The House of Favourite Newspapers

RITHA KOMBA: Mbasha Na Flora Kuachana Sioni Sababu (Video)

0

Mwimbaji wa nyimbo za injili Nchini Ritha Komba amefunguka juu mziki wake, mahusiano yake pia amemuongelea Emmanuel Mbasha na Flora Mbasha ambapo wawili haw awameacha kutoka na matatizo ya kifamilia.

 

Amesema kuwa alitamani kuyaona mahusiano ya Emmanuel Mbasha na Flora Mbasha wakiendelea kuwa kwenye mahusiano lakini itashindakana kwasababu kwa sasa kila mmoja ana mtu wake tena isitoshe Flora Mbasha ameshaolewa na mwanaume mwingine, anawatakiwa maisha mema ila wawe makini kwa kila mmoja kwenye mahusano yake.

 

Hata hivyo kafunguka juu ya mziki wake kuwa anjisimamia yeye mwenyewe na mme wake ndo anamsadia na sio mtu mwingine, pia amesema mziki wake wa injili umemfanya amiliki studio yake yeye mwenyewe na nyimbo zake zote ana rekodi akiwa kwake.

Leave A Reply