The House of Favourite Newspapers

Video: Kuagwa Kwa Dada Wa Kazi Wa Familia Iliyopoteza Watu 5 Dar

0

HATIMAYE mwili wa Dada wa kazi wa familia ya Daudi Mtuwa, iliyopoteza watu 5 wanaodaiwa kufariki uwanja wa Uhuru wakati wakimuaga hayati Magufuli, umepatikana na kuagwa leo Machi 27 huko Kimara jijini Dar, na kisha kusafirishwa kwenda kwao kwa ajili ya mazishi. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply