×

Kitaifa

WABUNGE WAWILI CHADEMA WASAKWA

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa amesema jeshi hilo linawasaka wabunge wawili wa Chadema, Peter Lijualikali (Kilombero) na...

READ MORE

TGNP WAJA NA KAMPENI YA ‘LINDA MTOTO’

MTANDAO wa kijinsia nchini (TGNP) umeadhimira kuandaa kampeni ya ‘Linda Mtoto’ katika mazingira hatarishi ikiwa ni pamoja na ngono,  kama...

READ MORE

Lugola Aagiza Haya Tukio la Kijana Kupigwa Hadi Kuoza Mguu Polisi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuunda Kamati Maalumu itakayochunguza tukio la kijana...

READ MORE

Rais Museveni Ateuliwa Kugombea Urais kwa Mara ya Sita

Chama tawala nchini Uganda kimemteua Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi wa mwaka 2021. Hii...

READ MORE

Magufuli Akutana na Vigogo wa Barrick

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya...

READ MORE

Prof. Lipumba, Maalim Seif Waendeleza Ubabe

CHAMA Cha Wananchi (CUF) upande wa Mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa, Profesa...

READ MORE

CHADEMA Wacharuka “Mnaua Watu, Watoto wa Mbowe Wamepigwa” – Video

BARAZA la Vijana wa Chadema BAVICHA, limetoa malalamiko dhidi ya vitendo vya jeshi la polisi nchini vinavyoingilia Uhuru wa Mahakama....

READ MORE

Babu Mlemavu Ateketea kwa Moto Aliowasha Shambani Kwake

MKAZI wa kijiji cha Kilongo, Muheza mkoani Tanga,
 Saidi Sekizenge (72), amefariki dunia kwa kuteketea kwa moto akiwa shambani kwake....

READ MORE

MAJALIWA AFUNGA SOKO LA WAKIMBIZI NA RAIA KIGOMA – VIDEO

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameamuru kufungwa kwa Soko la Nduta na kuagiza lihamishiwe ndani ya kambi ya wakimbizi ili kuhibiti wa...

READ MORE

MENEJA MAWASILIANO TFS AFARIKI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI

Meneja Mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS), Glory Mziray alifariki dunia jana mchana (Februari 19, 2019), wakati akizungumza...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFUKUZA MTU KAZI, ATEUA MWINGINE!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya uteuzi wa Mkurugenzi wa PSSSF na Mwenyekiti wa...

READ MORE

Wateja wa Halotel kupiga simu, kutumia intaneti bila kikomo

  Katika kuendeleza ubunifu wa kuwahudumia wateja kwa kuwapatia kile wanachokihitaji, kampuni ya mawasiliano ya simu ya Halotel imekuja na...

READ MORE

MAKONDA AMPA FID Q MIL 5 AMPELEKEE MAMA WA GODZILLA

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, leo Jumanne, Februari 19, 2019 amemkabidhi rapa Farid Kubanda ‘Fid Q’...

READ MORE

HATIMAYE! ‘Malkia wa Tembo’ Ahukumiwa Jela Miaka 17 – Video

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu washtakiwa watatu akiwemo raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu kama ‘Malkia wa...

READ MORE

DStv yaja na promosheni kabambe kwa wateja wake!

  Jumanne Februari 19,2019. Kampuni ya MultiChoice Tanzania kupitia huduma zake za DStv imetangaza promosheni maalum ijulikanayo kama “Tia kitu,...

READ MORE

POLISI, MWALIMU WAIBUKA WASHINDI CHEMSHA BONGO NA UWAZI

POLISI wa Kituo Kikuu cha Kati (Sentro),Vincent Laurent na mwalimu wa Shule ya Keko-Magurumbasi, Jacqueline Mbawala wamejishindia kila mmoja kiasi...

READ MORE

Matibabu ya Ruge ni Tsh 5m kwa siku, familia yaomba sapoti!

FAMILIA ya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, imesema gharama za matibabu ya ndugu yao...

READ MORE

Waziri Biteko: Siwezi Kuingia Kwenye Mtego Nafuta Leseni Zote – Video

WAZIRI wa Madini, Doto Biteko ameiagiza Tume ya Madini kuziandikia hati za makosa leseni za madini 18, 341 zinazodaiwa ili...

READ MORE

Mshindi wa simu ya Championi akabidhiwa zawadi yake

MSHINDI wa shindano linaloendeshwa na gazeti nambari ‘Waheed’ kwa michezo Tanzania, Joseph Peter Mkazi wa Mbagala, kakabidhiwa kilongalonga chake cha...

READ MORE

MTOTO WA GODZILLA AWATOA WATU MACHOZI

  INAUMA sana! Mbali na waombolezaji kuguswa na kifo cha Rapa Golden Mbunda ‘Godzilla’, mtoto pekee wa marehemu ait­waye Shawn...

READ MORE

MAHAKAMA YATENGUA WAJUMBE WA LIPUMBA, YAIFUTA BODI YAKE

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Februari 18, 2019, imetengua uteuzi wa wajumbe wa bodi ya...

READ MORE

KILICHOTOKEA MAHAKAMANI RUFAA YA MBOWE NA MATIKO – VIDEO

LEO Jumatatu, Februari 18, 2019 kesi ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko...

READ MORE

ZAIDI YA BIL 10 KUTENGWA KWA AJILI YA KILIMO CHA MICHIKICHI- MHE MGUMBA

  Serikali imeeleza dhamira yake ya kukabiliana na uagizaji wa mafuta ya kula nje ya nchi kwa kuanzisha mashamba ya...

READ MORE

Mwanamke Amuua kwa Panga Mtoto wa Mchepuko

MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Paskazia Andrew Sindano (17) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma...

READ MORE

VIDEO: Waziri wa JK Afunga Ndoa na Kabinti Kabichi

MBUNGE wa zamani wa Urambo, Profesa Juma Kapuya (73),  amefunga ndoa na binti ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa miaka...

READ MORE

RC MAKONDA AMPA MILIONI 5 MAMA WA GODZILLA

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema atampa pesa kiasi cha Tsh milioni tano, mama mzazi wa...

READ MORE

Lugola Baada ya Kuona Kaburi la Kijana Aliepigwa Risasi Kituo cha Polisi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amefika nyumbani kwa kijana Richard Peter, ambaye amefariki siku za hivi...

READ MORE

Amuua Mumewe kwa Sumu ili Afunge Ndoa na Mchepuko

MWANAMKE mfanyakazi katika gereza kutoka Missouri, Marekani anatuhumiwa kuwa alimuua mumewe kwa kumtilia sumu kwenye chakula, ili waoane na mpenzi...

READ MORE

MAPYA YAIBUKA KILICHOMUUA GODZILLA!

DAR ES SALAAM: Licha ya dada wa aliyekuwa mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Golden Jacob Mbunda ‘Godzilla’, Joyce Mbunda kueleza...

READ MORE

Mshindi wa Milioni 188.5 za M-BET kuichangia Yanga

Mshindi wa droo ya kwanza  ya mwaka huu ya Perfect 12 ya kampuni ya M-BET Frank Kayombo (wa pili kushoto) kutoka...

READ MORE

AMJERUHI MKEWE KISA ‘KUMNYIMA PENZI KINYUME NA MAUMBILE’

MWANAMKE mmoja mkazi wa Kijichi Mkoa wa Mjini Magharibi, amedai kupigwa na kujeruhiwa usoni na mumewe ambapo ameshonwa nyuzi 6,...

READ MORE

CHADEMA Waibua Mapya Ishu ya CAG, Sasa Kuanza Mikutano ya Hadhara – VIDEO

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kuanza mikutano ya hadhara mchana kweupe na kwamba kwa sasa kinachofanyika ni kufanya...

READ MORE

MAHAMANI kwa Kuandika “Kawatembelea Ukerewe Siku 2 Tu, Wakafa”

MKAZI wa Mwanza, Emmanuel Mahumbi (38) jana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka...

READ MORE

Serikali Yakabidhi Eneo la Mradi wa Umeme Mto Rufiji kwa Mkandarasi

SERIKALI imekabidhi rasmi eneo la mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (RHPP), kwa Mkandarasi Kampuni ya...

READ MORE

Wananchi Wapiga Kura Kuwataja Wauaji wa Watoto Simiyu

WANANCHI wa Kata ya Lamadi, Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, jana wamepiga kura ya siri ya kuwataja watuhumiwa wa mauaji...

READ MORE

A-Z Kijana Aliyeuawa na Polisi Arusha

ARUSHA: Kijana Richard Peter Lombo (29) ameuawa kwa kupigwa risasi na askari Polisi wa Kituo cha Polisi Usariva mkoani Arusha...

READ MORE

Serikali Yatoa wito kwa NBC kupanua wigo katika utoaji wa huduma zake

  SERIKALI imetoa wito kwa Benki ya Biashara nchini NBC kupanua wigo katika utoaji wa huduma zake hapa nchini ili...

READ MORE

TAARIFA MUHIMU KUTOKA IKULU LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Taifa...

READ MORE

TTCL YAPEWA MWEZI MMOJA KUONGEZA UPATIKANAJI WA BIDHAA ZAKE VIJIJINI

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye(Mb) amelitaka Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Corporation kuongeza juhudi katika...

READ MORE

WAZIRI KAIRUKI: SERIKALI KUENDELEA KUJENGA MAZINGIRA WEZESHI SEKTA YA KILIMO

  Serikali imedhamiria kuendelea kujenga mazingira wezeshi na endelevu katika Sekta ya Kilimo kupitia sera imara na zenye kutekelezeka.    ...

READ MORE