×

Michezo

Alcantara Aaga Rasmi Bayern

KIUNGO Thiago Alcantara ameandika barua ya kuuaga uongozi na mashabiki wa klabu ya Bayern Munich. Taarifa kutoka nchini Uingereza zinaeleza...

READ MORE

Mke wa Carlinhos Alipamba Championi Angola

MKE wa kiungo mpya wa Yanga, Carlos Carlinhos, Katia Carapichoso Carmo ameonyesha kulikubali Gazeti la Championi baada ya juzi kuliposti...

READ MORE

Kuwa Gwiji kwenye Shindano la Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet!

Unataka kuweka zawadi yenye thamani ya TZS 25,000,000 mikononi mwako? Jiunge kwenye Shindano la Playson Legends kupitia kasino ya mtandaoni...

READ MORE

Gwambina Onyo Kali Wachezaji Kutokuwa na Soksi

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Septemba 15,...

READ MORE

Messi Ashinda Kesi ya Kutumia Nembo ya Jina Lake

LIONEL MESS sasa anaweza kusajili jina lake kama nembo baada kushinda mzozo wa kisheria wa miaka tisa, mahakama ya juu...

READ MORE

Simba Yajikabidhi Pointi Tatu za Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, ameelezea malengo yake hivi sasa ni kuhakikisha anashinda michezo mitano mfululizo ya Ligi...

READ MORE

Carlinhos Amchomoa Kiungo Yanga

UPO uwezekano mkubwa kiungo mmoja kati ya watano waliokuwepo kwenye kikosi cha kwanza cha Mserbia, Zlatko Krmpotic nafasi yake kuchukuliwa...

READ MORE

Manara Amaliza Msala Wake TFF

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara, jana Jumatano mchana, alifika kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa faini...

READ MORE

Senzo Awatuliza Yanga SC

MMOJA wa mabosi wa Yanga, Senzo Mazingisa raia wa Afrika Kusini, amefunguka kwa kuwafuta hofu mashabiki wa timu hiyo akiwaambia...

READ MORE

Faini Milioni 5 Manara Amalizana na TFF

MARA baada ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwatoza faini ya shilingi milioni tano kila mmoja...

READ MORE

Mukoko, Waziri Junior ‘Waizamisha’ Mlandege 2-0 Chamanzi

TIMU ya yanga  Septemba 16, 2020 imecheza mechi  ya kirafiki  katika dimba la Azam Complex Chamazi ambapo   dhidi ya Mlandege...

READ MORE

Mabosi Yanga Wammwagia Carlinhos Noti

MABOSI wa Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Yanga wamefunguka kuwa watawamwagia fedha wachezaji wa kikosi hicho akiwemo Muangola...

READ MORE

Timu Tano Zamfuata Kagere Simba

WAKALAwa mchezaji Meddie Kagere wa Simba, Patrick Gakumba, amesema kuwa amepokea ofa tano za mteja wake huyo na kama hataendelea...

READ MORE

Kocha Simba Awapanga Mugalu, Bwalya First Eleven

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck anatarajia kufanya mabadiliko makubwa ya wachezaji wake kuelekea kwenye mchezo wa wikiendi ijayo dhidi...

READ MORE

Carlinhos, Sarpong Watumia Mifumo Mitatu Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mserbia, Zlatko Krmpotic, amepata dawa ya timu jeuri baada ya kuongeza mifumo miwili ya uchezaji ili...

READ MORE

WaTZ Msiwe na Wasiwasi Kuhusu Samatta, Record zake Zinambeba

TUNA staa mmoja tu wa ukweli katika soka letu nje ya mipaka yetu. Mbwana Samatta ‘Poppa’. Juzi ilipokuja taarifa kwamba...

READ MORE

Kisa Mabao Kocha Yanga Sasa Amvaa Sarpong

KOCHA Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic amewajia juu wachezaji wake kwa kusema kuwa haridhishwi na kiwango cha mabao ambayo timu...

READ MORE

Nahodha wa Samatta Afunga Mjadala Aston Villa

  Nahodha wa Timu ya Soka ya Aston Villa, Jack Grealish amesaini kandarasi mpya ya miaka mitano kuendelea kuitumikia klabu...

READ MORE

Mserbia: Yanga SC Tucheze Mpira Chini

KOCHA Mkuu wa Yanga Mserbia, Zlatko Krmpotic amewapiga ‘stop’ wachezaji wake kucheza soka la pasi ndefu na badala yake kucheza...

READ MORE

Morrison Apewa Dakika 270 Kabla Ya Kukutana na Yanga

BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji ndani ya Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck, ana mechi tatu za moto...

READ MORE

Mama wa P Funk Azikwa Uholanzi

MWILI wa mama mzazi wa mtayrishaji wa muziki wa Bongo Fleva, P Funk Majani, Aunt Sheilah, umeshindikana kurudi ili kuzikwa...

READ MORE

KCB Yaingia Mkataba wa Mil. 500 na TFF

BENKI ya KCB leo Septemba 13, 2020 imesaini mkataba na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kudhamini Ligi...

READ MORE

Wakala wa Kagere Amkomalia Kocha wa Simba, Anusa Hujuma

PATRICK Gakumba, wakala wa mshambuliaji namba moja ndani ya Simba, Meddie Kagere, amesema kuwa amepokea ofa nyingi kutoka timu tofauti...

READ MORE

Aubameyang Amaliza Ukimya Arsenal

HATIMAYE nahodha na mshambuliaji wa klabu ya Arsenal ya England, Pierre Emerick Aubameyang, amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu...

READ MORE

Sarpong Aivulia Kofia Ligi Kuu Tanzania Bara

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Young Africans Michael Sarpong, amekiri uwepo wa ushindani wa kweli katika Ligi Kuu Tanzania Bara,...

READ MORE

Morrison Alivyowaponza Manara, Bumbuli na Hans Poppe

KAMATI ya Sheria ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limewapiga faini ya jumla ya Sh milioni 15, Ofi sa Habari...

READ MORE

GSM Wabadili Mfumo wa Bonus Kwa Wachezaji Yanga SC

HERSI Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Klabu ya Yanga amesema kuwa mpango mkubwa...

READ MORE

Hans Poppe Awapa Yanga Mechi Kumi

MMOJA wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Zacharia Hans Poppe, kama ameimpa mechi 10 tu timu ya Yanga...

READ MORE

Bosi Simba Ampa Morrison Ndinga,, Atuma Ujumbe Insta

BERNARD MORRISON kiungo mshambuliaji wa Simba ameonyesha furaha yake na kumshukuru  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji,’Mo’, ...

READ MORE

Mke Wa Carlinhos Adatishwa Na Mashabiki Yanga

MREMBO  Vanessa ambaye ni mke wa kiungo mpya wa Yanga, Carlinhos, raia wa Angola, amekuwa akionyesha mahaba yake waziwazi kwa...

READ MORE

Azam FC Yatamba Kuendeleza Vipigo

BAADA ya ushindi katika michezo miwili mfululizo waliopata timu ya Azam FC, uongozi wa timu hiyo umetamba kuendeleza ushindi katika...

READ MORE

Alichosema Neymar Baada ya Kupigwa Kadi Nyekundu

  NYMAR Jr alikuwa miongoni mwa wachezaji watano waliotolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo wa ligi kuu ya Ufaransa ambao...

READ MORE

Bodi ya Ligi Kuvifungia Viwanja

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu nchini Tanzania (TPLB), Almasi Kasongo,  amewataka wamiliki wa viwanja vinavyochezewa Ligi Kuu soka...

READ MORE

Yanga ilivyoibuka Kidume Ikiilaza Mbeya City 1-0

Kikosi cha Yanga jana kiliwagalagaza Mbeya City kwa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Mkapa...

READ MORE

Masau Bwire Aifuta ‘Mpapaso Square’, Aja na Hii

Msemaji wa wababe wa Mlandizi Pwani, Ruvu Shooting Masau Bwire baada ya kutamba msimu uliopita na msemo wake maarufu ‘mpapaso...

READ MORE

Kumekucha Yanga, Zabuni Ujenzi Uwanja Kutangazwa

KLABU ya soka ya Yanga imesema imekamilisha kazi ya michoro kwenye ujenzi wa uwanja wake wa Kigamboni jijini Dar es...

READ MORE

Cheka Amtwanga Mmalawi, Atwaa Ubingwa wa UBO

BONDIA wa Tanzania, Cosmas Cheka, ameshinda pambano dhidi ya Mmalawi, Hannock Phiri, lililofanyika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, usiku wa kuamkia...

READ MORE

Jose Mourinho, Klopp Waungana

BOSI wa Tottenham, Jose Mourinho amemuunga mkono kocha wa Liverpool Jurgen Klopp kwa kuzishangaa timu ambazo zinatumia kiasi kikubwa cha...

READ MORE

Carlinhos, Lamine Waizamisha Mbeya City Uwanja wa Mkapa

YANGA jana imepata ushindi wa jioni wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa...

READ MORE

Paul Pogba Hatihati Kuivaa Crystal Palace

KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba amerejea katika mazoezi ya kikosi hicho baada ya kuwa nje, lakini kuna uwezekano mkubwa...

READ MORE