The House of Favourite Newspapers

Shuhudia Mahunjumati ya Forodhani, Zanzibar (Global TV Online)

0

Mtangazaji wa Global TV Online Catherine Kahabi (wa pili kulia) akifanya mahojiano na mmoja wa wauzaji wa vyakula mbalimbali katika eneo la Forodhani Zanzibar.

Kupitia Global TV Online tunakuonyesha mubashara kutoka Forodhani, Zanzibar, eneo ambalo linauza vyakula mbalimbali ambalo pia huvutia watalii wanoaingia Zanzibar.  Usikose kufuatilia tukio hilo la pekee likalorushwa ‘live’.  Utajionea uaandaji wa vyakula hivyo vya kuvutia pamoja na mahojiano ya watu mbalimbali wanaofika eneo hilo.  Hakikisha una-subscribe Global TV Online muda huu ili usipitwe na tukio hili.

Subscribe hapa==> Global TV Online

…Akiendelea kumhoji juu ya wateja wanofika eneo hilo.

…Mtayarisha chakula akimwonyesha Kahabi jinsi ya matayarisho ya chakula hicho.

 

Subscribe hapa==> Global TV Online

Leave A Reply