The House of Favourite Newspapers

Mke Wa Prof Jay, Dotto Magari Na Ben Pol Wafanya Kufuru Dodoma – Wamewekeza Mamilioni Ya Pesa -Video

0


Mke wa Joseph Haule ‘Prof. Jay, Grace Mgonjo amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa kwa hatua waliopitia yeye na mume wake hawawezi kuachana pengine kifo tu ndiyo kinaweza kuwatenganisha.

Mke wa Professor Jay ameendelea kuiambia Global Tv kuwa mashabiki wakae mkao wa kupokea ngoma mpya kutoka kwa mume wake kwani ipo jikoni inapikwa.

Leave A Reply