The House of Favourite Newspapers

Global Habari Dec 15 – Serikali Yaungana Na Vyuo Vikuu Mapambano Ukatili Vyuoni

0

Kufuatia kuendelea kuwepo kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia katika Vyuo vya Elimu na Juu na Vyuo vya kati, Serikali imewakutanisha wawakilishi kutoka baadhi ya Vyuo Vikuu nchini kujadiliana na kutafuta mwelekeo sahihi katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia vyuoni.

Leave A Reply