×

Kitaifa

Polisi: Wapo WaTZ Wahusika Mashambulizi Mpakani na Msumbiji

POLISI nchini imesema kwamba kuna raia wa Tanzania wanaohusika na mashambulizi yanayofanyika mpakani mwa Msumbiji na Tanzania.   Kamishna wa...

READ MORE

TCC Yatoa Vifaa Saidizi Zaidi ya 800 kwa Watu Wenye Ulemavu

KAMPUNI ya Sigara Tanzania (TCC Plc) imetoa vifaa saidizi zaidi ya 800 kwa watu wanaoishi na ulemavu katika mikoa mitano...

READ MORE

Washindi 12 Wasepa na zawadi za NMB Mastabata Siyo Kikawaida

Benki ya NMB imewazawadia washindi 12 zawadi mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya milioni 28 kwenye bahati nasibu ya mwezi...

READ MORE

Mwigulu: Mwenendo wa Mashauri, Hukumu Ziandikwe kwa Kiswahili

Serikali imedhamiria kuwasaidia kwa umakini mkubwa wananchi katika tasnia ya sheria ambapo imeagiza kuanza haraka uandaaji wa sheria kwa lugha...

READ MORE

Wakurugenzi Watakaokusanya Chini ya 50% Kuondolewa

Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri 185 Nchini kuhakikisha wanafikisha zaidi ya 50% ya makusanyo ya mapato...

READ MORE

Aiba Mtoto Kunusuru Ndoa Yake

Lilian Stanley (36) mkazi wa Tumbaku, Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro, anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani...

READ MORE

Tanapa Inavyokabiliana na Changamoto Katika Sekta ya Uhifadhi

  SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (Tanapa), limejipangia mikakati ya mazao ya utalii ili kuhakikisha linatekeleza kwa kishindo Ilani ya...

READ MORE

Simanzi! Ibada ya Kuaga Mwili wa Baba Jokate, Ruvuma

BABA mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, marehemu Urban Ndunguru,  anatarajiwa kuzikwa leo Jumanne, Desemba 22, 2020,...

READ MORE

Bibi Maarufu Moshi Astaafu Rasmi Ombaomba

KWA wakazi wengi wa mjini Moshi watakuwa ama wanamfahamu au wamewahi kumsikia Elizabeth Ng’wanza, ombaomba wa muda mrefu eneo la...

READ MORE

TCRA: Mafundi Simu, Nendeni Mkasome

SERIKALI imesema ipo katika mchakato wa kutunga sheria itakayoweka utaratibu wa mafundi simu kusoma taaluma hiyo vyuoni na kupata cheti...

READ MORE

Mitambo ya Symbion Power Kupigwa Mnada

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Kazi, imeamuru mitambo ya kufua umeme ya Kampuni ya Symbion Power kupigwa mnada baada...

READ MORE

TCRA: Ujenzi wa Kiwanda cha Simu Nchini Kuanza 2021

MAMLAKA ya Udhbiti wa Mawasiliano nchini (TCRA) imesema ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza simu nchini unaotarajiwa kuanza mwakani utaweza kurahisisha upatikanaji...

READ MORE

Avunja Nyumba, Aiba TV, Anaswa!

  POLISI  Mkoa wa Mbeya linamshikilia Rashid Kindole (21) mkazi wa Mkunywa–Madibira Wilaya ya Mbarali kwa tuhuma za kupatikana na...

READ MORE

Dkt. Gwajima Aanza na Wakurugenzi Afya

WAKURUGENZI wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, wametakiwa kuainisha changamoto na...

READ MORE

Waziri Mwigulu Atoa Maagizo RITA

Serikali imeutaka Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wenye maskani yake Jijini Dar es salaam kuanza mchakato wa haraka...

READ MORE

Ziara ya Waziri Usiku wa Manane Yashtua Wengi

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji wa Mzakwe wenye thamani ya zaidi ya sh....

READ MORE

Joe Biden Apewa Chanjo ya COVID-19

RAIS Mteule wa Marekani, Joe Biden, jana (Jumatatu) amepokea chanjo dhidi ya virusi vya corona wakati akitazamwa moja kwa moja...

READ MORE

Polisi: Mauaji Mengi 2020 Ni ya Wivu wa Mapenzi

  POLISI nchini  imesema kuwa kwa kiasi kikubwa mauaji ya watu yaliyotokea nchini kwa mwaka 2020 yalisababishwa na wivu wa...

READ MORE

NMB Kuwanogesha Wateja Wao Msimu Huu wa Sikukuu!

Benki ya NMB imeendelea kuhakikisha wateja wao wanafurahia na kufaidika na huduma zao ikiwemo kutoa elimu juu ya umuhimu wa...

READ MORE

MC Pilipili Asimulia Mama Yake Alivyokufa – Video

Msanii wa vichekesho nchini Tanzania, Emanuel Mathias maarufu MC Pilipili amesema mama yake mzazi na mama yake mdogo wamefariki dunia...

READ MORE

GNM Cargo Yaja na Hili Balaa la Krismasi – Video

MABINGWA wa kusafirisha mizigo kutoka China kuja Afrika Mashariki, Kampuni ya GNM Cargo tunawatakia wateja wetu wote na Watanzania wote...

READ MORE

Jaji Mkuu Atoa Tamko kwa Mawakili wa Kujitegemea

JAJI Mkuu  Prof. Ibrahim Hamis Juma, amewaasa mawakili wapya wa kujitegemea kuwawakilisha vyema wananchi wanaosimamia kesi zao mahakamani kwa kufuata...

READ MORE

Bucha ya Kwanza ya Nyamapori Nchini Yafunguliwa

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi  ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA), Meja Jenerali Mstaafu Hamis Semfuko, leo Desemba 20,...

READ MORE

Bichuka: Mkongwe wa Sikinde Anayeshambuliwa na Maradhi, ‘Nisaidieni’

MWIMBAJI Mkongwe aliyeitumikia Bendi ya Sikinde kwa miaka mingi, Hassan Bichuka, ameeleza Watanzania kupitia Global TV Online kuwa maradhi aliyoyapata...

READ MORE

NMB Yafanikisha Kutengeneza Ajira kwa Wahitimu Vyuo Vikuu

Benki ya NMB imefanikiwa kutengeneza fursa za ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu zaidi ya 50 kupitia programu yake maalumu...

READ MORE

Tanzia: Askofu Banzi Afariki Dunia

ALIYEKUWA Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Tanga, Antony Banzi amefariki dunia leo asubuhi Jumapili Desemba 20, 2020.   Kwa...

READ MORE

Wataalamu HKMU Watafiti Njia Mpya Ya Kutibu Malaria

WATAALAMU wa Chuo cha cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki (HKMU,) wamefanya utafiti na kutoa machapisho kuhusu njia mpya ya kutibu...

READ MORE

Maneno ya Mwisho ya Jengua Kabla ya Kifo

KAMA ulipata bahati ya kuangalia Kipindi cha Kidedea ndani ya Kundi la ChemChem Art, kilichokuwa kinarushwa kupitia Televisheni ya ITV...

READ MORE

Nyuma ya Pazia Kifo cha Jengua

DAR: Wakati Watanzania na wadau wa tasnia ya Bongo Movies wakiendelea kuomboleza kifo cha aliyekuwa mwigizaji nguli Bongo, Mohammed Fungafunga...

READ MORE

Mganga Atimuliwa kwa Tuhuma za Kubaka Wagonjwa

MGANGA wa tiba za asili (kienyeji) anayefahamika kwa jina la Kambo Kilima (78) ambaye makazi yake hayajafahamika anatuhumiwa kubaka wagonjwa...

READ MORE

Tanzia: Baba Mzazi wa DC Jokate Afariki Dunia

Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo, Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia alfajiri ya leo katika...

READ MORE

Tanzia: Waziri Ng’wandu Afariki Dunia

MBUNGE wa zamani wa Maswa na waziri mstaafu, Dkt. Pius Yasebasi Ng’wandu, amefariki dunia katika Hospitali ya Somanda, Bariadi mkoani...

READ MORE

Babu Tale, DC Watua Kwenye Gereza la Mtego wa Simba – Video

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Bakari Msurwa akiwa ameambatana na Mbunge wa Morogoro Kusini, Babu Tale, wameupongeza uongozi wa Gereza...

READ MORE

RC Kunenge Atoa Siku Tatu Kwa DAWASA Kufikisha Huduma Ya Maji Kwembe

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ametoa siku tatu kwa DAWASA kuhakikisha wanakamilisha zoezi la kuunganisha...

READ MORE

Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021

Tazama hapa Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa na Serikali kujiunga na masomo ya sekondari kidato cha kwanza Tanzania Bara kwa mwaka...

READ MORE

RC Kunenge Ampa Maagizo Mkandarasi ‘Fanya Usiku na Mchana’

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amemuelekeza mkandarasi kutoka Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kuhakikisha Ujenzi...

READ MORE

Breaking: Kiboko na Mkewe Watupwa Jela Miaka 20

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu Mahakama ya Mafisadi, imemhukumu mfanyabiashara maarufu nchini, Ayubu Kiboko...

READ MORE

DPP: Wanaoidai Qnet, Hakuna Kurejeshewa Fedha

MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga, amesema ni kosa kuwarejeshea fedha watu waliojiunga na kampuni ya Qnet kisha kudai...

READ MORE

Breaking News: Rais Pierre Buyoya Afariki Dunia

RAIS wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya, ambaye aliiongoza  Burundi kwa mihula miwili kuanzia mwaka 1987 hadi 1993 kisha tena...

READ MORE