The House of Favourite Newspapers

Nai Akumbuka Bata la Sabaya

0


Bado kifungo cha miaka 30 jela kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni gumzo Bongo.

Naye mrembo ambae ni video vixen na mjasiriamali, Nai ameibuka na kumuonea huruma mkuu huyo wa wilaya.

Nai ametumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha masikitiko yake hayo, kwa kuposti picha ya Sabaya na kuandika ujumbe unaotafsrika kwa Kiswahili; “Hakuna mkamifu, Mungu akusimamie…”

Nai ameweka wazi kuwa, atakumbuka bata alilokuwa akimpa alipokwenda jijini Arusha.
Cc; @sifaelpaul

Leave A Reply