The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Mabulungutu ya Noti Yamwagwa Kaburini mwa Ivan

0
Zari na watoto wake wakiwa na nyuso za huzuni

Shughuli ya kuuzika mwili wa mfanyabiashara maarufu nchini Uganda na Afrika Kusini ambaye pia alikuwa mume wa Zarina Hassan, Ivan Ssemwaga ambaye atazikwa katika makaburi ya ukoo wake yaliyoko Kayunga, nchini Uganda.

Msiba huo, umehudhuriwa na maelfu ya watu nchini humo wakiomboleza kifo cha Ivan Semwanga, wakati matajiri wakubwa na watu maarufu katika jiji la Kampala, wakiitumia fursa hiyo kujitokeza na kuonyesha magari yao ya bei mbaya

Kaburi ambamo amezikwa Ivan

Ivan Semwanga alifariki katika Hospitali ya Biko Academy nchini Afrika Kusini, Alhamisi wiki iliyopita kutokana na ugonjwa wa moyo na anazikwa leo kwenye makaburi ya ukoo nyumbani kwao Kayunga.

Mabulungutu ya noti za fedha zilizomwagwa kaburini

Katika hali isiyo ya kawaida, mabulungutu ya noti yamemwagwa kwenye kaburi ya Ivan kabla ya kuzikwa ambapo matajiri wenzake walifika kaburini hapo na kuanza kutupia mabulungutu hayo ya noti kaburini muda mfupi kabla ya mazishi kuanza.

Jeneza lenye mwili wa marehemu.
Kaburi alimozikwa Ivan.

 

 

 

Zari akiwa na watoto wake.

Katika ujumbe wa maandishi waliokuwa nao watoto wa marehemu wamesema;

“Dad, so many thoughts come to our mind whenever we speak of your name; it seems without you in our lives things will never be the same. We think of the good old days when we were still so little; consumed in your love, and in your smile.”

Hali ilivyokuwa nyumbani kwao na marehemu.

“Those days are gone and no matter what we do, life will never be the same! Oh Dad, if only we could turn back the hands of time and hear your voice once more, but God called you to a better place, so peaceful and free of pain. And when we see you sleeping, we can only wish the best for you.”

Mafundi wakijenga kabuli la marehemu.

VIDEO: Mwili wa Marehemu Ivan Semwanga Ulivyowasili Kampala Kutoka Afrika Kusini

Leave A Reply