×

Habari

Breaking News: Kiwanda Cha Magodoro cha Ocean Kinaungua (Video)

Kiwanda cha Magodoro cha Ocean kilichopo Tabata Matumbi jijini Dar kinaungua muda huu, chanzo cha moto huo hakijajulikana. Breaking News:...

READ MORE

MSUKUMA: MLISEMA WAANDAMANE MBEBE MAJENEZA 200 – VIDEO

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Msukuma, amemuomba Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi, kupeleka bungeni muswada  kubadilisha...

READ MORE

MADAI YA KUTELEKEZA WATOTO WAWILI, MUME AMGEUZIA KIBAO MKE

WAKATI kasheshe la wanaume kutelekeza wanawake na watoto waliozaa nao likiendelea kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul...

READ MORE

MAUMIVU WANAYOPATA WATOTO HAWA… NI ZAIDI YA MATESO

WATOTO wawili wanaogua maradhi tofauti wapo katika mateso makubwa na wanahitaji msaada wa wasamaria wema ili waweze kupona. Mtoto Mudasili...

READ MORE

Breaking: JPM Afanya Ateua Mwenyekiti wa Tume ya Madini

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Idris Suleiman Kikula  Mwenyekiti wa Tume ya Madini kuanzia Aprili 17, 2018.

READ MORE

RAIS MAGUFULI ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MRISHO GAMBO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amefika mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar es salaam...

READ MORE

SAKATA LA CAG: POLEPOLE AONYESHA SH. TRILIONI 1.5 ZILIPO

  KATIBU wa Itikadi na uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amewashutumu baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa...

READ MORE

ZITTO: Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi – Video

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo), Zitto Kabwe amedai serikali kuwa inapanaga kutekeleza miradi mikubwa ili hali haina pesa ya...

READ MORE

OFISA CHUO KIKUU ASIMAMISHWA KWA KUMDHALILISHA MWANAFUNZI

KISUZE EDWARD ambaye ni Ofisa Utawala Mwandamizi Ofisi ya Usajili wa Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda, amesimamishwa kazi...

READ MORE

MKE WA RAIS BUSH AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 92

MKE wa rais wa 41 wa Marekani, George H W Bush, ambaye pia ni mama wa rais wa zamani wa...

READ MORE

KUZAA KILA MWAKA, LIKIZO YA UZAZI VYAZUA MJADALA BUNGENI

SERIKALI imesema hakuna haja ya kubadilisha sheria ya uzazi iliyopo kwa sasa, sababu inampa fursa mwanamke kupumzika kutozaa mara kwa...

READ MORE

Tunachojifunza Mauaji ya Kimbari Rwanda -4

Watanzania wengi hawajui nini kilisababisha mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyosababisha maelfu ya watu kuuawa kikatili. Naamini kama wakisoma...

READ MORE

JECHA ANG’ATUKA ZEC

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha amestaafu baada ya kumaliza muda wake wa majukumu ya tume...

READ MORE

INATISHA Kifaranga Chatumika Mauaji ya Wanawake 3

INATISHA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kifaranga cha kuku kudaiwa kutumika kama ramli chonganishi iliyosababisha mauaji ya wanawake watatu waliokutwa wametelekezwa...

READ MORE

MAHAKAMANI: POLISI ‘WAWAZIBA MIDOMO’ MBOWE NA WENZAKE – VIDEO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho, akiwemo Katibu Mkuu, Vincent...

READ MORE

Mama Alia: DC wa JPM Kanizalisha, Kanitelekeza

WAKATI kizaazaa cha wanawake waliotelekezewa watoto na wanaume waliozaa nao kikiendelea kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

CBA YATOA BIL 10 ZA MIKOPO KWA WATEJA WAKE

HUDUMA ya M-Pawa inayotolewa na Benki ya Biashara ya Afrika (CBA) imetoa mikopo yenye thamani ya Sh10 bilioni kwa wateja...

READ MORE

Zitto Kabwe Afunguka Sakata la Sukari ya Zanzibar – Video

Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema hakuna umuhimu wa serikali ya Tanzania Bara kuzuia bidhaa...

READ MORE

HATARI KUBWA: Jengo Hili Dar Kuporomoka Muda Wowote – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema serikali inafanya uchunguzi kuhusu mkandarasi aliyejenga jengo la ghorofa kumi...

READ MORE

Breaking News: Mtoto Aliyedai Kutelekezwa na Lowassa Akamatwa na Polisi (Audio)

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema wanamshikilia Fatuma Chikawe kwa tuhuma za kudanganya...

READ MORE

Bungeni: Mtolea Amtaka Rais Asihudhurie Sherehe za Mapinduzi – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Temeke, Abdallah Mtolea amesema ni bora Rais wa Jamhuri ya Muungano asihudhurie Sherehe za Mapinduzi...

READ MORE

Leo Siku Ya Mateka Wa Kipalestina, Mateka 6500 Wapo Gerezani

April 17  kila mwaka inakwenda sambamba na Siku ya Mateka wa Kipalestina, ambapozaidi  ya mateka elfu sita (6,000) wa kipalestina...

READ MORE

Mambosasa Athibitisha Kumkamata Diamond, Kupandishwa Kizimbani – Video

  KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, amethibitisha kukamatwa kwa mwanamuziki, Diamond Platnumz na Nandy kufuatia...

READ MORE

Ushoga, Uchafu wa Diamond na Nandy, Mwakyembe Afunguka – Video

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, amesema kuna baadhi ya wasanii ambao walianza kufanya uhuni ndani...

READ MORE

Spika Amjibu Mbowe Kunyimwa Gari, ‘Kufutwa Upinzani Bungeni’ – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai, ametolea ufafanuzi hoja iliyotolewa na Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara, kuhusu iwapo kambi ya upinzani...

READ MORE

Shigongo Atoa somo la Ujasiriamali Chuo cha Tumaini – Video

MKURUGENZI Mtendaji wa Global Group, Eric James Shigongo, mapema leo alipata fursa ya kutoa somo la ujasiriamali katika semina iliyokuwa...

READ MORE

THIS IS TOO MUCH… BUKU YAMTOA ROHO MUME WA MTU!

  THIS is too much! Matukio ya kinyama hasa mauaji yanazidi kushika kasi kwenye jamii ambapo tukio bichi ni la...

READ MORE

KUPATA MATUKIO YOTE PAPO KWA PAPO BOFYA HAPA

KUWA wa kwanza kupata habari zote za michezo wakati wowote zinapotokea, Tuma SPORTS kwenda 15599 utapata habari za kitaifa na...

READ MORE

UNYAMA! Baba Achinja Wanaye Mapacha, Mtoto Asimulia Alivyoshuhudia- Video

BWANA Respicius Diocress, mkazi wa Kijiji cha Butayaibega wilayani Bukoba mkoani Kagera anatuhumiwa kuchinja kwa panga na kuwatenganisha kichwa na...

READ MORE

NAFASI MPYA ZA KAZI JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi nchini latangaza nafasi za ajira kwa mwaka 2017/2018 kwa vijana waliopita mafunzo ya JKT/JKU.

READ MORE

YuMi: A robot capable of making shoes, food and bevarages

A FEW days ago, I was lucky to be one of the journalists who travelled to Johannesburg in South Africa...

READ MORE

Hatari ya Watoto Kuhusishwa Kwenye Migogoro ya Wazazi!

TUTAKE tusitake, kati ya mwanaume na mwanamke ambaye anatakiwa kuwa makini wakati wa kuchagua mwenza wa kuzaa naye ni mwanamke....

READ MORE

Mvua Ilivyosababisha Maafa Dar

MVUA za masika zinazoendelea kunyesha zilisababisha maafa makubwa ikiwemo vifo vya watu wanne pamoja na watu kadhaa kujeruhiwa na ukuta...

READ MORE

MAFURIKO YASABABISHA VIFO VYA WATU TISA DAR – PICHA 15

MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam kuanzia mwishoni mwa wiki iliyopita zimesababisha mafuriko aktika maeneo mbalimbali ya jiji...

READ MORE

DUNIA KWISHA! BABU MBARONI KWA KUOA KATOTO MIAKA 12

AMA kweli dunia imekwisha! Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ na Serikali ya...

READ MORE

Wakimbizi wa Ethiopia Wakamatwa Dar, Mmoja Afariki Dunia

WAKIMBIZI kutoka Ethiopia wamekamatwa usiku wa kuamkia jana Jumapili, Aprili 15, 2018 majira ya saa 9.00 usiku wakiwa wamehifadhiwa katika...

READ MORE