The House of Favourite Newspapers

Mastaa Waliowajengea Wazazi Wao Mijengo ya Hatari! – VIDEO

WAZAZI ni Mungu wa pili hapa duniani. Hivyo ni vyema kila mmoja akamheshimu mzazi wake ambaye amemleta duniani kwani wengi wetu hasa vijana wamekuwa wakiwadharau hasa pale wanapojiona wana elimu ya kutosha na fedha yaani maisha mazuri, basi wanawaona kama hawana maana.

Katika ulimwengu wa mastaa Bongo wapo baadhi ya wasanii ambao wameonesha kurudisha fadhila kwa wazazi wao kwa kuwajengea, kuwakarabatia au kuwanunulia na kuwapa mijengo yenye hadhi.

Katika makala haya tunakuletea baadhi ya mastaa ambao wameonesha kuwajali wazazi wao na kuwakumbuka kwa kuwapa zawadi ya nyumba.

Comments are closed.