Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Mkongo. Na Hamida Hassan, Uwazi. Imefichuka kuwa, baadhi...
READ MOREWAKAZI mbalimbali wa maeneo ya Air Port na Ukonga-Banana, jijini Dar, leo Jumanne wamekutana uso kwa uso na promosheni ya...
READ MOREMzee Makarani Shaweji mkazi wa Vikindu akisoma Gazeti la Uwazi. Fundi Mwinyi Chande akisoma Uwazi, pembeni ni muuzaji wa gazeti...
READ MOREMwanadada Fortunata Elia mkazi wa Yombo-Relini akisoma gazeti la Uwazi, pembeni ni Ofisa Usambazaji wa Global, Jimmy Haroub. Riziki Salehe...
READ MORELwitiko Adamson Mwakasala ‘Tiko’ Na Richard Bukos na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi Tanzania, linaendelea kushikilia...
READ MORERais Dk. John Magufuli ‘JPM’ Na Igenga Mtatiro, UWAZI MARA: Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Maria Maiya Marwa (15)...
READ MOREEvangeline Samson enzi za uhai wake. Na Leonard Msigwa, UWAZI Manyara: Afisa Uchunguzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
READ MOREMahmudu Said akiugulia. Stori: MAYASA MARIWATA MSOMI aliyehitimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mahmudu Said (25), amejikuta akikata tamaa...
READ MOREMtoto Miriam akionesha majeraha. Na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Ofisi ya Ustawi wa Jamii Wilaya ya Kinondoni, imemhifadhi...
READ MORENa Igenga Mtatiro, UWAZI MARA: Jeshi la Polisi Kituo cha Nyamongo, Kanda Maalum Tarime/ Rorya mkoani Mara, linamshikilia Wang’enyi Juma,...
READ MOREGerald Paschal mkazi wa Kifuru akiwa na nakala ya Uwazi. Mama Nasri mkazi wa Kifuru akisoma Uwazi. Msomaji aliyejulikana kwa...
READ MORESajenti Alex Naiman Njau Issa Mnally na Richard Bukos, UWAZI DAR ES SALAAM: Kufuatia mauaji ya kupigwa risasi kwa askari...
READ MOREMtayarishaji wa kipindi cha Njiapanda cha Clouds Fm, Dauglas Ngaga akimhoji Hassani Athumani. Na Gregory Nyankaira, UWAZI MARA: Katika hali...
READ MOREMlokole akihojiwa nyumbani kwake. Na Mwandishi Wetu, UWAZI MWANZA: Mlokole aliyejulikana kwa jina moja la Mganga ameonesha maajabu kufuatia kuamua...
READ MOREAdam Akida Mwinyimkuu aliyetekwa ughaibuni. Issa Mnally na Elvan Stambuli, UWAZI DAR ES SALAAM: Mtanzania aitwaye Juma (jina lake la...
READ MORETimu ya masoko na usambazaji iliyoongozwa na Ofisa Masoko Jimmy Haroub, leo ilitembelea mitaa mbalimbali ya jijini Dar ikiwemo Makumbusho,...
READ MOREMtanzania Adam Akida Mwinyimkuu akiwa ametekwa. Issa Mnally na Richard Bukos, UWAZI DAR ES SALAAM: Mtanzania Adam Akida Mwinyimkuu, mkazi...
READ MOREMtoto Mariam aliyezibwa uso. Na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Mtoto aliyejulikana kwa jina moja la Mariam (10), mkazi...
READ MOREJoseph Mabula Busanji enzi za uhai wake. Na Gregory Nyankaira, UWAZI MARA: Mungu tuokoe! Kiongozi wa Kanisa la Efatha ambaye...
READ MOREAziza Suleiman Ally Na Issa Mnally, UWAZI Jeshi la Polisi Viwanja vya Ndege Tanzania wakishirikiana na maafisa usalama wa Uwanja...
READ MOREMjumbe wa nyumba kumi wa eneo hilo, Ramadhani Urembo akionesha eneo la kisima ambapo mtoto huyo alikutwa amekufa. Richard Bukos...
READ MOREMkurugenzi wa Miradi, Uwekezaji na Mipango wa NSSF, Yakoub Kidula Na Hashim Aziz, UWAZI Dar es Salaam/Pwani: Kufuatia wimbi la...
READ MOREKwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa kuweza kunipa uhai leo pia kukuwezesha wewe msomaji kusoma makala haya. Nianze kwa kusema kwamba...
READ MORENa Hashim Aziz Wiki iliyopita, tulianza kukuletea ripoti kamili ya maiti zinazozikwa na manispaa ambapo mwandishi wetu alikuwa akifanya mahojiano...
READ MORENa Mwandishi Wetu, Uwazi IRINGA: Baada ya wananchi wa Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa kutoa kero yao ya kutengenezewa madawi...
READ MOREShamsi Vuai Nahodha Na Elvan Stambuli, UWAZI Waziri Kiongozi Mstaafu wa Awamu ya Sita wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)...
READ MOREBhoke Matiko akiugulia mkono. Na Igenga Mtatiro, Uwazi MARA: Jamani Mara; ukatili huu hadi lini? Hayo ni baadhi ya maneno...
READ MORESiku maiti ya Brain ilipozikwa kimakosa. Na Joseph Ngilisho, UWAZI ARUSHA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wimbo la miili...
READ MOREAmonike Isdori ‘Dulla’ enzi za uhai wake. Na Waandishi Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Zama za mwisho! Kijana aliyefahamika kwa...
READ MORENa Hashim Aziz Yapo madai mbalimbali kwamba maiti zinazokosa ndugu na kulazimika kuzikwa na manispaa, huwa hazipewi heshima inayostahili, ikiwa...
READ MORENIMESEMA mara kadhaa na sioni tatizo kurudia. Ninamuunga mkono Rais Dk. John Pombe Magufuli ingawa sina imani na Chama Cha...
READ MOREDk. Helen Kijo-Bisimba. Baada ya wiki iliyopita kuwa na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Musa Salum...
READ MOREHassani Athumani akiugulia. Na Gregory Nyankaira, UWAZI MARA: Ama kweli kabla hujafa hujaumbwa! Kijana Hassani Athumani (30) mkazi wa Kiabakari,...
READ MORENianze kwa kumshukuru Mungu kwa kutupa afya njema mimi na wewe leo na kama kuna mtu anaumwa, basi kwa pamoja...
READ MOREMama mzazi wa marehemu na mtuhumiwa, Mwaija Bakari. Richard Bukos na Issa Mnally, UWAZI MAJALIWA Mzaramingo, mkazi wa Chalinze mkoani...
READ MORENa Igenga Mtatiro, UWAZI MARA: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani hapa, linamshikilia Hamis Nyamasinda, mkazi...
READ MORENa Mashaka Baltazar, UWAZI Mwanza: Mfanyabiashara mwenye asili ya Kiasia, Mukesh Karia almaarufu Mukesh Vunjabei (pichani), amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja...
READ MORE