×

Habari

Rais Magufuli Awaapisha Mwenyekiti NEC, Kamishna wa Maadili na Majaji wa Mahakama ya Rufani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume...

READ MORE

Mtanzania Khadija Naif Aitangaza Tanzania Nchini Saudi Arabia

Mtanzania Khadija Naif, mwenye umri wa miaka 31, aliejitolea kwenda kwenda nchini saudi Arabia kuitangaza Tanzani. Mtanzania Khadija Naif akionyesha...

READ MORE

Rais Magufuli na Mkewe Wamtembelea Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo

Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli na Mkewe Mhe. Mama Janeth Magufuli wamemtembelea na kumpa pole Askofu Mkuu wa Jimbo...

READ MORE

Nay Wa Mitego Atembelea Global TV, Afungukia Mimba ya Nisha!

Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya Sijiwezi, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa Global TV Online leo...

READ MORE

Tanzia: Mpiga picha maarufu Mpoki Bukuku afariki dunia kwa ajali

Dar es Salaam; Tasnia ya habari imepata pigo kubwa kufuatia mpiga picha maarufu hapa nchini, Mpoki Bukuku aliyefariki dunia leo...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Waziri Mkuu Majaliwa Ikulu Jijini Dar

Rais John Magufuli  akisalimiana na  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016. (Picha na Ofisi...

READ MORE

Wasanii wa Filamu Wanawake Wapongezwa Kuchangia Damu

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,  Ally Salum Hapi akizungumza na wanachama wa CWTF. WAIGIZAJI wa filamu wanawake nchini wamepongezwa kwa...

READ MORE

Kama Ulikuwa Hujui, Hawa Ndiyo Wauza Madawa ya Kulevya Walioitikisa Dunia

Na: Nyemo Chilongani Labda ulikuwa miongoni mwa watu waliosikia taarifa ya kukamatwa kwa muuza madawa ya kulevya nchini Mexico, Joaquín...

READ MORE

Kwa Mpango Huu… Azam FC Wanaiba Fedha Za Bakhresa

Kikosi cha timu ya Azam. MAKALA – BONGO: Selemani Matola, Championi Ijumaa 23.12.2016 MIAKA 20 iliyopita tofauti na Simba na...

READ MORE

Mahakama Yafuta Kesi ya Mtuhumiwa wa Escrow

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemwachia huru Mhandisi Mkuu wa Mradi wa Umeme Vijijini (REA), Theophillo Bwekea,...

READ MORE

Nisha Adaiwa Kuua Kichanga

Stori: Mwandishi Wetu | Gazeti la Ijumaa, Toleo la Desemba 23, 2016 MSANII wa fi lamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’...

READ MORE

Kuelekea Sikukuu, Serikali Yapiga Marufuku Kuingiza Nyama za Kuku Waliochinjwa Kutoka Nje

IKIWA zimebakia siku chache kuelekea Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya, Serikali imepiga marufuku kuagiza na kuingiza nyama za kuku...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Ijumaa Desemba 23, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 23, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Sangoma Abambwa Akimroga Darassa

Na Waandishi Wetu | Gazeti la Aman, Toleo la Desemba 22, 2016   DAR ES SALAAM: Kufuatia uwepo wa madai...

READ MORE

Maswali Matano Ajali za Sugu Tangu Aingie Bungeni!

   Na Sifael Paul | Gazeti la Amani, Toleo la Desemba 22, 2016 MBEYA: Kufuatia kuandamwa na ajali za mara...

READ MORE

Azikwa Kaburi Moja na Kondoo na Kuku, Nusura Azikwe na Mjukuu Aliye Hai

Wanafamilia   wakiwa   wamelizungika kaburi la marehemu Ngaga  aliyezikwa kaburi  moja na kondoo pamoja na  kuku mweusi  leo kwenye  kitongoji cha...

READ MORE

Wabunge Wavurugana Tena bungeni Nchini Kenya

NAIROBI, KENYA: Wabunge wa upinzani nchini Kenya wametoka bungeni kwa hasira mapema leo asubuhi desemba 22, 2016 katika Mji Mkuu...

READ MORE

Mwanakijiji azua hofu kujenga ghorofa la miti

Na Gregory Nyankaira, Amani MARA: Juma Wazere, mkazi wa Kijiji cha Singu mwenye umri wa miaka 54, amewapa hofu wenzake...

READ MORE

Wenye Kumbi za Starehe Watakiwa Kuzingatia Usalama

DAR ES SALAAM: JESHI la polisi nchini limewataka wamiliki wa kumbi za starehe  kuzingatia uhalali, matumizi na usalama wa kumbi...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lajipanga Kudhibiti Ajali Msimu wa Sikukuu

Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga Dar es Salaam: Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, limesema...

READ MORE

Viongozi wa Wamada Watembelea Ofisi za Global Publishers

Chama cha Wauza Magazeti Dar es Salaam (WAMADA), wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na Wahariri wa...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Aagiza Kukamatwa Mwandishi wa Habari wa ITV

Mwandishi wa habari wa Kituo cha ITV mkoani Arusha, Khalfan Lihundi, anashikiliwa na polisi katika Kituo cha Polisi Usa River,...

READ MORE

Shahidi Wa Pili Atoa Ushahidi Kesi Ya Tundu Lissu

ASP Kimweli, Mratibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi ambaye ni shahidi wa pili katika kesi inayomkabili Tundu Lissu, Mbunge wa...

READ MORE

Bwana Harusi Aliyeingia Mitini: Shetani Alinipitia

Mayasa Mariwata na Gabriel Ng’osha | Gazeti la AMANI, Toleo la Desemba 22, 2016 DAR ES SALAAM: Katika kile kinachoonekana...

READ MORE

Godbless Lema Augua Ghafla Gerezani, Ashindwa Kufika Mahakamani

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema Kesi iliyokuwa isikilizwe jana 21 Desemba 2016 inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema...

READ MORE

Roboti Inayoweza Kushiriki Ngono Kutengezwa

HII teknolojia sasa imekuwa too much! Kila kukicha wenzetu wazungu wamekuwa wakibuni vitu vipya tofauti kabisa na fikira za kawaida...

READ MORE

Shirika La Ndege La Etihad Laingia Makubaliano Ya Kihistoria Na ‘Precision Air’

Ndege ya Precison Air ATR-33300 KATIKA hatua za kuhakikisha inayafikia maeneo mengi Afrika Mashariki, Shirika la Etihad la Umoja wa...

READ MORE

Rais wa Gambia: Hakuna wa Kunitoa Madarakani, Labda Mungu Pekee

GAMBIA: Rais wa Gambia Yahya Jammeh amesema kuwa atakataa jaribio lolote la viongozi wa eneo la magharibi mwa Afrika la...

READ MORE

Aliyekufa Muda Mfupi Baada ya Kubatizwa Azikwa Kiislam

Kijana Issa Juma aliyeripotiwa kufariki dunia Jumapili iliyopita, muda mfupi baada ya kubadili dini na kubatizwa katika mto mmoja kwa...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania LeoAlhamisi Desemba 22, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 22, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Mpenzi Wako Anapokusaliti, Lazima Ujifunze Kitu

Mpenzi msomaji wangu, bila shaka uko poa kabisa, bila kukupotezea muda wako twende moja kwa moja kwenye mada ambayo nimekuandalia...

READ MORE

Miss Tanzania 2016 Arejea Nyumbani, Aahidi Kuanika Figisu Alizofanyiwa na Miss Kenya

Miss Tanzania 2016, Diana Edward Lukumay alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Akiwa...

READ MORE

Saida Karoli Anavyoibadili Bongo Fleva

Makala: Andrew Carlos | Gazeti la Risasi Mchanganyiko, Toleo la Desemba 21, 2016 KWA miaka kadhaa sasa, maoni ya mashabiki...

READ MORE

Mgomo Yanga, Mshahara Ni Kisigizio Tu, Siri Imefichuka

 Wachezaji wa timu ya Yanga wakifanya maombi na Kocha wao George Lwandamina.  Na Mwandishi wetu| Gazeti la Championi J5 Wachezaji wa...

READ MORE

Meya Dar Apiga Marufuku Magari Kufungwa Minyororo Kwenye Maegesho

DAR ES SALAAM: Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amepiga marufuku kampuni zinazohusika na suala la kukusanya...

READ MORE

Majambazi wawili wauawa katika majibizano na polisi wilayani Rungwe

MBEYA: Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa kwa kupigwa risasi na bunduki tatu zimekatwa kwenye mapambano ya kujibizana risasi...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latoa Ufafanuzi wa Maiti za Mto Ruvu, Kupotea Kwa Saanane

Na Denis Mtima DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi limesema kuwa liliamua kuruhusu kuzikwa kwa miili ya watu saba iliyokutwa...

READ MORE

Kilichojiri Katika Mgomo wa Saa 24 Wachezaji wa Yanga

        Meneja wa Yanga akizungumza na watu walio ndani ya gari. Wilbert Molandi na Musa Mateja |...

READ MORE