The House of Favourite Newspapers

Mambo 5 Usiyoyajua Kuhusu TANASHA wa DIAMOND! – VIDEO

Hivi karibuni Jina la Tanasha Donna limekuwa maarufu sana baada ya kuanza uhusiano na Mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ambaye mwanamke yeyote atakayetembea nae hupata umaarufu na kama tayari ni maarufu basi huongezeka maradufu, kiufupi watu wanafuatilia sana mahusiano yake.

Wengi wetu hatumfahamu vizuri Tanasha tunamuona tu akiwa na Diamond, Global TV imekuandalia mambo matano usiyoyajua kuhusiana na mrembo huyo ambaye ni Raia wa Kenya.

Comments are closed.