The House of Favourite Newspapers

Hali Ilivyo Mahakamani Kesi ya Mbowe – Video

0

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake leo Ijumaa wakifikishwa katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya rushwa na Uhujumu uchumi, Dar es Salaam, kwa ajili ya kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili. Mashahidi wa jamhuri wanaendelea kutoa ushahidi wao.

Leave A Reply