×

Music Videos

Video Mpya ya Harmonize “Wewe” Yavutia Kwa Mandhari Ya Kipekee

Msanii mahiri wa muziki kutoka Tanzania, Harmonize, ameachia rasmi video mpya ya wimbo wake unaoitwa “Wewe,” ambao umeanza kupokelewa kwa...

READ MORE

Mashabiki Wavutiwa na Video ya “Finale” ya Bien na Alikiba

Msanii wa Kenya Bien ameungana na nguli wa muziki kutoka Tanzania Alikiba katika kutoa rasmi video ya wimbo wao unaoitwa...

READ MORE

Video ya “Happy” Yaonyesha Ubunifu wa Kipekee wa Diamond Platnumz

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, ameachia rasmi video mpya ya wimbo wake maarufu “Happy.” Video hiyo inakuja ikiwa...

READ MORE

Harmonize na Mbosso Watoa Video ya Wimbo Mpya “Leo”

Wasanii wa Bongo Flava Harmonize na Mbosso wameachia rasmi video ya wimbo wao mpya unaoitwa “Leo”, ambao tayari umeanza kuvuta...

READ MORE

Waumini Wajitokeza Kuaga Mwili Kardinali Pengo Katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu – (Picha+Video)

  Waumini na viongozi mbalimbali wamejitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa Polycarp Pengo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu jijini...

READ MORE

Stone Mosabu feat G Nako – Kuku (Official Music Video)

Stone Mosabu ameshirikiana na G Nako kuleta wimbo mpya wa muziki wa Kiswahili unaoitwa “Kuku”, na tayari umekuwa gumzo kwa...

READ MORE

G Nako wa Weusi Aachia Video Mpya ya ‘Kula Bia’ – Video

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Weusi, George Sixtus Mdemu, anayejulikana kwa jina la sanaa G Nako, ameachia video ya wimbo...

READ MORE

Diamond Platnumz Aachia Video Mpya ya ‘Natulizana’

Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameachia video ya...

READ MORE

Zuchu Aachia Video ya ‘Bado Nakupenda’ Wimbo wa Hisia Kali za Mapenzi

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Zuchu, ameachia rasmi video ya wimbo wake wa mapenzi wenye hisia nzito unaoitwa “Bado Nakupenda,”...

READ MORE

Inspector Haroun atoa nyimbo mpya AI na Maisha Ndo Haya, Afunguka Mapaya – Video

Msanii wa Bongo Flava, Inspector Haroun, amesema alimshirikisha msanii Ibraah katika wimbo wake Final Sub kutokana na nidhamu, heshima na...

READ MORE

Hizi Ndio Nyimbo 10 Zinazotrend Afrika Kwa Sasa 2025

Mwaka 2025 umeendelea kushuhudia ushindani mkubwa wa muziki barani Afrika, huku Afrobeats na Amapiano zikiendelea kutawala chati za streaming, redio...

READ MORE

Marioo Aachia OLUWA: Wimbo wa Shukrani na Imani Uliogusa Mioyo ya Wengi – Video

Msanii maarufu wa Bongo Flava, Marioo, amerejea tena kwenye ramani ya muziki kwa kuachia wimbo wake mpya “OLUWA”, kazi inayobeba...

READ MORE

“Sweety” Ya Nandy na Jux Yazua Gumzo Mitandaoni – Video

Staa wa muziki wa Bongofleva Nandy kwa kushirikiana na Juma Jux wameachia rasmi video ya wimbo wao mpya “Sweety”, ambao...

READ MORE

Diamond Aahidi Burudani Zaidi kwa Mashabiki Kupitia MSUMARI

Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz, ameachia rasmi wimbo...

READ MORE

Diamond Platnumz – Msumari (Official Music Video)

Mwaka 2023, Diamond Platnumz alimuamini mrembo Rara Mswakyy nafasi ya kuwa Video Vixen kwenye wimbo wake YATAPITA, ambao kwa sasa...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kongamano la Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumapili, Agosti 24, 2025, ameshiriki Kongamano la Amani...

READ MORE

D Voice feat Zuchu – Baby Mpya (Official Lyric Audio)

Msanii mpya katika label ya WCB, D Voice ameachia wimbo wake wa Baby Mpya amemshirikisha Zuhura Othman almaarufu Zuchu.

READ MORE

Barnaba feat Diamond Platnumz – Salama (Official Music Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Barnaba Classic ameachia Video ya wimbo wake wa ‘Salama’ ameshirikisha msanii Supastaa wa Bongo Fleva na...

READ MORE

Jay Melody – Jirani (Official Visualizer)

Jay Melody; ni staa mkubwa kwa sasa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania leo ameachia ‘Visualizer’ ya wimbo wake...

READ MORE

Abigail Chams, Harmonize – Me too (Official Music Video)

Msanii wa moto mwenye sauti tamu na uwezo mkubwa wa kucheza na ala za muziki si mwingine bali ni Abigail...

READ MORE

Jay Melody – Turudiane (Official Video)

Jay Melody; ni staa mwingine mkubwa kwa sasa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania leo ameachia video ya wimbo...

READ MORE

Diamond Platnumz – Nitafanyaje (Official Music Video)

SUPASTAA wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, ametoa video ya wimbo wake mpya...

READ MORE

Circumference Ya Bebe Cool Yazidi Kupasua Anga

MKONGWE katika muziki nchini Uganda, Bebe Cool anazidi kuchanja mbuga na kibao chake ‘Circumference’ alichoachia hivi karibuni. Singo hiyo ambayo...

READ MORE

Phina ft Harmonize – Bye Bye (Official Lyrics Video)

Mwimbaji na miongoni mwa vipaji vikubwa vinavyokua kwa kasi na kufanya vizuri kutoka Tanzania ‘Phina’ ameachia video ya ngoma yake...

READ MORE

Jux Ft Diamond Platnumz – Ololufe Mi (Official Video)

JUMA Jux; ni staa kabisa wa muziki wa RnB kutoka nchini Tanzania, ameachia video yake ya wimbo wa ‘Ololufe Mi’...

READ MORE

Billnass feat G Nako, Whozu, Apuki & Dj Joozey – Kinamba Namba (Official Music )

Msanii wa Bongo Fleva, Billnass ameachia video wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Kinamba Namba’ amemshirikisha Whozu, Apuki na...

READ MORE

Alikiba feat Nandy – Bailando (Track No.5)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake ‘Starter‘ ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay...

READ MORE

Alikiba feat Jay Melody – Hatari (Track No.4)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake ‘Starter‘ ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay...

READ MORE

Alikiba – Nahodha (Track No.1)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake ‘Starter‘ ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay...

READ MORE

Maua Sama feat Nandy – Poa (Official Music Video)

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama ameachia wimbo wake mpya wa ‘Poa’ wimbo huo ameshirikisha Malkia wa Bongo...

READ MORE

Harmonize – Yanga Bingwa (Official Yanga Anthem)

Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize amechia wimbo wake mpya wa ‘Yanga Bingwa’ aliomshirikisha Haji Manara...

READ MORE

Diamond Platnumz x Jason Derulo ft Khalil Harisson & Chley – Komasava Remix (Official Music Video)

Baada ya Diamond Kuchafua Hali ya Hewa huko Youtube, kwa saa chache na kumtoa marioo na wimbo wake wa #HakunaMatata...

READ MORE

Marioo – Hakuna Matata (Official Music Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo ameachia video ya wimbo wake wa ‘Hakuna Matata’ .

READ MORE

Rais Dkt. Samia Azungumza na Wananchi Tunduma Akielekea Dodoma – (Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasalimia Wananchi wa Tunduma Njiani kuelekea Dodoma Mara baada...

READ MORE

Zuchu feat Toss – SIji (Official Music Video)

ZUHURA Othman Soud almaarufu Zuchu au Zuuh; ni malkia mpya wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya...

READ MORE

Billnass feat Jux – Maboss (Visualiser)

Habari ya mjini kwa sasa ni mkwaju mpya wa mastaa wa Bongo Fleva, @billnass na @juma_jux uitwao Mabosi! Unaambiwa mkwaju...

READ MORE

TitoM, Yuppe and Burna Boy – Tshwala Bam Remix [Ft. S.N.E] (Official Audio)

MSANII wa Bongo Fleva, TitoM ameachia Remix  ya wimbo wake wa Tshwala Bam ameshirikisha msanii Yuppe na Burna Boy.

READ MORE

Harmonize Feat. Marioo – Disconnect (Official Lyrics Audio)

Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize leo Mei 15, 2024 amechia wimbo wake mpya wa Disconnect...

READ MORE

Christina Shusho – Password (Official Video)

Mtumishi wa Mungu na mwimbaji mahiri wa muziki wa injili, Christina Shusho ameachia Video ya wimbo wake wa Password.

READ MORE