The House of Favourite Newspapers

Steve Nyerere Atema Nyongo ‘Msigwa Mpuuzi, Atuombe Radhi’ – Video

0

Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa jana alisimama bungeni jana na kumtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla kuweka mikakati namna ya kupata watalii wa nje huku akibeza tukio la wasanii kupanda Mlima Kilimanjaro na kumtaja Steve Nyerere akiuliza yeye ni nani.

 

Steve Nyerere anamejitokeza na kumjibu Msigwa.

Leave A Reply