The House of Favourite Newspapers

Harmonize Afunguka Nyimbo Zinazopigwa Nigeria -Video

0

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Harmonize, ameendelea kusisitiza kwa wasanii wa Bongo Fleva kutumia lugha ya Kingereza kwenye nyimbo zao ili kuzifanya nyimbo hizo kufahamika zaidi kimataifa.

 

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply