The House of Favourite Newspapers

Nandy: Sina Bahati

0

SEXY lady kunako Bongo Fleva, Faustina Charles almaarufu Nandy @officialnandy au The African Princess amefunguka kwamba, si kweli kwamba, yeye ni mwenye bahati, bali anafanya kazi kwa bidii.

Akistorisha Nandy au Nandera anasema kuwa, hakuna mtu anayefanya kazi kwa bidii, halafu Mwenyezi Mungu akamuacha bila kumpa kitu; yaani mafanikio.

“Sina bahati, mimi kama Nandy niliomba sana Mungu aweze kunisaidia kwenye muziki wangu na siku zote ukimuomna Mungu kitu, lazima atakutimizia kwa kweli.

Pia kujitolea na kufanya kazi kwa bidii,” anasema Nandy anayekiwasha na ngoma yake mpya ya Party akimshirikisha mchumba’ke, Billnass au Nenga.

Leave A Reply