×

Kitaifa

Kauli ya Sirro Kuhusu Aliyeua Askari Naye Kuuawa Dar – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, (IGP) Simon Sirro amethibitisha kuuawa kwa askari wawili wa Jeshi la Polisi wakati wa...

READ MORE

Simanzi Nzito Mazishi ya Meya Shinyanga

Mwili wa Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila (57) aliyefariki dunia Agosti 23,2021 umewasili katika Kanisa Katoliki la...

READ MORE

Aliyejihami kwa Bunduki Aua Askari Wawili Dar – Video

MTU mmoja aliyejihami kwa bunduki ameuawa baada ya kuwaua askari wawili katika majibizano ya risasi mkoani Dar es salaam. Kwa...

READ MORE

Breaking: Jambazi Aua Askari Wawili Dar, Naye Auawa

HALI ya taharuki imezuka katika eneo la Barabara ya Ali Hassan Mwinyi (karibu na Ofisi za Ubalozi wa Ufaransa), zilizopo Kinondoni...

READ MORE

Jengo la Ghorofa 70 Litakalojengwa Zenji

JENGO la ghorofa 70, urefu wa mita 385 litakalojengwa Zanzibar katika kisiwa cha Chapwani Unguja litakuwa na huduma mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

Tume ya Tehama Nchini yazindua tuzo

TUME ya Tehama Tanzania, imezindua tuzo za Tehama nchini, ambapo washiriki wanapendekezwa na Wananchi wanaotumia Teknolojia zinazoendeshwa na wahusika ambao...

READ MORE

Rais Samia: Unaweza Kukuta Gaidi Umepanga Naye Nyumba Moja – Video

Rais Samia Suluhu Hassan leo Agosti 25, 2021 anafungua kikao kazi cha siku tatu cha Maofisa Wakuu wa Makao Makuu,...

READ MORE

Mtangazaji Aachwa Baada ya Kulipa Mahari

MTANGAZAJI wa chombo cha habari cha Citizen cha Kenya Trevor Ombija ameeleza masikitiko yake baada ya kuachwa na mpenzi wake...

READ MORE

RC Makalla Azindua Mfumo Rasmi Wa Ukusanyaji Ushuru wa Maegesho

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo Agosti 24 amezindua mfumo rasmi wa ukusanyaji wa...

READ MORE

Polisi Wawadaka Watuhumiwa wa Ugaidi Wakiwa wa Silaha

Jeshi la Polisi nchini Kenya, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wa ugaidi katika Kivuko cha Likoni, wakiwa njiani kuelekea jijini Mombasa....

READ MORE

Silaa Afunguka Baada ya Kuhojiwa – Video

Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa ametakiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kurejea tena...

READ MORE

Mchungaji Mashimo Ataka Kufungishwa Ndoa na Gwajima

Mchungaji Mashimo ameenda kwa Askofi Josephat Gwajima na kumuomba amfungishe ndoa na mchumba wake ambaye hakutajwa jina.   Juzi katika...

READ MORE

Rais Samia Kufungua Mkutano Kesho

Rais Samia Suluhu Hassan kesho Agosti 24, 2021 anatarajiwa kufungua kikao kazi cha siku tatu cha Maofisa Wakuu wa Makao...

READ MORE

Watuhumiwa 16 Wanaswa na Silaha, Bangi na Mali za Wizi

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watuhumiwa 16 kwa makosa mbalimbali ikiwemo kusafirisha bangi, wizi wa mali inayosafirishwa, mali za...

READ MORE

Hukumu Kesi ya Sabaya Kutolewa Oktoba 1 – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha kusikiliza kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole...

READ MORE

Askofu Ruwai’chi: Naagiza Mapadri Wote Dar Lazima Mkachanjwe, Tuache Utoto

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi amewaagiza mapadre wote wa jimbo hilo...

READ MORE

DC Apiga Marufuku Vimini, Milegezo

MKUU wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Kanali Laban Thomas, amepiga marufuku mavazi yasiyo na staha ikiwemo vimini na suruali...

READ MORE

Miili ya Watumishi Watano TRA Yaagwa – Video

  Vilio na majonzi vimetawala leo hii  Agosti 24, 2021, katika viwanja vya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Mbeya,...

READ MORE

Breaking: Gwajima, Silaa Waondolewa Kamati Maadili

WABUNGE Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

READ MORE

Kauli ya Kamati ya Bunge Baada ya Kumhoji Gwajima – Video

Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amehojiwa jana Jumatatu, Agosti 23, 2021 Dodoma kwa zaidi ya saa mbili na kamati...

READ MORE

Aomba Kuachiwa: “Hati ya Mashtaka si Yangu”

MSHTAKIWA namba tatu katika kesi ya unyang’anyi wakutumia silaha, Daniel Mbura ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imuachie huru arudi...

READ MORE

Rais Samia, Viongozi wa CCM Kuelekea Zambia

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ataondoka nchini kesho Agosti 24, 2021 kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa...

READ MORE

Mbowe Agoma Kutoa Maelezo

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu leo Agosti 23, 2021 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar...

READ MORE

Simanzi! Mazishi ya Mwalimu Kashasha – Video

  MWILI wa aliyekuwa mchambuzi nguli wa soka Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha (64) leo Jumatatu, Agosti 23, 2021, umepumzishwa kwenye...

READ MORE

Gwajima Agomea Kiti cha Kamati – Video

MBUNGE wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amekataa kutumia kipaza sauti (MIC) na kiti kilichokuwa kimeandaliwa na Kamati ya Kudumu ya...

READ MORE

Basi la Sauli Lapata Ajali Kibaha, Wanne Wajeruhiwa

WATU wanne wamejeruhiwa na wengine 40 kunusurika baada ya kutokea ajali ya basi la kampuni ya Sauli eneo la Picha...

READ MORE

Kilichomuua Meya Shinyanga Chatajwa

Mazishi ya Mwili wa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Mathew Nkulila (57) ambaye ni Diwani kata ya Ndembezi...

READ MORE

Gwajima Ashusha Maombi Mazito Kabla ya Kuhojiwa – Video

  Mbunge wa Kawe, Mhe. Josephat Gwajima ameshusha maombi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kwa...

READ MORE

Gwajima Atinga Bungeni Chini ya Ulinzi Mkali – Video

MBUNGE wa Kawe, Askofu  Josephat Gwajima leo Agosti 23 ametii wito kufika mbele Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki,...

READ MORE

IGP Sirro, Ole Sabaya Kumtetea Mbowe

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na wenzake watatu wamesomewa maelezo ya mashtaka yanayowakabili leo Jumatatu,...

READ MORE

Prof Mkumbo Atangaza Fursa za Uwekezaji Katika Viwanda Vilivyokuwa Vimebinafsishwa

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Prof Kitila Mkumbo (Mb) ametangaza fursa za uwekezaji katika Viwanda 20 vilivyokuwa vimebinafsishwa na...

READ MORE

Pingamizi la Sabaya Lapigwa Chini Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imetupilia mbali pingamizi la mawakili wa upande wa utetezi katika kesi ya unyang’anyi wakutumia silaha...

READ MORE

Mbowe Afikishwa Mahakamani kwa Hati ya Dharura – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na wenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa...

READ MORE

Breaking: Watumishi Watano wa TRA Wafariki kwa Ajali

Watumishi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kikosi kazi cha Fast Track wamefariki kwa ajali katika eneo la Hanseketwa...

READ MORE

Simanzi Nzito Mazishi ya Basil Mramba

MAMIA ya wananchi wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro na kwingineko nchini wamejitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo...

READ MORE

Mchungaji Aliyezikwa Akiwa Hai Akisema ‘Atafufuka Kama Yesu’ Afariki Dunia

MCHUNGAJI wa kanisa la Zion nchini Zambia, James Sakara (22), aliyewaomba baadhi ya waumini wake wamchimbie kaburi na kisha wamzike...

READ MORE

Tanzia: Meya wa Shinyanga Afariki Dunia

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Mathew Nkulila ambaye ni Diwani kata ya Ndembezi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Askofu Gwajima, Slaa Waitwa Mbele ya Kamati

Spika Job Ndugai ameamuru wabunge wawili, Josephat Gwajima na Jerry Silaa kufika mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka...

READ MORE