The House of Favourite Newspapers

Nabii Aliyesuka Dredi Afungukia Video za Menina – Video


Ni gumzo kila kona utakayopita mitandaoni kufuatia staili ya nywele aliyoiweka, Nabii Daniel Shillah, ambaye amesuka dredi kichwani jambo ambalo si la kawaida kwa manabii, wachungaji na watu wa madhabahuni.

 

Global TV imepiga stori na Nabii Shillah, na amezungumzia sababu zilizosababisha anyoe hivyo, huku pia akitoa maoni yake kuhusiana na video za ngono za msanii, Menina zilizosambaa mitandaoni hivi karibuni.

Comments are closed.