×

Habari

Wolper Acharukia Wasanii Wenzake

STORI: IMELDA MTEMA | UWAZI | HABARI Dar es Salaam: Staa mwenye kiwango cha juu Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Massawe...

READ MORE

Alichokisema Nape Nnauye Kuhusu CCM

Usiku wa kuamkia leo Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye ameandika ujumbe wake wa wazi aliyowahi kuandika kipindi cha nyuma...

READ MORE

Watu 27 Wafariki Katika Ajali Mombasa, Kenya

  PICHA NA KTN NEWS

READ MORE

Video: Mashabiki Watoa Ya Moyoni Kufungiwa kwa Haji Manara

Baada ya TFF kuwapokonya simba ushindi wa mezani walioutarajia ambao ni point 3 za Kagera Sugar, hatimaye wanachama wa Simba...

READ MORE

Dayna Akumbwa na Gonjwa la Kuweweseka

Na Boniphace Ngumije | Uwazi | Habari STAA wa Bongo Fleva, Mwanaisha Saidi ‘Dayna Nyange’ amefunguka kuwa siku za hivi...

READ MORE

Shehe Mkuu Aibua Utata Freemason

STORI: ALLY KATALAMBULA| UWAZI| HABARI DAR ES SALAAM: Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Musa Salumu mwishoni...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya April 25

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 25, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Dogo Mfalme wa Mafuta Anatisha kwa Utajiri

  MAKALA: NYEMO CHILONGANI NA MTANDAO MTU mwenye ndoto ya kuwa bilionea ni lazima awe na mawazo ya kibilionea. Huwezi...

READ MORE

VIDEO: Shaka Atoa Ufafanuzi wa Kuhusu Uteuzi wa Jokate UVCCM

KUFUATIA Uteuzi  wa Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo kuwa Kaimu Katibu wa Uhamasishaji wa Umoja wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Afungua Kongamano la Bakwata Kuhusu Madawa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefungua rasmi kongamano Maalum la Kujadili Mmomonyoko wa Maadili na...

READ MORE

VIDEO: Ni Vigumu Kuelewa Kuwa Mapenzi ni Pamoja na Kipigo – Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba

DODMA: Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi ameeleza leo Bungeni mjini Dodoma kuwa imekuwa vigumu watu kutambua kuwa...

READ MORE

VIDEO: Sirro Awatia Mbaroni Watano Waliovamia Kwenye Mkutano wa CUF

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kwa Kamishna, Simon Sirro limesema kuwa limewakamata watuhumiwa watano  wanaotuhumiwa...

READ MORE

Kambi ya Upinzani Wagoma Kusoma Hotuba Yao Bungeni

Msemaji wa upinzani katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, Ally Salehe amesusa kusoma hotuba yake ya upinzani...

READ MORE

Jokate Apewa Cheo CCM, Uteuzi Wake Wazua Gumzo!

Uteuzi  wa Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo kuwa Kaimu Katibu wa Uhamasishaji wa Umoja wa Vijana...

READ MORE

Haji Manara Aipinga Adhabu ya TFF ya Kumfungia Mwaka

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amepingana na maamuzi ya hukumu iliyotolewa jana na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la...

READ MORE

Bodi Ya Filamu ni Jipu

  MAKALA NA: BONIFACE NGUMIJE | IJUMAA WIOKIENDA DAR ES SALAAM: Mwaka 2016, Bodi ya Filamu Tanzania iliongezewa majukumu rasmi...

READ MORE

Ufaransa: Emmanuel Macron na Marine Le Pen Waongoza Uchaguzi wa Urais

Mgombea urais nchini Ufaransa Emmanuel Macron ameshinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa nchi hiyo, huku dalili zikionyesha, baada ya...

READ MORE

Droo Ndogo ya Tatu Yasubiriwa Kwa Hamu

  STORI: MWANDISHI WETU, Risasi Jumamosi WASOMAJI wa magazeti ya Global Publishers, ambao wanaendelea ku­jikusanyia kuponi kwa ajili ya Bahati...

READ MORE

Najivunia Kufananishwa na Jay Z – Joh Makini

Msanii wa ‘Hip hop’ Bongo, kutoka kampuni ya Weusi, Joh Makini amefunguka ya moyoni na kusema anajisikia faraja kwa mashabiki...

READ MORE

Ajibu, Mkude Wafungiwa Vioo Simba

Khadija Mngwai | CHAMPIONI JUMATATU| Dar es Salaam UONGOZI wa Klabu ya Simba umeonekana kuwafungia vioo wachezaji wake wawili mshambuliaji...

READ MORE

Serikali Imelaani Vikali Kuvamiwa kwa Mkutano wa CUF na Kujeruhiwa kwa Wanahabari

UMUHIMU WA JAMII KULINDA HAKI NA USALAMA WA WANAHABARI Dodoma, Jumatatu, April 24, 2017: Serikali imepokea kwa masikitiko taarifa za...

READ MORE

Leila: Kitawaka Dar Live

NA MWANDISHI WETU| GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA | OVER THE WEEKEND MALKIA wa Bendi ya Jahazi Modern Taarab, Leila Rashid...

READ MORE

Nape Nnauye Atia Neno Vurugu za CUF

Stori: Gabriel Ng’oSha |IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Kufuatia watu wanane kuibuka wakiwa na silaha na kusababisha vurugu kwenye mkutano...

READ MORE

VIDEO: Gari Lagongana na Bajaj, Latumbukia Mtaroni

GARI aina ya Nissan lenye namba za usajili,  T 949 BLV limetumbukia mtaroni asubuhi ya leo eneo la  Bamaga-Mwenge jijini...

READ MORE

Yanga: TFF Wanatunyima Ubingwa

Ibrahim Mussa | CHAMPIONI JUMATATU|  Dar es Salaam KOCHA Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, amelitupia lawama Shirikisho la Soka Tanzania...

READ MORE

#GlobalCars: Hizi Ndio Ndinga 10 Kali Zilizoshine Zaidi Kwenye Movie Ya Fast & Furious 8 – (Pichaz)

Kwa wale wadau wangu wa kuroll mtaani ‘in everything nice rimz’ basi naamini moja ya vitu vilivyotrend zaidi kwenu kwenye franchise...

READ MORE

NMB Wazungumzia na Wateja Wao Zanzibar

          BENKI ya NMB kwa kupitia tawi lake la NMB Zanzibar imeandaa hafla na kuwakusanya wateja...

READ MORE

Ishu ya Bongo Muvi Kuandamana… Nay wa Mitego, Mlela Hapatoshi

NA: GLADNESS MALLYA | IJUMAA WIKIENDA | OVER THE WEEKEND BAADA ya wiki iliyopita mastaa wa filamu kuandamana kupinga uuzaji...

READ MORE

Mgongano Huu Bongo Muvi ni Kaburi Jipya

MAKALA: ALLY KATALAMBULA | IJUMAA WIKIENDA | OVER THE WEEKEND DAR ES SALAAM: Aprili 19, mwaka huu,  baadhi ya mastaa...

READ MORE

Studio Aliyotekewa Roma na Wenzake Yafungwa

Stori: Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha | IJUMAA WIKIENDA|Habari DAR ES SALAAM: Zikiwa zimepita wiki kadhaa tangu staa wa Hip...

READ MORE

Messi Ainyamazisha Santiago Bernabeu Kibabe, Waipiga Madrid Bao 3-2

Barcelona imepata ushindi wa mabao 3-2 katika mchezo unaojulikana kwa jina la El Clasico ambapo walikuwa wababe dhidi ya Real...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya April 24

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 24, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Upendo wa Kweli Haupo Kwenye Tendo Pekee!

NA GABRIEL NG’OSHA | IJUMAA WIKIENDA | XXLove KWANZA kabisa, kwa moyo mkunjufu, shukurani zangu za dhati ziende kwa Mwenyezi...

READ MORE

Rasmi TFF Yatangaza Kuipoka Simba Pointi 3, Yazirudisha Kwa Kagera Sugar

Mambo yamezidi kuwa mambo katika soka la Tanzania hiyo ni baada ya Shirikisho la Soka la Mpira wa Miguu Tanzania...

READ MORE

Mtifuano wa Shirikisho la Azam Wafikia Patamu

Mtifuano wa Kombe la Shirikisho la Azam leo umefikia patamu baada timu zitakazomenyana katika nusu fainali kujulikana baada ya droo...

READ MORE