The House of Favourite Newspapers

Lulu Avaa Viatu vya Paula wa Kajala

 

Elizabeth Michael, ‘Lulu’

STAA wa Filamu nchini Elizabeth Michael, ‘Lulu’ wiki hii yamemfika yale yaliyomfika mtoto wa Mbongo Muvi, Kajala Masanja, Paula Paul.

Paul Paul na mama yake Kajala Masanja.

Lulu amekosa kwa kuiweka sura yake baada kuvuja kwa video ikimuonyesha mwanamke kama yeye akifanya ufuska na njemba moja katika mazingira tatanishi kama gesti za watu wa hali ya chini kitu ambacho ni tofauti na hadhi ya Lulu kwa sasa.

Taarifa za awali na ambazo bado hazijathibitishwa zinasema kwamba kijana huyo ni mtaalamu wa masuala ya mitandao na alimrekodi binti huyo anayefananishwa na Lulu bila ya yeye kujua.

Salum Milongo/GPL

Save

Save

Shinda Nyumba Awamu ya Pili Yatikisa Jiji la Dar es Salaam

Save

Comments are closed.