The House of Favourite Newspapers

Mwili Wa Afisa Mtendaji Aliyechinjwa Unaagwa Kanisani Muda-Video

0

Tukio hilo la mauaji lilitokea Oktoba 11, 2021 kati ya saa sita hadi saa saba mchana na inadaiwa ofisa huyo mtendaji wa Serikali ya Mtaa wa Mbezi Msumi Jijini Dar es salam alishambuliwa kwa kukatwa na panga shingoni na watu ambao hawakufahamika.

Leave A Reply