The House of Favourite Newspapers

Licha ya Corona, Wolper Amekuja na Hili – Video

0

LICHA ya watu kulalamika kuwa biashara ni ngumu katika kipindi hiki cha janga la virusi vya corona, ambaye pia ni mjasiriamali, Jackline Wolper mwenyewe anapenda kujiita ‘Fundi Cherehani’, usiku wa Aprili 02, ameizndua duka lake jipya la vitenge maeneo ya Sinza kwa Remy jijini Dar es Salaam.

 

TAZAMA FULL VIODEO UZINDUZI KAMILI

Leave A Reply