The House of Favourite Newspapers

Ray: Chuchu Ana Wivu Sana

0

STAA kunako Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka kuwa mzazi mwenziye Chuchu Hans ni mwanamke mwenye wivu sana.

 

Akizungumza na Mikito Nusunusu, Ray alisema Chuchu ni mwanamke ambaye ana wivu wa kupitiliza.

 

“Unajua tunaambiwa kuwa wivu ndiyo mapenzi ya kweli na ni suna, lakini kwa upande wa Chuchu amekuwa na wivu sana juu yangu kiasi cha kuwa anahisi nina mwanamke mwingine kumbe si kweli,’’ alisema Ray ambaye wamejaaliwa mtoto mmoja wa kiume na bibiye huyo.

STORI: Happyness Masunga

Leave A Reply