The House of Favourite Newspapers

Linex Akaribia Kuitwa Baba…

Hellen Seriko mchumba wa Linex (Mjamzito)

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva anayefanya poa kwa sasa na ngoma yake ya Kiherehere, Linex, amefunguka kuwa yupo mbioni kuitwa baba baada ya mpenzi wake, Hellen Seriko kubeba ujauzito ambapo anatarajiwa kujifungua soon.

Sunday Mangu ‘Linex’

Hellen katika Pozi

Akipiga stori na Global Publishers, Linex alisema ameyapokea majukumu yaliyopo mbele yake kwa moyo mkunjufu na kwamba, ameamua kuachana na maisha ya kisela na kuamua kujenga familia.

“Mimi sina mitikasi ya kibrazameni, nafanya muziki kwa ajili ya familia yangu na naishi kama watu wengine wa kawaida, hapa mtaani wananijua. Umri unaenda na ukisema usubiri hadi uwe na chapaa, utaona umri unasonga tu,” alisema Linex.

 

Salum Milongo/GPL

Save

Comments are closed.