testiingg
The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Niffer Ataka Kujiua Kisa Mapenzi – “Nilisimama Katikati Ya Barabara Sinza Nigongwe Nife” -Video

0
Mfanyabiashara maarufu wa vitu mbalimbali hapa Bongo Jenifer Jovin ‘Niffer’

Mfanyabiashara ambaye pia ni maarufu kwenye mitandao ya kijamii Jenifer Jovin ‘Niffer’ amefunguka kupitia mahojiano aliyoyafanya na @globaltvonline alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wake @imeldamtema alisema kuwa alishawahi kusimama katikati ya barabara, pale Sinza Mori, jijini Dar, ili agongwe afe.

Leave A Reply