×

Kimataifa

Trafiki Kubandikwa Kamera Mwilini Kuzuia Ulaji Rushwa

KUTOKANA na kukithiri vitendo vya rushwa nchini Kenya, Kiongozi wa Mashtaka ya Umma (DPP), Noordin Haji amemuagiza Ispekta Mkuu wa...

READ MORE

Majivu ya MaREHEMU Yaibiwa Siku ya Mazishi

MWIZI arejesha sanduku lenye majivu ya marehemu baada ya kuliiba sanduku  hilo ndani ya gari la familia ya marehemu walipokuwa...

READ MORE

Serikali Yaagiza Mali za Bilionea Mtoto wa Rais Zikamatwe

MAHAKAMA ya Angola imeagiza kukamatwa kwa mali na akaunti za benki za bilionea ambaye ni binti wa rais wa zamani...

READ MORE

Polisi 29 Wahukumiwa Kifo

MAHAKAMA Kuu nchini Sudan imewahukumu kifo polisi 29 kwa kosa la kumtesa na kumuua Mwalimu Ahmad al-Khair (36) waliyemkamata wakati...

READ MORE

Polisi Adaiwa Kumuua Aliyekataa Kumpa Rushwa

OFISA mmoja wa polisi amekamatwa akituhumiwa kumuua kwa kumpiga risasi dereva wa gari aina ya Probox baada ya dereva huyo...

READ MORE

Huu Ndiyo Mji Wenye Paka Wengi Kuliko Binadamu

MJI wa Kafr Nabl uliopo nchini Syria kwa sasa umebakiwa na idadi kubwa ya paka kuliko watu, baada ya miezi...

READ MORE

Makazi ya Rais Yashambuliwa, Mmoja Auawa

KITUO cha usalama kilichoko karibu na nyumba ya rais wa zamani wa Nigeria,  Goodluck Jonathan,  katika jimbo la Bayelsa, nchini...

READ MORE

Urusi Yafanikiwa Jaribio la Kujitoa Kwenye Intaneti ya Dunia

  SERIKALI ya Urusi imefanikiwa kufanya majaribio ya mtandao uitwao Runet, ambao ni mbadala wa mtandao wa intaneti unaotumika hivi...

READ MORE

Alikiba: Haji Manara Mwalimu Wangu… Alikuwa Hajielewi

  MFALME wa Bongo Fleva, Alikiba, amesema, Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara, alikuwa hajielewi wakati aliposema Alikiba lazima...

READ MORE

Basi Latumbukia Kwenye Korongo, 24 Wafariki Dunia

  WATU wapatao 24 wamepoteza maisha na wengine 16 kujeruhiwa jana nchini Indonesia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo...

READ MORE

Mme, Mke Wafariki Wakielekea Kwenye Sikukuu

  MME na mke waliokuwa wakisafiri kwenda kula sikukuu ya Krismas wamefariki katika ajali katika daraja la Mwiwondwe barabara ya...

READ MORE

Vita vya Syria Balaa, Maelfu Watimua

  MAELFU ya raia wa wanaoishi katika mkoa wa Idlib nchini Syria wamekimbia  makazi yao kutokana na vita vinavyoendelea katika maeneo...

READ MORE

Rais Nkurunzinza Atangaza Kung’atuka Madarakani

RAIS wa Burundi, Piere Nkurunzinza, amebainisha msimamo wake wa kutogombea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, hatua ambayo imewashangaza raia...

READ MORE

Jela Miaka 15 kwa Kuchoma Bendera ya ‘Mashoga’

JAJI mmoja nchini Marekani amemuhukumu kifungo cha zaidi ya miaka 15 jela mwanamume mmoja aitwaye Adolfo Martinez (30) aliyeiba bendera...

READ MORE

Ofisa wa Polisi Auawa Akigombea Bia Baa

  POMBE imemponza askari wa polisi na kusababisha kukatishwa uhai wake kutokana na ugomvi ulioibuka baina yake na wahudumu wa...

READ MORE

Papa Francis Afanya Maamuzi Magumu Kuhusu Unyanyasaji wa Kingono

Papa Francis ametangaza mabadiliko makubwa kwa jinsi Kanisa Katoliki linavyoshughulikia kesi za unyanyasaji wa kingono kwa watoto na kukomesha kanuni...

READ MORE

Wanne Watekwa na Al-Shabaab Kenya

Wakandarasi wanne wa Kenya waliokuwa wakifanya kazi zao katika eneo la Wel Garas, kaunti ya Wajir wamearifiwa kutekwa na kundi...

READ MORE

Amshushia Kipigo Mkewe kwa Kuchinja Jogoo la Krismasi Kabla ya Sikukuu

  Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50 kutoka wilaya ya Budaka mashariki mwa Uganda, amemjeruhi mke wake vibaya baada...

READ MORE

Kimenuka! Trump Apigiwa Kura Akishtakiwa, Bunge Kumng’oa

  BARAZA la Wawakilishi la Marekani limepiga kura kuridhia kushtakiwa kwa Rais Donald Trump kwa kutumia vibaya madaraka yake na...

READ MORE

Washtakiwa kwa Kuweka Sumu Kwenye Chakula

  MAMENEJA watatu wa shamba huko Baringo nchini Kenya, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na shtaka la kuweka sumu kwenye chakula na...

READ MORE

Zambia Yaridhia Biashara ya Bangi

  SERIKALI  ya Zambia imepitisha sheria inayohalalisha kilimo cha zao la bangi kwa sababu za kiuchumi na tiba.   Kwa...

READ MORE

Wanandoa Wajinyonga Kisa Deni la Harusi (Sh 179m)

WANANDOA waliofahamika kwa majina ya Bw. na Bi. Odipo wamejinyonga hadi kufa baada ya kudaiwa pesa walizokopa kwa ajili ya...

READ MORE

Boeing Yasitisha Kutengeneza Ndege za 737 Max

KAMPUNI ya Boeing itasimamisha kwa muda uzalishaji wa ndege zake zilizokumbwa na matatizo za 737 Max mwezi Januari 2020. Utengenezaji...

READ MORE

Watu 30 Wafa Kwenye Mgodi wa Madini DRC

  Watu 30 wamekufa baada ya kutokea maporomoko ya ardhi katika mgodi wa madini ya Dhahabu wa Ndiyo, eneo la...

READ MORE

Balozi wa Marekani Afurumushwa Zambia kwa Kusapoti Ushoga

SERIKALI ya Zambia imeielekeza Marekani kumuondoa balozi wake nchini, Daniel Foote humo baada ya balozi huyo kukosoa hukumu ya mahakama...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Sudan Ahukumiwa Jela

Aliyekuwa Rais wa zamani wa Sudan, Omary Al Bashir amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, na Mahakama  ya Mjini Kartoum...

READ MORE

Rais Amtunuku Askari Aliyejitosa Kufundisha Wanafunzi na Bunduki

RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya amemtuza Ofisa wa Jeshi la Polisi, Jairus Mulumia, ambaye alijitolea kuwafundisha wanafunzi katika Shule ya...

READ MORE

Boris Johnson Aibuka Kidedea Uchaguzi Mkuu Uingereza

CHAMA  cha Conservative kimeshinda zaidi ya viti 326 vya Ubunge huku Kiongozi wa Chama hicho Boris Johnson akiwashukuru wapiga kura...

READ MORE

Mke Amuua Mumewe kwa Kumzuia Kuondoka Nyumbani

  POLISI katika mji wa Nakuru nchini Kenya wanamshikilia mwanamke mmoja, Rehema Rita Wanjiru, mwenye umri wa miaka 21 kwa...

READ MORE

Obama Ateketeza Bil. 25 Kununua Jumba la Kifahari

RAIS mstaafu wa Marekani, Barack Obama, na mkewe, Michelle Obama wamenunua jumba la kifahari lililopo eneo la Martha Vineyard katika...

READ MORE

Maajabu Kabila Linalokula Nyama za Watu! – 5

BAADA ya kuona makabila ya Kuru na Wakorowai yanayopatikana kwenye Visiwa vya Papua New Guinea namna yanavyokula nyama ya binadamu...

READ MORE

Uchaguzi wa Rais Algeria, Wasiwasi Watanda

WANANCHI wa Algeria wameendelea kuandamana katika miji mbalimbali nchini humo wakidai mageuzi kamili ya mfumo wa kisiasa nchini mwao na...

READ MORE

Mabaki ya Ndege ya C-130 Chile Yapatikana Yakielea Kwenye Maji

MOFISA wa Chile wanasema kwamba wamezuia mabaki yanayoaminika kutoka katika ndege ya kijeshi iliotoweka siku ya Jumatatu.   Wanasema kwamba...

READ MORE

Mbaroni kwa Kusimamisha Msafara wa Rais na Kuomba Kazi

MWANAMME mmoja aliyejulikana kwa jina la Uvinalies Nyabuto amekamatwa leo kwa kuusimamisha msafara wa magari wa Rais Uhuru Kenyatta katika...

READ MORE

Waziri Mkuu Mdogo Zaidi Duniani na ‘Kisu’

SANNA MARIN wa Finland  ndiye waziri mkuu mwenye umri mdogo zaidi duniani baada ya kushika wadhifa huo nchini humo akiwa...

READ MORE

Tanzia: Mhubiri Maarufu Duniani, Reinhard Bonnke Afariki

Bonnke ambaye ni raia wa Ujerumani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79 akiwa amezungukwa na familia yake. Atakumbukwa...

READ MORE

Kiongozi wa Upinzani, Azuiwa Kwenda Kupokea Tuzo

KIONGOZI  wa upinzani nchini Rwanda, Victoire Ingabire Umuhoza,  amezuiwa kusafiri kwenda Hispania kupokea Tuzo ya Haki za Binadamu.   “Niliandika...

READ MORE

Watu 10 Wapoteza Maisha kwa Shambulizi

TAKRIBAN watu 10 wamefariki katika kaunti ya Wajir  nchini Kenya, jana (Ijumaa) baada ya watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi...

READ MORE

Mtoto wa Rais Ateuliwa Kuwa Msaidizi wa Rais

MTOTO mkubwa wa kiume wa Rais Ali Bongo wa Gabon, Noureddin Bongo Valentin ameteuliwa kuwa mratibu wa masuala yote ya...

READ MORE

Trump Kung’olewa Madarakani?

Maprofesa watatu walioalikwa na Chama cha Democratic katika kikao cha kwanza cha kamati ya masuala ya sheria ya Baraza la...

READ MORE