais

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki...

READ MORE

TBL na PETPRO Wazindua Mfumo wa Kwanza Kitaifa wa Kuchakata Chupa za Kioo

Dar es Salaam, 13 Agosti 2025. Kampuni ya Tanzania Breweries Plc (TBL) na PETPRO wameweka historia kwa kusaini Hati ya...

READ MORE

Rais Samia akutana na viongozi wa TUCTA Ikulu ya Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 12, 2025, amekutana na viongozi wa Shirikisho...

READ MORE

Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Lissu dhidi ya mashahidi wa siri – Video

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumanne Agosti 12, 2025, imetupilia mbali maombi ya upande wa utetezi wa...

READ MORE

CHAUMMA Yapokea Fomu za Uteuzi wa Mgombea Urais

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele, leo Agosti 12, 2025,...

READ MORE

Mixx by Yas Yaja na ‘Kila Hatua Mixx’ Kuboresha Huduma za Kifedha

Dar es Salaam, 14 Agosti 2025: Mixx by Yas katika kuboresha huduma zake za kifedha leo imezindua kampeni yake mpya...

READ MORE

Shigongo: Wananchi Wananihitaji, Nitarejea Bungeni – Video

  Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Erick Shigongo, amesema ana matumaini kuwa jina lake litateuliwa kugombea ubunge kupitia Chama...

READ MORE

CCM Kongwa Kuanzisha Upya Zoezi la Kuchukua Fomu za Ubunge Baada ya Kifo cha Ndugai

DODOMA – Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kongwa kimetangaza kuanza tena mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu za kuwania...

READ MORE

Uhusiano wa Ruto na Raila Wazua Hali Tete, Gachagua Aingia Kati

Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amemshambulia vikali kwa maneno kinara wa chama cha ODM Raila Odinga akimuelezea kuwa...

READ MORE