The House of Favourite Newspapers

Mtoto Aliwa na Fisi Hadi Kufa, Mama Asimulia kwa Uchungu – Video

0

Mtoto Nyanjige Hassan anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka mitano, mkazi wa Kijiji cha Nyamgogwa, kata ya Shabaka, wilayani Nyang’hwale, Mkoani Geita, amepoteza maisha baada ya kushambuliwa na fisi siku ya jana majira ya saa moja jioni wakati akitoka kuchanja kuni.

 

Leave A Reply