The House of Favourite Newspapers

Makabila Anamtaka Nandy

0

MFALME wa muziki wa singeli, Dulla Makabila ni kama anaitamani kolabo ya singeli kati yake na The African Princess ‘Nandy’ ifanyike.

 

Hii imekuja baada ya Makabila kupitia ukurasa wake wa Instagram kuposti moja ya shoo aliofanya pamoja na Nandy huku akimuomba Meneja wa Nandy alifanikishe jambo hilo.

 

Makabila ameandika, “Nandy hongera sana mwanangu umeua mnoo, naamini kwenye uwezo wako kuna haja ya kufanya kitu, Moko  naomba simamia hili mashabiki wa singeli wamependezewa na anachokifanya Mrs Billnass #singelitotheworld….”

Leave A Reply