×

Habari

Mmiliki wa Villa Park Makambako Alivyopata Ajali na Kufarikia Akiwa na Mpenzi Wake

  Mmiliki wa kiota cha Villa Park cha mjini Makambako, jijini Mbeya, Kizito, amepoteza maisha kwenye ajali mbaya ya gari...

READ MORE

EFM Redio Yaacha Historia Mpya Temeke

Jukwaa la mchizi wangu mwaka 2017 lililoleta historia   Ilikua ni furaha na shangwe kwa wakazi wa Jiji la Dar...

READ MORE

TFF Yatangaza Viingilio Mchezo wa Yanga Vs Simba

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) leo Februari 20, 2017 limetangaza bei ya viingilio kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati...

READ MORE

Diamond Hana Furaha na Zari

Na MWANDISHI WETU| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Taa nyekundu inamuwakia staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...

READ MORE

Mbowe Akamatwa na Polisi, Apelekwa Sentro Dar

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, leo Februari 20, 2017 amekamatwa na Jeshi la Polisi, Dar es Salaam wakati akienda kujisalimisha...

READ MORE

Usaili wa Shindano la Wikienda Music Search Waanza

WASANII wa muziki wa Bongo Fleva mbalimbali Leo wamejitokeza katika usaili wa Shindano la Wikienda Music Search (WMS), uliofanyika katika...

READ MORE

Kamanda Mpinga Afunguka Kuhusu Polisi Kutomkamata Diamond Platinumz, Picha Waliopiga Pamoja

KAMANDA Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani, Kamishna Msaidizi Mohamed Mpinga ameweka wazi sababu zilizofanya staa wa Bongo Fleva, Diamond...

READ MORE

Tangu Baba Afariki, Adriano Kapotea

“BABA yangu siku zote alikuwa akinisapoti. Alipenda kuniona nikicheza. Bila yeye nilianza kuyatatua matatizo yangu yote kwa kunywa pombe. Nilikuwa...

READ MORE

Serikali Yatangaza Utaratibu Utakaotumika Kuzuia Pombe za ‘Viroba’

Kufuatia kauli ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa aliyotoa tarehe 16/02/2017 huko Mererani, Mkoani ...

READ MORE

Sol Campbell: Beki Asili ya Jamaica Aliyeiweza Kazi na Kumpita Ilikuwa Kazi

JAMAA kacheza soka kwa miaka 20 huku akipata mafanikio makubwa, lakini kikubwa cha kumtofautisha na wengi ni kwamba Sol Campbell...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Zicheki Picha Za Mrembo Jokate Na Mastaa Mbalimbali Wa Marekani

Moja kati ya issue zinazotrend mitandaoni asubuhi hii ni Jokate kuonekana pichani na wakali wa muziki kutoka Marekani, Jay Z,...

READ MORE

Mwigizaji Huyu Bilionea Ana Neno la Utajiri Kwako

Na NYEMO CHILONGANI & MTANDAO| IJUMAA WIKIENDA| MAKALA KATIKA ulimwengu wa sasa, unapozungumzia watu walioingiza kiasi kikubwa cha fedha kupitia...

READ MORE

Mbasha, Miss TZ Mapenzi Mubashara

HAMIDA HASSAN| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Baada ya kuficha uhusiano wao, Mwimbaji wa Gospo Bongo, Emmanuel Mbasha na...

READ MORE

VIDEO: Damiani Soul Alivyokamua Kwenye Usiku wa Love, Melodies & Lights Event – Leaders Club

IKIWA ni usiku wa burudani kwa wajanja wa Dar es Salaam, usiku wa kuamkia Feb. 19, 2017, kulikuwa na Bonge...

READ MORE

Bela Ampiga Benchi Mzungu

  Na HAMIDA HASSAN| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Ujio wa mfanyabiashara wa Kibongo mwenye maskani yake nchini Uganda,...

READ MORE

VIDEO: MC Pilipili ‘Awavunja Mbavu’ Kwenye Usiku wa Love, Melodies & Lights – Leaders Club

MCHEKESHAJI anayekimbiza sasa hivi hapa Bongo, MC Pilipili usiku wa kuamkia jana Februari 19, 2017 ‘aliwavunja mbavu’ wageni na mashabiki...

READ MORE

GLOBAL TV ONLIE -LIVE: Kamanda Mpinga Kuzungumza Saa 5:00 Leo Jumatatu

MTAZAME LIVE Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga, kupitia #YouTube Channel uipendayo ya Global TV...

READ MORE

Vijana Msiache Sifa ya Ujasiri Iwe ya Paul Makonda Peke Yake

HADITHI: Na Eric Shigongo | IJUMAA WIKIENDA| KUMBUKUMBU ZA KWELI ZA MAISHA YANGU ILIKUWA ni wiki ya hekaheka, vyombo vyote...

READ MORE

Huna Uwezo wa Kumuumba Umtakae, Acha Uumbiwe!

Na GABRIEL NG`OSHA| IJUMAA WIKIENDA| XXLOVE NI siku nyingine tunakutana katika safu yetu hii nzuri ya kuelimishana juu ya mambo...

READ MORE

Abdulkarim Karimjee: Spika wa Kwanza Mtanganyika

Na WALUSANGA NDAKI| RISASI JUMAMOSI| NAJUA UNAJUA UKUMBI wa bunge uliokuwa unatumika jijini Dar es Salaam kabla ya kuhamia Dodoma...

READ MORE

Wolper Afunguka Kulewa Pati ya Nillan

BAADA ya kuwa ‘topic’ kwenye sherehe ya 40 ya mtoto wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Nillan iliyofanyika hivi karibuni, Muigizaji Jacqueline...

READ MORE

Ben Apima Akimbia Majibu ya Ngoma

Na WAANDISHI WETU| RISASI JUMAMOSI| HABARI MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Abdul Ahmed ‘Ben’ amedaiwa kupima maambukizi ya virusi vya...

READ MORE

Raza Amuunga Mkono Rais Magufuli Vita Dhidi ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya

MWAKILISHI wa Jimbo la Uzini Zanzibar Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Mohammed Raza, leo amezunguamza na waandishi...

READ MORE

Waziri Nape Jukwaani na Ray C, Leaders Kwenye Shoo Usiku (+VIDEO)

WAZIRI wa Habari, Vijana, Sanaa na Michezo, Nape Nauye kuonyesha kweli anausapoti muziki wa Bongo fleva ikiwa ni sehemu ya...

READ MORE

Yanga Sc Isidharau Kumlipa Ernie Brandts

Na BODI YA UHARIRI| CHAMPIONI JUMAMOSI| MICHEZO NA BURUDANI HIVI karibuni Yanga ililetewa taarifa ya kutakiwa kumlipa aliyekuwa kocha wake...

READ MORE

Tetesi: Bondi Mbaroni kwa Ujambazi

TETESI zilizotufikia sasa hivi zinasema Bondi Bin Salim, yule muigizaji wa filamu ambaye pia ni mpenzi wa Wastara Juma, amekamatwa...

READ MORE

Mwanamke Afukua Maiti ya Mwanaye, Aivisha Suti.

RUTH Segeleti (52) anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kufukua kaburi la mwanaye aliyefariki dunia Februari 15 mwaka huu.   Mwanamke...

READ MORE

Muller The Machine! Mbaya wa Arsenal Anayetakiwa Man United

Na WAANDISHI WETU| CHAMPIONI JUMAMOSI| MICHEZO NA BURUDANI IKIWA na miaka 16 kwenye kikosi cha Bayern Munich, Thomas Muller ni...

READ MORE

Flora Mbasha Atambulisha Wachumba Wawili Kanisani

DAR ES SALAAM: Mwanamuziki wa Injili Bongo, Flora Mbasha amezua gumzo la aina yake baada ya kudaiwa kuwatambulisha wachumba wawili...

READ MORE

Mtoto wa Unga Aliyeibuliwa na RC Makonda…

Na IMELDA MTEMA| RISASI JUMAMOSI| HABARI DAR ES SALAAM: Mtoto Zuhura Athuman (16), mmoja kati ya wawili waliosimamishwa mbele ya...

READ MORE

Waziri Nape Aibuka na Crew, Leaders Kwenye Shoo Usiku

WAZIRI wa Habari, Vijana, Sanaa na Michezo ikiwa ni shehemu ya kuhamasisha sanaa na kuonesha mfano kwa viongozi wengine wa...

READ MORE

Picha za Mastaa Ndani ya Ukumbi: Love Melodies and Lights Event, Leaders Club

Msanii Baraka da Prince akipita kwenye Red Carpet. Wageni mbalimbali wakipita kwenye red carpet wakati wa shoo hiyo. Shilole. Wolper...

READ MORE

Picha za Red Carpet: Love Melodies and Lights Event, Leaders Club

Mtangazaji na msherehejazi Perfect Crispin. Gigy Money na baby wake, Mo J Bushoke akikamuaa Kwenye red carpet Idris kwenye red...

READ MORE

Mzee Mwinyi Aongoza Matembezi ya Skauti Dar

RAIS mstaafu ambaye pia ni Mdhamini wa Skauti Tanzania, Mzee  Ali Hassan Mwinyi,  leo ameongoza matembezi ya hisani (Charity Walk)...

READ MORE

GLOBAL TV ONLINE – LIVE: Love Melodies and Lights Event, Leaders Club

Global TV Online inakuletea moja kwa moja maonesho ya shoo ya #LoveMelodiesAndLightsEvent inayofanyika kwenye Uwanja wa Leaders Club, Kinondoni jijini...

READ MORE

Je Unakubali? Cassper Nyovest Asema Hakuna Rapa Mkali Zaidi Yake Barani Africa

Nikisema niwaulize wadau wa muziki wa Hip Hop kuwa kati ya AKA na Casper Nyovest nani mkali zaidi, tutabishana sana...

READ MORE