The House of Favourite Newspapers

Exclusive: Ben Kinyaiya: “Sikuwahi Kuoa Lile Ni Igizo – Sijaacha Kutangaza Wenye Nyota Tunasumbuliwa – Video

0

Msanii na mtangazaji anayefanya vizuri kupitia tamthilia ya Huba Ben Kinyaiya @kinyaiya, amefunguka kuwa hajawahi kufunga ndoa na mtu yeyote yule,na ukweli ni kwamba ile haikuwa ndoa ni maigizo tu ila yuko kwenye mahusiano na mtu ambaye bado hawajafunga ndoa.

Leave A Reply