×

Kitaifa

Hichilema: King’ang’anizi Aliyeshindwa Mara Tano Urais Zambia

Hakainde Hichilema mwenye umri wa miaka 59 sasa, ndiye rais mpya wa Zambia aliyetangazwa na tume ya uchaguzi nchini humo,...

READ MORE

Breaking: RC Msataafu Mwakipesile Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwenye serikali ya awamu ya nne, John Mwakipesile amefariki dunia usiku wa kuamkia...

READ MORE

Breaking: Waziri wa Zamani, Basil Mramba Afariki Dunia

    ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Fedha wa Tanzania na Mbunge wa Rombo, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo Jumanne,...

READ MORE

Rais Samia Ampongeza Hichilema kwa Kushinda Urais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais mteule wa Zambia, Hakainde Hichilema akisema; “Kwa niaba...

READ MORE

Dk. Mollel: Tutamshugulikia Mch. Gwajima – Video

  Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Mhe. Dkt. Godwin Mollel amemtaka Mbunge wa Kawe na Askofu wa...

READ MORE

Rais Samia Atua Malawi – Video

  Rais Samia Suluhu Hassan amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi kushiriki Mkutano wa...

READ MORE

Rais Samia Aelekea Malawi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan hii leo Agosti 16, 2021 ameondoka Nchini kuelekea Nchini...

READ MORE

Mwili wa Dk Massawe Waagwa Muhimbili – (Pichaz+Video)

MWILI wa aliyekuwa daktari bingwa wa magonjwa ya watoto, Dk. Augustine Massawe umewasili katika viunga vya Chuo Kikuu cha Afya...

READ MORE

Rais Samia Kuelekea Malawi

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 16, 2021 anatarajiwa kuondoka jijini Dodoma kuelekea Malawi kwa ajili ya kushiriki mkutano wa...

READ MORE

Gwajima: Nipo Tayari Kuachia Ubunge, Sio Kuchanja

ASKOFU Mkuu wa kanisa la Ufufuo na Uzima lenye Mako Makuu yake, Ubungo Maji jijini dar es Salaam ambaye pia...

READ MORE

Mtendaji wa Kijiji Asimamishwa kwa Kukusanya Michango ya Zahanati Kinguvu

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Mtendaji wa...

READ MORE

Rais wa Afghanistan Akimbia Nchi, Wanamgambo wa Taliban Waingia Ikulu

RAIS wa Afghanistan, Ashraf Ghani ameikimbia nchi yake jana Jumapili, Agosti 15, 2021 jioni baada ya wanamgambo wa Taliban kuuzingira...

READ MORE

Radi Yajeruhi Wanafunzi 16 Geita – Video

Wanafunzi 16 wa shule ya Sekondari Rwezela iliyopo Kata ya Nzera mkoani Geita, wamenusurika kifo baada ya kujeruhiwa kwa kupigwa...

READ MORE

SADC Yaamua Rasmi Matumizi ya Lugha ya Kiswahili

Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC limepitisha rasmi bajeti kwa ajili ya kuhakikisha Kiswahili kinatumika...

READ MORE

Ajali: DC Msando Ahamishiwa Muhimbili

Watu watano wamejeruhiwa katika akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando na Mkuu wa Wailaya ya Ulanga, Ngollo Malenya...

READ MORE

Mrembo Akutana na Babake kwa Mara ya Kwanza Kupitia Facebook

MREMBO Mkenya ameibua hisia mseto mitandaoni baada ya kusimulia namna alikutana na baba yake kwa mara ya kwanza kupitia Facebook....

READ MORE

Breaking: DC Msando Apata Ajali

MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana...

READ MORE

Ndugai Afafanua Kuhusu Lazima ya Wabunge Kuchanjwa

Ofisi ya Bunge, imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazosambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii zinazodai wabunge ambao hawatachanja...

READ MORE

Sabaya Aanza Kujitetea Mahakamani

Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang’anyi kwa kutumia silaha aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Maagizo Mazito Zao la Zabibu Dodoma, “Tulidanganyika”

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua shamba la zabibu la Chinangali II wilayani Chamwino Dodoma, Agosti 13, 2021 akiambatana na Waziri...

READ MORE

Waziri Aweso Ateua Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amemteua CPA Joyce Msiru kuwa Mkurugenzi wa mamlaka za maji nchini. Bi. Joyce Msiru alikuwa...

READ MORE

Kesi Ya Mbowe, Wenzake Watatu Utetezi Waomba Kupelekwa ‘HighCort’

  Wakili wa Utetezi, Peter Kibatala akizungumza na wanahabari baada ya kuahirishwa kwa kesi hiyo. UPANDE wa utetezi katika kesi...

READ MORE

Polisi Wapya 3,000 Kuajiriwa

JESHI la Polisi nchini Tanzania, limeajiri askari polisi wapya zaidi ya 3,000. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar. Taarifa hiyo imetolewa jana...

READ MORE

Kesi ya Ugaidi! Mbowe Aigeuzia Kibao Serikali

KIONGOZI wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania-Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar...

READ MORE

Daktari Aliyeishiwa Nguvu Kwenye Mdahalo Afunguka Kilichotokea

DAKTARI aliyeishiwa nguvu wakati akitoa mada kwenye mdahalo Dk Sospeter Bulugu amefunguka na kusema alipatwa na tatizo la kushuka kwa...

READ MORE

Tanzia: Dk. Massawe Afariki Dunia

Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Augustine Massawe amefariki dunia leo Agosti 13,...

READ MORE

Sabaya, Wenzake Kuanza Kujitetea Leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imesema aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya (34) na wenzake...

READ MORE

Kesi ya Mbowe Kusikilizwa Kwa njia ya ‘Video Conference’-Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu, wameshindwa kufika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,...

READ MORE

Benki ya NMB Kuwezesha Wananchi Kupata kwa Haraka Hati za umiliki Ardhi

    Benki ya NMB imezindua huduma mpya ya mkopo wenye riba nafuu kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wenye kipato...

READ MORE

Tanzia: Milionea Manga wa Gold Crest Afariki Dunia

  Mfanyabiashara maarufu wa Madini na Kada wa Chama Cha Mapinduzi Jijini Arusha ambaye pia ni mmiliki wa Hotel za...

READ MORE

Aliyesema “Shahidi Yangu Mungu” Aibua Mazito Mahakamani

Ushahidi wa kesi ya jinai inayomkabili mchungaji Merchades Mugishagwe na mkewe Agripina Maganja, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya...

READ MORE

Steve Nyerere Ateuliwa Kuwa Balozi

Msanii maarufu nchini na Mwenyekiti wa Jukwaa la Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ ameteuliwa kuwa Balozi wa...

READ MORE

Breaking: Sabaya na Wenzake Wakutwa na Kesi ya Kujibu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imethibitisha kuwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Sylvester...

READ MORE

Tanzia: Mama wa Waziri Jafo Afariki Dunia

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amepata msiba wa kufiwa na mama...

READ MORE

Mfanyabiashara wa Shivacom Afariki Dunia

Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Tanil Kumar Chandulal Somaiya amefariki dunia jana Jumatano, Agosti 11, 2021 jijini Dar es Salaam. Baadhi...

READ MORE

Umoja wa Afrika Kuipa Tanzania Chanjo Milioni 17

Umoja wa Afrika umeitengea Tanzania dozi milioni 17 za chanjo za UVIKO- 19 kupitia mpango wa Umoja huo wa kuzisaidia...

READ MORE

Mbaroni kwa Tuhuma za Ubadhirifu Fedha za Maji

JESHI la Polisi mkoani Geita linawashikilia viongozi watatu wa kamati ya jumuiya ya maji inayosimamia mradi wa maji wa Mharamba...

READ MORE

Watu Sita Mbaroni Sakata la Fumanizi na Kujeruhi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwarekodi video za...

READ MORE

Simbachawene: Magereza ya Tanzania Yanaendeshwa Kikoloni

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema Magereza ya Tanzania yana viashiria vya ukoloni na kwamba kuna safari ndefu...

READ MORE

Waliomburuza Jamaa Kwenye Bodaboda Mpaka Kumuua Wakamatwa

JESHI la Polisi mkoa wa Tanga linawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kumshambulia na kumuua mtu mmoja aliyetuhumiwa kuiba pikipiki...

READ MORE