Mtangazaji maarufu na mpakuaji miziki wa kituo cha redio cha Capital FM, Alex Nderi almaarufu DJ Lithium ameaga dunia. Kwa...
READ MOREMashirika makubwa ya ndege Emirates, Air India, Air Nippon na Japan Airlines yamesitisha safari zake za kwenda Marekani kutokana na...
READ MOREKATIKA hali isiyo ya kawaida, Simba na Puma katika mbuga ya wanyamapori nchini Afrika Kusini imeelezwa kuwa huenda wameambukizwa virusi...
READ MOREWANANDOA wawili wanaotokea katika eneo la Murang’a nchini Kenya wamepata kila sababu ya kutabasamu baada ya wasamaria wema kuwazawadia nyumba...
READ MOREShangwe na vigelegele zimeshamiri nyumbani kwa mwanamke mmoja nchini Nigeria mwenye umri wa miaka 51, baada ya kujifungua watoto kwa...
READ MORESHUJAA wa “Hotel Rwanda” ameshindwa kufi ka katika Mahakama ya Kigali, Jumatatu huku waendesha mashtaka wa serikali wakitaka kumuongezea kifungo...
READ MOREMAOFISA Usalama nchini Afghanistan wamesema watu zaidi ya 20 wamefariki kufikia sasa baada ya matetemeko ya ardhi ya mfululizo kukumba...
READ MOREPolisi nchini Msumbiji wanasema kichwa cha mwanaume mmoja mwenye upara kimekatwa na kuondolewa na wahalifu waliotaka kukiuza kwa mteja wao...
READ MOREMtoto mmoja wa kike kutoka Australia anaelekea kustaafu akiwa milionea katika umri wa miaka 15 licha ya kuwa ni mwanafunzi...
READ MORERipoti mpya ya Shirika la Oxfam inasema utajiri wa Mabilionea 10 wakubwa zaidi umeongezeka maradufu wakati wa CoronaVirus. Mapato ya...
READ MOREMfanyabiashara Mkubwa Jimbo la Zamfara nchini Nigeria amekamwatwa kwa kosa la kuua kwa kumchinja mtoto wa kiume wa miaka tisa....
READ MOREBibi Cheryl McGregor mwenye miaka 61, watoto 7 na wajukuu 17 anapanga kupata mtoto mwingine kwa njia mbadala ya kupandikiza...
READ MOREWaziri Mkuu wa Somalia, Mohamed Hussein Roble amesema msemaji wa serikali ya nchi hiyo, Mohamed Ibrahim Moalimuu amejeruhiwa katika shambulio...
READ MOREMWANAMKE mmoja mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni Mama wa Watoto wawili amejiua kwa kujinyonga baada ya kuwaua kwa...
READ MORERais wa Mali aliyeondolea madarakani Ibrahim Boubacar Keita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Januari 17, 2022 akiwa na...
READ MOREMAMLAKA nchini Jamaica imemkamata Seneta wa zamani wa Haiti Bw. John Joel Joseph kama mshukiwa namba moja wa mauaji ya...
READ MOREJAPAN na Marekani zimewataka watu wanaoishi kwenye mwambao wa bahari ya Pasifiki kuhama na kwenda sehemu za miinuko, kutokana na...
READ MOREKesi ya mauaji inayomkabili Timothy Gitonga mwenye umri wa miaka 30, anayetuhumiwa kumuua bibi yake, Journes Kiringa mwenye umri wa...
READ MOREPolisi katika jimbo la Zamfaraaskazini-magharibi mwa Nigeria wamewakamata watu wanne wanaodaiwa kuhusika na ulaji nyama za watu na kuuza sehemu...
READ MOREMtangazaji mashuhuri wa BBC Zuhura Yunus anaondoka katika shirika hilo baada ya kulitumikia kwa takriban miaka 14 . Zuhura...
READ MOREMahakama Kuu nchini Marekani imezuia uamuzi wa Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden wa kutaka iwe ni lazima kwa...
READ MOREPOLISI nchini Afrika Kusini imeng’oa mimea kadhaa ya bangi iliyopandwa karibu na ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa mjini Pretoria. ...
READ MORERais wa Nigeria Muhammadu Buhari amekubali kuruhusu mtandao wa Twitter kuendelea kutumiwa Nigeria baada ya kuzimwa kwa miezi saba tangu...
READ MOREWasanii maarufu ambao ni mapacha Tagwayen Asali na kaka yake Hausa kutoka Mji wa Kano Nigeria wame-make headline baada ya...
READ MOREMWANAUME kutoka Afrika Kusini aitwaye Zandile Mafe (49) amefikishwa Mahakamani akituhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo la ugaidi baada ya kukamatwa...
READ MOREMkenya Mohammed Malik Bajabu na Guled Hassan Duran, raia wa Somalia, wanatazamiwa kuachiliwa kutoka katika gereza la Guantanamo Bay nchini...
READ MOREMADAKTARI 11 wamemwandikia barua ya wazi Rais wa Ghana, Nana Addo Dankwa Akufo-Addo kutoa mwongozo ikiwezekana kusitisha usambazaji wa chanjo...
READ MOREMwandishi wa Uganda anayetuhumiwa kutuma taarifa za kashfa kuhusu rais na mtoto wake wa kiume kwenye mtandao wa Twitter amefunguliwa...
READ MOREMamlaka nchini Burkina Faso imetangaza kukamatwa kwa wanajeshi wanane wanaotuhumiwa kupanga njama ya mapinduzi. Miongoni mwa waliokamatwa ni Kanali Mohamed...
READ MORERubani wa Ndege ndogo iliyopata ajali na kunasa kwenye njia ya Treni amenusurika kifo baada ya kuokolewa na Polisi wa...
READ MOREMWANANCHI mmoja wa kaunti ya Homa Bay amejinyonga kwa kitanzi hadi kufa nje ya kanisa wakati ibada ikiendelea. Joshua...
READ MORENaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson leo Jumatatu, Januari 10, 2022 amechukua fomu ya...
READ MOREPolisi wa Kaunti ya Murang’a nchini Kenya wanamshikilia mwanaume mwenye umri wa miaka 41 kwa kosa la kumuua mtoto wake...
READ MOREMataifa ya Afrika Magharibi yamekubaliana kuiwekea Mali vikwazo vikali ikiwemo kufunga mipaka yao, kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na kuweka vikwazo...
READ MOREVIONGOZI wa Afrika Magharibi wameiwekea Mali vikwazo baada ya serikali ya kijeshi ya nchi hiyo kutangaza kuchelewesha kwa muda mrefu...
READ MOREZaidi ya watu 5,000 wamekamatwa nchini Kazakhstan kutokana na maandamano yaliyotikisa taifa hilo la Asia ya kati wiki iliyopita taarifa...
READ MOREMaafisa wanne wa polisi wa Kenya wameuawa katika shambulizi la kuvizia katika eneo la pwani linalopakana na Somalia. Shambulizi hilo...
READ MOREMwanaume mmoja ambaye hajaoa anatumia mabango makubwa yenye ujumbe mwingi-ndani katika harakati zake za kupata mke. Muhammad Malik, 29,...
READ MOREIKIWA ni takriban miaka minne ya ujenzi, barabara ndefu zaidi ya chini ya maji nchini China, hatimaye barabara hiyo imeanza...
READ MORERais wa Kazakhstan, Kassym-Jomart Tokayev amewaamuru Jeshi la Polisi na Wanajeshi wa nchi hiyo “kuua watu bila onyo” ili kukomesha...
READ MORE