The House of Favourite Newspapers

Historia ya Kagame, Rais Aliyeitoa Rwanda Machinjioni! – Video

0

PAUL Kagame alizaliwa RWANDA, akakulia ukimbizini, akatembelea kucha, akaonja adha ya kuwa mkimbizi, akaapa kurudi kwao, na kweli akarudi kwa mtutu wa bunduki kumaliza dhambi ya ukabila.

 

Unaijua kuituliza Rwanda haikuwa kazi ya kitoto maana wameuana kwa muda mrefu sana hawa jamaa kwasababu ya dhambi ya ukabila iliyopandikizwa na wakoloni kwa jina la divide and rule.

Leave A Reply