IDADI ya maambukizi ya virusi vya Corona nchini Kenya imeongezeka na kufikia watu 3727 hii ni baada ya Wizara ya...
READ MOREKISA kingine cha Polisi nchini Marekani kumpiga risasi na kumuua Mmarekani mweusi katika mji wa Atlanta Georgia wikiendi hii, kimezua...
READ MOREDAR: Kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kimeibua mshtuko ndani ya Burundi, Afrika na dunia kwa ujumla...
READ MOREWATU 8 wa familia moja wa umri kati miaka 12 hadi 30 katika Jimbo la Kiringanya nchini Kenya wamekumbwa na...
READ MOREWAANDAMANAJI wanaopinga ubaguzi wa rangi wameliondoa sanamu la Mfalme Leopold II lililokuwa mjini Antwerp ambalo limekuwa likilalamikiwa na wanaharakati kwa...
READ MOREALIYEKUWA Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki Dunia kwa kile kinachodaiwa kuwa ni shambulio la moyo leo Juni 9,...
READ MOREWAKILI Early Gray anayemtetea Thomas Lane, mmoja wa maofisa wanne wa polisi wanaohusika katika kifo cha Mmarekani mweusi, George...
READ MOREGEORGE FLOYD, Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 46 ambaye mauaji yake na polisi mweupe yamembadilisha kuwa picha ya ulimwengu...
READ MOREMOTO wa maandamano yaliyopewa jina la Black Lives Matter unazidi kuwaka na sasa hali siyo shwari jijini London, Uingereza, ambako...
READ MOREALIYEKUWA Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, anadaiwa kuwa ameachana na mchumba wake mwenye miaka 25, Nonkanyiso Conco. Taarifa kutoka...
READ MOREKifo cha George Floyd (46) kilichotokea Mei 25 huko Minneapolis nchini Marekani, kimesababisha ghadhabu kote nchini humo na...
READ MOREMKE wa Thomas Thabane, aliyekuwa waziri mkuu wa Lesotho, Maesaiah Thabane, anayeshtakiwa kwa mauaji ya aliyekuwa mke wa mumewe, Lipolelo...
READ MOREMwanasheria Mkuu wa Minnesota, Keith Ellison ametangaza kuwa maafisa watatu wa Polisi waliokuwepo wakati George Floyd anakandamizwa shingoni hadi kufariki...
READ MORERAIS Donald Trump wa Marekani amewaita waandamanaji wanaopinga mauaji ya Mmarekani mweusi George Floyd katika mji wa Minneapolis kuwa ni...
READ MOREDenise Nkurunziza, Mke wa Rais wa Burundi, amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan nchini #Kenya alipopelekwa baada ya kubainika kuwa...
READ MORERAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amethibitisha uteuzi wa mwanaye, Ivan Kagame (kushoto), kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Rwanda...
READ MORERAIS Donald Trump wa Marekani jana Alhamisi alisaini Amri ya Utendaji (Executive Order on Preventing Online Censorship) inayolenga kuongeza uwezo...
READ MOREWAANDAMANAJI mjini Minneapolis nchini Marekani wamepambana na polisi wa kutuliza ghasia kwa usiku wa pili mfululizo kufuatia hasira ya umma...
READ MORERAIS wa Marekani Donald Trump anatarajia leo, Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya...
READ MOREMSICHANA wa miaka 17, mama yake na mwanamke mwingine wamekamatwa na polisi kwa kumuuza mtoto mchanga kwa Sh3,000. ...
READ MOREPOLISI na waandamanaji walishambuliana katika jijiji la Minneapolis, Minnesota, jana (Jumanne) kufuatia maandamano yaliyofanywa kupinga mauaji ya Mmarekani mweusi, ...
READ MOREIdadi ya maambukizi ya corona iliyothibitishwa nchini Kenya imeongezeka na kufikia 1348. Hii ni baada ya wagonjwa wapya 62 kuongezeka...
READ MOREGEORGE FLOYD, Mmarekani mwenye asili ya Afrika (aliye lala chini) ameuawa kikatili baada ya kukanyagwa shingoni na polisi ‘mzungu’ huku...
READ MOREALITYEKUWA mgombea urais wa chama tawala nchini Burundi, Evariste Ndayishimiye, ametangazwa mshindi leo kwenye kinyang’anyiro hicho baada ya kupata asilimia...
READ MORECHINA imetangaza kulipiza kisasi kama Marekani itajiingiza katika masuala ya nchi yake hasa eneo lake la Hong Kong baada ya...
READ MORESHIRIKA la Afya ulimwenguni (WHO) limesema linaahirisha majaribio ya dawa ya hydroxychloroquine kama tiba ya ugonjwa wa COVID-19 ambapo mkuu...
READ MOREChina imesema uhusiano baina yake na Marekani unakaribia kiwango cha enzi mpya ya vita baridi, inayochochewa na mvutano kuhusu janga...
READ MOREMarekani imetangaza vikwazo kwa raia wa kigeni kuingia nchini humo wakitokea nchini Brazil, nchi ambayo kwa sasa inaendelea kuandikisha idadi...
READ MOREKikao cha kupima uwezo wa kijeshi na silaha za nyuklia za Korea Kaskazini, kilifanyika Jumapili ya jana kwa kuhudhuriwa na...
READ MOREVifo vya corona vinakaribia kufikia Laki moja Marekani ambapo hadi leo asubuhi kuna vifo 99,300, maambukizi pia yanaongezeka. Marekani ina...
READ MORESERIKALI ya Sudan imetaifisha mali zenye thamani ya $4 bilioni (TZS 9.3 trilioni) kutoka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo,...
READ MORESALTANAT AKBARI mwenye umri wa miaka 107 amepona #COVID19. Alilazwa katika Hospitali ya Khansari iliyopo jijini Arak nchini Iran. Inaelezwa...
READ MOREMVUTANO kuhusu uamuzi wa Serikali ya Kenya kufunga mipaka kati yake na Tanzania, umezidi kuchukua sura mpya baada ya hatua...
READ MOREChina imetangaza leo Ijumaa kuwa imepata ushindi dhidi ya ugonjwa wa Corona, ambao umeathiri uchumi wake na unaendelea kushika kasi...
READ MOREMchumba wa Kituruki wa mwanahabari wa Saudi Arabia aliyeuawa kinyama Jamal Khashoggi, amesema leo kuwa hakuna mwenye haki ya kuwasamehe...
READ MORENdege ya Shirika la Kimataifa la Ndege la Pakistani (Pakistan International Airlines) imeanguka katika Mji wa Karachi ilipokua ikitoka Lahore,...
READ MORESIKU chache baada ya Makamu wa rais wa Sudani Kusini Riek Machar na mkewe kuthibitishwa kuwa virusi vya Corona, hatimaye...
READ MORERAIS Donald Trump wa Marekani amesema anatumia dawa ya hydroxychloroquine ya kutibu malaria, kujilinda na maambukizi ya virusi vya...
READ MOREMAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar na mkewe, Angelina Teny, ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa...
READ MOREKatika hali ya kushangaza mamlaka nchini Nigeria zimesema kuwa hazifahamu ilipo timu ya madaktari 15 wa binadamu raia wa China...
READ MORE