×

Habari

KISA NGUO YA NDANI, BOSI AMPA KISAGO KIZITO HOUSE GIRL

MFANYAKAZI wa ndani (hausigeli) aliyefa-hamika kwa jina la Katalina John anayefanya kazi hizo kwa Lyina John (30) mkazi wa Mhongolo wilayani Kahama,...

READ MORE

JPM Amualika Benjamin Netanyahu wa Israel

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kutembelea Tanzania pamoja na kufungua ofisi ya ubalozi...

READ MORE

Mnyika, Heche Wang’ang’aniwa Sentro, Wengine Waachiwa

  Viongozi watatu waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walioripoti Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam leo,...

READ MORE

Imethibitika Korosho Zenye Kokoto Vietnam Zilitoka Tanzania – Video

SERIKALI imethibitishiwa kuwa makontena mawili yaliyokutwa nchini Vietnam na korosho zilizochanganywa na kokoto zilitoka Tanzania. Hayo yamethibitshwa leo Alhamisi, Machi...

READ MORE

Banda Avutiwa na Utengenezaji wa Magazeti Ya Global (Picha)

BEKI Mtanzania, Abdi Banda, anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini katika Klabu ya Baroka, alivutiwa na matayarisho na utengenezaji...

READ MORE

Mark Zuckerberg Akiri Facebook Iko Hatarini

  Mwanzilishi wa mtandao maarufu duniani wa Facebook, Mark Zuckerberg, kwa mara ya kwanza tangu kuzuka kwa kashfa ya Cambridge...

READ MORE

Fatma Karume Kumrithi Tundu Lissu?

  WAKILI wa kujitegemea, Fatma Karume, amejitosa kumrithi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa kugombea urais wa Chama cha...

READ MORE

MREMBO ACHUNGULIA KIFO LIVE!

  KAMA siku yako ya kifo haijafika, haijafika tu, utadhurika na kuteseka ila hufi! Ndivyo walivyokuwa wakisema baadhi ya mashuhuda...

READ MORE

Sakata la Kufungiwa, Ishu ya Diamond Kuhama Nchi Yazua Mjadala

  HAPATOSHI! Ndivyo unavyoweza kusema. Siku chache baada ya serikali kufungia nyimbo zake mbili, mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

Mahakama Yasikiliza Kesi ya IGP, AG na CID, Sakata la Abdul Nondo (Video)

MAHAKAMA  Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo  imesikiliza kesi ya  Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo juu ya...

READ MORE

Sakata la Ofisa Ubalozi wa Syria Kushambuliwa Dar, Dereva Ahusishwa!

KAMANDA wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Jumanne Murilo, amesema kushambuliwa kwa ofisa wa ubalozi wa Syria nchini, Hassan Alfaouri (53)...

READ MORE

NECTA Yafanya Mabadiliko Maswali ya Mtihani wa Darasa la Saba

  BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), limesema litafanya mabadiliko ya mfumo wa utungaji wa mtihani wa kuhitimu elimu ya...

READ MORE

Saba Wafariki Ajalini Mkoani Kigoma

Watu saba wamefariki katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lililokuwa likitokea kijiji cha Mkongoro mkoani Kigoma ambapo dereva wake...

READ MORE

Wawili Mbaroni kwa Kuhamasisha Maandamano

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kupitia kwenye mitandao ya kijamii wakitumia...

READ MORE

Breaking News: Abdul Nondo Arudishwa Iringa, Apandishwa Kizimbani

Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi, Abdul Nondo amerudishwa mkoani Iringa na kufikishwa Mahakama ya Wilaya. Awali Nondo alitolewa Iringa baada...

READ MORE

Mkurugenzi wa TBC, Dkt. Ayub Rioba Apata Ajali Kigoma

  Watu wawili wamefariki dunia wilayani Kasulu mkoani Kigoma kufuatia ajali ya gari la Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji...

READ MORE

TAARIFA YA MAKONDA KUHUSU KUSHAMBULIWA KWA OFISA UBALOZI WA SYRIA

KAMA Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar Es Salaam nimeshtushwa na taarifa zilizosambaa kwenye mitandao...

READ MORE

Waziri Mwakyembe Asikitishwa na Matamshi ya Diamond

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amesema kuwa amesikitishwa na matamshi ya msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mwenyekiti NHC

RAIS Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bi...

READ MORE

Singida: Amuua Mkewe, Aificha Maiti Kwenye Mbuyu Miaka 8

MWANAMUME mmoja aliyejulikana kwa jina Bernard Shumba mkazi wa Singida anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kumuua mke...

READ MORE

TANZIA: Kuga Peter Mziray Afariki Dunia

MWANASIASA mkongwe nchini, Kuga Peter Mziray aliyekuwa Mgombea urais mwaka 2010 kupitia tiketi ya APPT-maendeleo amefikwa na mauti alasiri leo...

READ MORE

Amuua Mama Mkwe, Amjeruhi Mkewe Kisha Ajiteketeza Ndani ya Nyumba

MWANAMUME mmoja Joseph Medadi (32) mkazi wa Kitongoji cha Nyakahanga Kata ya Rusumo Wilayani Ngara, Mkoani Kagera amejiua kwa kujichoma moto ndani...

READ MORE

SERIKALI YAZUA BALAA DAWA ZA NGUVU ZA KIUME!

SIKU chache baada ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kusa­jili na kuthibitisha dawa tano za...

READ MORE

JPM Amteua IGP Mangu Kuwa Balozi Rwanda

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua IGP Mstaafu, Ernest Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu...

READ MORE

Malezi ya watoto wasiachiwe ‘ma-house girl’ pekee  – Meya Ilala

WAZAZI  na walezi wa watoto ambao huwategemea kuwaacha chini ya uangalizi wadada wasaidizi nyumbani maarufu kwa jina la ‘ma-house girl’ wametakiwa...

READ MORE

WAZIRI MKUU ATAKA SULUHISHO LA MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri wa Afya kutoka nchi tisa za Afrika kutoa mapendekezo ya namna ya kutokomeza...

READ MORE

RAIS ATIWA MBARONI KWA KUPOKEA FEDHA ZA KAMPENI KUTOKA KWA GADDAFI

RAIS wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, amekamatwa kwa madai ya kupokea Paundi milioni 42 (sawa na Sh. bilioni 132)...

READ MORE

MFANYABIASHARA MBARONI KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

  MFANYABIASHARA Hariri Mohammed (45) mkazi wa wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam,  amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

KWA MATUKIO HAYA KILA SIKU, WANANCHI: TUMECHOKA!

  KUFUATIA kukithiri kwa matukio ya uhalifu kila siku, wananchi wenye hasira kali wamevamia kituo cha polisi kisha kukizingira, wakitaka...

READ MORE

KIFO CHA TAJIRI SUPER SAMI, MKE MDOGO AMFICHUA MUUAJI! – VIDEO

  MAPYA yameibuka kufuatia kifo cha mfanyabiashara ambaye ni tajiri wa mabasi ya Kampuni ya Super Sami, Samson Josiah almaarufu...

READ MORE

Sakata la Abdul Nondo: IGP Sirro, DCI na AG Waitwa Mahakamani

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetoa wito wa kuwaita Mkrugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI),...

READ MORE

Rekodi ya Madaktari Wanaomtibu Lissu Usipime!

HUU ndio ukweli! Madaktari wawili waliobobea wanaomtibu Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu, Profesa Stefaan Nijs na Profesa Willem-Jan Mertsemakers wa...

READ MORE

TATIZO LA UBAKAJI, ULAWITI KWA WATOTO NI JANGA

VITENDO vya ulawiti na ubakaji kwa watoto vimesababisha hofu kubwa katika jamii za Kitanzania na kuwafanya baadhi ya wazazi na...

READ MORE

IMEFICHUKA! Mzungu Aliyehukumiwa Miaka 26 Jela Atorokea Tanzania

  SIRI imefichuka kuwa, Gareth Johnson (pichani) ni Mzungu anayesakwa kwa udi na uvumba na Serikali ya Uingereza, Kitengo cha...

READ MORE

Dau la Msuva Morocco, Anasajili Simba Nzima

MSHAMBULIAJI wa Difaa El Jadida ya nchini Morocco, Mtanzania, Simon Msuva, amezidi kuongeza thamani yake baada ya dau lake kufikia...

READ MORE